mama anataka harusi na wakati sijawa tayari... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama anataka harusi na wakati sijawa tayari...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MKATA KIU, Sep 15, 2012.

 1. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu brothers an sisters

  Nimebanwa sana na my best friend kutoa ushauri hadi kichwa kinauma naombeni msaada wa mawazo,

  My best ni kjana (me) age yupo mid 20's ni graduate na ameajiriwa katika mojawapo ya big 4 auditing firm as auditor,

  Jamaa anakaa na mama yake as mtoto wa pekee, baba yake alifarik mapema sana baada ya yeye kuzaliwa some years ago so amelelewa na kusomeshwa na mama yake peke yake na hadi leo bado anaish nyumban kwao na mama japokuwa ameanza kazi toka 2010 after university na mama yake hakutaka ahame as atakuwa mpweke na amemzoea sana mwanae, na mama ana maisha ya middle class as nyumba inapendeza na miradi midogo midogo mingi so hela za kubadilisha magari ya kijapan haimpigi chenga,na kwa kipindi kirefu toka tupo first year mama yake anaumwa umwa sana as alipataga ajali na toka hapo kichwa hakipo sawa as alifanyiwa surgery kichwan.. Sasa mama ameanza kelele anataka kucheza harusi ya mtoto wake wa pekee na kuona mjukuu au wajukuu kabla hajafariki na jamaa ajajiandaa kuoa kisaikolojia as he still enjoy bachelors life, b mkubwa amekomaa na maneno yake toka mwaka jana na kila siku anaongea anataka mkamwana na mjukuu but jamaa anashindwa afanyeje?

  So ndo katushtua watu wake wa karibu tufanyeje as anadai yeye hayupo tayari na kila mdada anakutana nae anaona hawaendan as ana dream ya kuoa msichana aliye kama mama yake as mchapakaz na smart darasan like her mom as hata yeye bahat mbaya akiondoka dunian watoto wasitetereke kama yeye alivyopata mahitaj yote hata baada ya mzee kufariki, so anashindwa afanyeje na mama anataka acheze harusi mapema as ana imani mwanae anajimudu kwa kipato na hata yeye hatoshindwa kulea wajukuuu kama mwanae akikwama. Na hata asipopata mtoto basi amwone mkamwana kabla hajafa

  Wadau mtu kama huyu nimshauri vp?
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  as mshauri aoe tu as mamake ndicho anachopenda as pia uwezo huo anao as hatashindwa kulea familia as akishindwa mama atamsaidia as ni hayo tu kwa leo!
   
 3. peri

  peri JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  lol, nawe sweetlady hizo as umeanza lini?
  Au ndo anajibu as kama alivyo uliza?

  Mwambie jamaa ao, maisha ya ubach sio mazuri, yana vishawishi na mitihani mingi.
  Anaweza kujiharibie future yake kwa kuendekeza ubach.
  Kikubwa atafute mtu wa kumfaa, afanye hivyo huku akimtegemea mwenyezi mungu, atafanikiwa.
  Hana sababu ya msingi ya kuendelea kusubiri.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  muulize huyo mke anaishi nae yeye au mama yake?
  Si azungumze na mama yake kuwa yeye hayujo tayari?
  Kuoa mtu hukurupuki tu inabidi ujipange na upate unaydfanana nae.....

  Ila mmmh namuonea huruma huyo mke maana.................
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  katika kusoma kwake kote miaka mitatu ya chuo hajamwona anayemfaa? ama kati ya girjfriends wake wote hakuna anayekidhi vigezo? thou sijaolema but namshauri asioe kwa shinikizo la mama kwan anayekwenda kuishi na mke ni yeye na sio mama as you have said mamake ni mgonjwa mgonjwa. nina mfano wa kaka mmoja alioa kwa shinikizo la wazazi,mambò ambayo alikuwa akimfanyia yule dada sio ya kiutu kabisa kwani alikuwa akichelewa kurudi home ili amkute kalala na alipenda kupangiwa safari kìkazi ili tu awe mbali namke
  https://www.jamiiforums.com/private.php?do=newpm&pmid=629187
   
