mama D JF-Expert Member Nov 22, 2010 19,760 35,205 Dec 18, 2021 #1,081 The Eye said: Wanawake hawa jamani Click to expand... Tumefanyaje
The Eye JF-Expert Member Oct 29, 2020 278 387 Dec 18, 2021 #1,082 mama D said: Tumefanyaje Click to expand... Sasa kama huyo bibi anakuja kuongea pumba zake hizi kweli ni akili zake au bangi?
mama D said: Tumefanyaje Click to expand... Sasa kama huyo bibi anakuja kuongea pumba zake hizi kweli ni akili zake au bangi?
mama D JF-Expert Member Nov 22, 2010 19,760 35,205 Dec 18, 2021 #1,083 The Eye said: Sasa kama huyo bibi anakuja kuongea pumba zake hizi kweli ni akili zake au bangi? Click to expand... Pumba ni zipi?
The Eye said: Sasa kama huyo bibi anakuja kuongea pumba zake hizi kweli ni akili zake au bangi? Click to expand... Pumba ni zipi?
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,894 106,188 Dec 18, 2021 #1,085 Kennedy said: Haa Click to expand... Wanawake sahv wanazaa mtoto anapewa baba kama 3,4 hivi hapo kila mtu ana hudumiaa Mnapangwa tu Ova
Kennedy said: Haa Click to expand... Wanawake sahv wanazaa mtoto anapewa baba kama 3,4 hivi hapo kila mtu ana hudumiaa Mnapangwa tu Ova
nexus JF-Expert Member Jan 6, 2011 374 163 Jun 6, 2022 #1,086 Huu mvinyo mpya hata silewi nipe wa zamani
mgt software JF-Expert Member Nov 1, 2010 13,767 7,115 Jun 7, 2022 #1,087 Mama kichefu chefu. Sasa unakutwa na mimba unaikubalije? Baba mrezi ni baba hata kama sio damu yake