Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Wanajamii tuangalie jinsi tunavyoweza kumsaidia huyu mama kama kuna mtu yuko tayari tuwasiliane ili tupange cha kufanya ili tuweze kumrudisha kwenye msitari japo kwa asilimia chache email yangu ni oldmoshi@gmail.com au tunaweza kuwasiliana kupitia mada hii kuona jinsi tunavyoweza kukutana kati kati ya jiji na kufanikisha mengine
Huyu Mama haitaji msaada "material": Kwa maoni yangu nadhani anahitaji ushauri nasaha: Ukisoma ile article iliyondikwa na Gazeti la Mwananchi ni kwamba huyu Mama alitendewa ubaya na ndugu wa mme baada ya mme kufariki, and so, it seems, she gave up since then. Na the only choice was "to run away from the society": Watu wote hawaamini!
Kwahiyo, I would suggest, kama kuna madaktari washauri hapa, wanaweza kumfikia in a possible conducive way/manner, na taratibu wakamuweka kwenye "rehab" and thereafter misaada material inaweza kuwa na maana kwake!