Mama huyu ufukweni Ocean Road ana kazi gani?

Ndio maana nimeomba number za simu za ofisini za ofisa wa ustawi wa jamii mkoa au wilaya tuwaulize kama japo wana ifonrmation Huyu mama ni nani, ndugu zake ni nani na kwa mujibu wa tatizo lake ni nini? Naomba tena mtu anayejua number hata za ofisi ya mkuu wa wilaya ilala .

Mimi bado lawama zangu ni kuna baadhi ya watu hawafanyi kazi zao. wala kufutilia issue zinazoendana na kazi zao. Kazi ya Maofisa ustawi wa jamii wilaya na mkoa ni nini? Mifano kama ya huyu mama ip mingi katika levele mbali mbali
  • Kuna watoto walimu wao wanajua kabisa wameathirika kisaikolojia kutokana na sababu za kifamilia lakini hakuna mwongozo wa kuwalekeza kupeleka ripoi ustawi wa jamii
  • Mtaani kuna kesi za ajabu ajabu za watoto wazazi wanapelekana polisi wakati ni issue ndogo tu
  • Kwa nini mijini tuna vituo vya angaza, vituo vidogo vya polisi vituo vya afya lakini hatuna vituo vya social services. basi ikiwezekana watu wenye talluma hizi wawe integrated kwenye vituo hivi kwa kazi hizo specifically. Na hili nalo mpaka wafadhili waje na NGO

wakati jamii zetu za sasa zinakabiliwa na changamoto mbali mbali tena complicated bado wahusika wanafanya kazi kwa style ile ya 20 ago

mama huyu kwa maelezo yake hupenda (kumradhi)dogo dogo, beach boys ndo baba wa watoto....na ana lugha tatanishi wakati wa usiku....she offers herself to that if you need....! ....."WE RAFIKI YAKE MICHAEL(that baby boy ambaye mimi humuita erick)USIKU WOTE HUU UNATOKA WAPI, AU UNATAFUTA MTU WA KUKULIWAZA,NAJUA USHAGOMBANA NA MDOGO WANGU.....BASI USIANGAIKE JUST COME TO ME HALAFU HIYO ULIYOTAKA WAPA HAO NIWATUNZIE WANAO" alinambia.....!

Mahesabu wewe unaonaje ukivalia njuga ukawauliza ustawi wa jamii kama wa details zake. May be waambie unataka kumsaidia lakini unataka upate uhakika wa history yake waliyonayo wao. Kwa kutumia vyanzo mbali mbali walivyonanvyo.

Kama watakuwa hawana details yeyote mpaka leo hiii hata baada ya watu kunyoosha vidole then its a system failiure
 
Katika mihangaiko yangu ya siku nimejikuta mida ya saa tatu usiku natembea kwa miguu kutokea maeneo ya gymkhana hadi barabara ya ohio, ule mtaa mchana huwa una ulinzi hatari kwani kuna maofisi mengi ya kibalozi maeneo yale nilichokikuta usiku ni tofauti kabisa nilikuta kuna maduka ya kuuza miili tena soko huria yaani unaenda kwa unayejisikia kwa gharama utakayoimudu.

Sikuamini ndipo nikakutana na jamaa yangu akaniuliza mbona unapita hii barabara usiku peke yako huogopi? akaendelea kusisitiza kuwa maovu yote huwa yanafanyikia hapo na kunipa baadhi ya mifano ya matukio ya kutisha ila binafsi huwa sio muoga jamaa akaendelea kuniambia kuwa ule mtaa umejaa wadada wauza miiili vibaka nk...