 6. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Thanx but jamaa chuo alikuwa soma soma sana na ndo maana hata ajira alipata straight from varsity interest na wadada kazianza sana kazini, also hata wale wa chuo aliowadate hawaamin as anadai walikuwa wanampenda kisa mambo safi kwao as toka chuo anabadilisha magari as mama anamuachia, sasa home ndo b mkubwa anataka mkamwana na yeye hayuko tayar na alienae ni for fun tu mwenye vigezo vyake hajampata
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  yeye huyo jamaa awe mkweli kwa maza kuwa mie bado sijapata wakunifaa. sasa tatizo ni kwamba kama yeye alishakuwa na videmu demu labda ndio maana mama anataka jamaa aoe.
  hapa rahisi sana ni kukomaa tuu na msimamo wake kijana. mama akileta zakuleta mwana ahame nyumba tuu maana kama mzazi anakuwa kichwa ngumu na kulazimisha mambo ya mapenzi na ndoa wakati jitu halipo ready basi it tym to accept kuwa u got different views and therefore shuld go separate ways. asiogope kuwa eti atapata laana. hamna kitu hicho as long as bado atakuwa anamuheshimu na kumsaidia pale inapoitajika.
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini wazazi hufanya harusi za watoto wao kuwa about wao (wazazi) zaidi ya wahusika wakuu (watoto)?
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni mila na desturi zetu! Za kiafrica.
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  "Mila na desturi za kiafrica" is a myth, a lazy answer, a loophole, a generalization,a scapegoat. Ni ubinafsi tu. Mtu anajifikiria yeye kuliko mtoto wake. Anaona anachotaka yeye ndo kiwe, haangalii kama kitakuwa kizuri kwa mtoto wake au la. Au anakubali tu kwenda through the motions of life, keeping up with the neighbors, kwa nini wao wameoza mie sijaoza, wana wajukuu mie sina etc.

  Waafrika tuko diverse sana, wote hatuwezi kuwa na mila sawa. Africa is not a country.

  Na hata in the event kwamba ni mila kweli, mila zisizo tija hutupwa. Mila si msahafu tuseme amri kumi hizi zimeshushwa na Musa, zimeandikwa kwenye mawe, hata hizo amri kumi watu wanaziwekea maswali.

  Nimeipenda signature yako
  "
  My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective"

  Maisha ya kugeza kila kitu kwa watu haya hayafai, kila kitu kishaandikwa katika kitabu cha "mila za wafrika" sie tutekeleze tu bila kuangalia situations zetu zikoje. Mtu akifanya harusi ya kifahari kwa sababu ana uwezo basi inakuwa ndo kila mtu atake hivyo hata kama hana uwezo.Mtoto kashakua lakini anaendeshwa kama mtoto mdogo.

  Hatuwezi kukubali wazazi wawe wabinafsi na kutaka kuoza watoto wao harakaharaka eti kwa sababu wanataka kuona wakwe na wajukuu, wakati watoto hawako tayari.

  Atakayekuja kukaa na mke/mume si mzazi, ni mtoto, kwa hiyo uamuzi utoke kwa mtoto mwenyewe.

  Ama sivyo watu wataoa kuridhisha wazazi, halafu ndoa zitashindwa kudumu.
   
 11. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,417
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Namshauri atulie, na amwombe Mungu ampe mke bora. Anaweza baadaye kuumlaumu mama yake kutokana na mambo anayoweza kuyakuta kwa huyo mke atakayejilazimisha.
  Mwambie, kuishi au kufa ni mipango ya Mungu pekee yake. Hakuna anayejua kwani wazee wangapi wanaumwa miaka nenda lakn wanabaki kuwazika vijana wadogo tena sana.
  Sala sala sala.
  Ushauri wangu ndo huu.
   
 12. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hahaa as umeona kitu as hujakifumbia macho
   
 13. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Amwambie mum amtafutie mchumba
   
 14. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Unapokua Umemaliza malengo ya Kusoma na uwezo Fulani kuoa Ni Jambo jema, utoto tu unawasumbua watu, ila wakati mwingine Wa kuoa hapatikani.

  Mi naona awe na serious search ya mwanamke na Sio wanawake anaowapata hawaedani, Ni mindset, wataendanaje Nate kalelewa na Mama ms kudekezwa hivyo?

  Aoe Mama acheze harusi na kuiba Angalau mjukuu mmoja;
  Otherwise Nikifa mama yako roho yangu haiatulia Huko ninakoenda mwanangu.


  QUOTE=MKATA KIU;4637042]Heshima kwenu brothers an sisters

  Nimebanwa sana na my best friend kutoa ushauri hadi kichwa kinauma naombeni msaada wa mawazo,

  My best ni kjana (me) age yupo mid 20's ni graduate na ameajiriwa katika mojawapo ya big 4 auditing firm as auditor,

  Jamaa anakaa na mama yake as mtoto wa pekee, baba yake alifarik mapema sana baada ya yeye kuzaliwa some years ago so amelelewa na kusomeshwa na mama yake peke yake na hadi leo bado anaish nyumban kwao na mama japokuwa ameanza kazi toka 2010 after university na mama yake hakutaka ahame as atakuwa mpweke na amemzoea sana mwanae, na mama ana maisha ya middle class as nyumba inapendeza na miradi midogo midogo mingi so hela za kubadilisha magari ya kijapan haimpigi chenga,na kwa kipindi kirefu toka tupo first year mama yake anaumwa umwa sana as alipataga ajali na toka hapo kichwa hakipo sawa as alifanyiwa surgery kichwan.. Sasa mama ameanza kelele anataka kucheza harusi ya mtoto wake wa pekee na kuona mjukuu au wajukuu kabla hajafariki na jamaa ajajiandaa kuoa kisaikolojia as he still enjoy bachelors life, b mkubwa amekomaa na maneno yake toka mwaka jana na kila siku anaongea anataka mkamwana na mjukuu but jamaa anashindwa afanyeje?

  So ndo katushtua watu wake wa karibu tufanyeje as anadai yeye hayupo tayari na kila mdada anakutana nae anaona hawaendan as ana dream ya kuoa msichana aliye kama mama yake as mchapakaz na smart darasan like her mom as hata yeye bahat mbaya akiondoka dunian watoto wasitetereke kama yeye alivyopata mahitaj yote hata baada ya mzee kufariki, so anashindwa afanyeje na mama anataka acheze harusi mapema as ana imani mwanae anajimudu kwa kipato na hata yeye hatoshindwa kulea wajukuuu kama mwanae akikwama. Na hata asipopata mtoto basi amwone mkamwana kabla hajafa

  Wadau mtu kama huyu nimshauri vp?[/QUOTE]
   
 15. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Kwa Mungu tu Ndo atapata anayefanana Naye; sasa kwa Mungu katulia? Mara anataka Mwenye ma ta ko makubwa utadhani atakuwa Anaishi hapo; asiye na kitambi? Na tamaa zote hizi Mungu Hana nafasi ya kukupa mnayefanana, msitumie maneno matakatifu ya Biblia kwa excuse zenu wakati mitamaa imewajaa.


   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Kati ya vitu ambavyo Mungu kanipunja, is the ability to deal with mamaz boys!
  Mmmmppptuuu!
   
 17. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Just be their mother my kingast is all,

   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ndo maana namuonea huruma huyo mke kabla hata hajapatikana.... Halafu jamaa anatafuta mke atakayefanan na mama yake hapo ndo kazi zaidi
   
 19. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ningekuwa mimi ndo huyo kijana ningemueleza mama anitafutue mchumba aliye mpenda yeye, akisha ridhika naye namuoa.
   
 20. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Sasa hiyo mmmmptuuu ya nini? Kulelewa na mama peke yake ni kosa wakat hakupenda baba yake afe mapema, au sabab wana kauwezo kwao? Nina imani jamaa anajituma na yuko strong kuliko hata waliolelewa kikauzu as mama kamjenga kujitegemea mapema na ndo maana hata 25 imemkuta tayari yupo kwenye ajira nzuri na ameshaanza kusimama bila kujali kama mama ana mali bado anakaza na enzi za chuo na xul ni mpiganaji as mama kamlea vizuri,, hongera zako we mtoto wa baba but I am sure kama upo at his age ukikutana nae sehem na uhakika hutakuwa na nguvu ya kusema hata no zaidi ya kujichekesha tu na kutaka uolewe nae,,,

  hapa unajifanya unaponda wakati hata hujui huyo jamaa yukoje, kulelewa na mama sio kosa na asilimia kubwa ya mamas boy ndo wanaitingisha dunia from LE BRON JAMES, KEVIN DURANT,ANDREA PIRLO, KEVIN TWISSA, VALENTINO ROSSI, HASHEEM THABEET, RONALDO DE LIMA,DIAMOND PLATINUM, CRISTIAN RONALDO na wengineo kibao..
  Kama hutak kushauri kaa kimya sio lazima uandike kila threads
   
Loading...