Alinichosha kabisa aliponiambia kuwa yule mama anaye ishi pale chini ya mti na wanae anahusishwa na imani za kishirikina ambapo inasemekana kuwa matajiri wa darisalama huwa wana amini yanapokwenda kulala naye ndio yanapata mafanikio basi ikifika usiku maeneo yale utayaona magari ya kifahari yamepangana yanasubiri zali yaani hata sielewi hapo inakuwaje
 
mmh.... Hearsay sku huwa siziamin.. Hayo n mawazo ya walioshindwa na kukata tamaa,.
 
katika mihangaiko yangu ya siku nimejikuta mida ya saa tatu usiku natembea kwa miguu kutokea maeneo ya gymkhana hadi barabara ya ohio, ule mtaa mchana huwa una ulinzi hatari kwani kuna maofisi mengi ya kibalozi maeneo yale nilichokikuta usiku ni tofauti kabisa nilikuta kuna maduka ya kuuza miili tena soko huria yaani unaenda kwa unayejisikia kwa gharama utakayoimudu sikuamini ndipo nikakutana na jamaa yangu akaniuliza mbona unapita hii barabara usiku peke yako huogopi? akaendelea kusisitiza kuwa maovu yote huwa yanafanyikia hapo na kunipa baadhi ya mifano ya matukio ya kutisha ila binafsi huwa sio muoga jamaa akaendelea kuniambia kuwa ule mtaa umejaa wadada wauza miiili vibaka nk...alinichosha kabisa aliponiambia kuwa yule mama anaye ishi pale chini ya mti na wanae anahusishwa na imani za kishirikina ambapo inasemekana kuwa matajiri ya darisalama huwa yana amini yanapokwenda kulala naye ndio yanapata mafanikio basi ikifika usiku maeneo yale utayaona magari ya kifahari yamepangana yanasubiri zali yaani hata sielewi hapo inakuwaje

Unavutiwa sana na ishu za kimalayamalaya na kishirikina sijui kwa nini
 
...kimsingi wabongo tunauwezo mkubwa sana wa kuzusha stories,utasikia fulani kafariki,mchawi,mali za ujambazi,mali za kichawi,malaya,shoga n.k kumbe sio kabisa. Mke wa mtu akisimama na mtu barabarani kosa utasikia malayaa. Kasumba ya kuzusha uwongo bila kuthibitisha imeenea sana bongo,si ajabu hayo magari ya kifahari yalifuata hao wauza miili,...
 
huyo mama nilishawahi kumuona siku moja hiyo mitaa sikujua kama ndo mitaa yake ya kudumu
 
Mi nilawi kumuona mama mmoka akihojiwa ktk tv na yupo na watoto wake na anapatikana pembezoni mwa bahari mara kwa mara sa sijui ndo yeye au vipi.
 
Uta amini vipi kitu cha kuambiwa tena na mtu uliye kutana naye njiani...............Hebu rudi kamuulize yeye alikuwa anafanya nini hapo.....!!?
 
Wasiliana na Gazeti la Mwananchi watakupa "details zote" za huyo Mama:

Pale hana kazi: alikuwa Mwalimu wa Shule za Msingi miaka ya 70 katikati, unfortunately MME wake wa ndoa alifariki late 70s na baada ya hapo maisha yakaenda mrama! Hapo alipo anadai "mafao" yake ya ualimu takribani sh 11m lakini alishawahi kulipwa laki 7 tu!

Kila mtoto aliyenae pale yupo na baba tofauti tofauti: As of late amejifungua mtoto wa 5!

Du ana wa kunyonya tena? Ndo maana wadogo zake wanagonga track suit.
 
Sidhani kama ni sahihi kwa vyombo vya dola kuachilia mambo haya yaende kiholela hivi. Kuna mwingine (njemba) yupo pale daraja la kawe (karibia na JKT makao makuu) anaishi palepale na naona makazi yake yanaongezeka kila siku.

Kuna mwingine yuko daraja la kuelekea Kinyerezi ukitokea Segerea,ana marasta ya kufa mtu na fimbo ndefu. Nasikia huko zamani alikuwa askari magereza alipostaafu hakupewa mafao yake stahili akachanganyikiwa!
 
Sasa ana kichanga kipyaaaaaaa.
Sijui kazaa na nani?
Halafu sijui hilo tendo walilifanyeje maana yule mama kila aendako huongozana na kundi la wanawe.
Kiranja mkuu,matukio kama haya muulize Pdiddy mzee wa matukio na visa na mikasa,atakupa data zote.
Nawasiwasi na mtoto wa 5,maana hajaingia kujibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom