mama anataka harusi na wakati sijawa tayari...

mama anataka harusi na wakati sijawa tayari...

Hivi kwa nini wazazi hufanya harusi za watoto wao kuwa about wao (wazazi) zaidi ya wahusika wakuu (watoto)?

Kaka kuna kitu tunakosa hapa.....mama hatujasikia upande wake hawezi kuwa tu analazimisha bila sababu

Imagine....the only son and living with mum todate.....mum got head injury and operated....ni haki ya mama kuwa na hamu ya kuona familia yake ikiendelea vema na katika maadili mema.....unaambiwa mpaka chuo huyu jamaa alikuwa hana issues na lassies....ila kapata kazi ndo kacharuka

Nadhani kwa huyu kuoa ni sawa suala la kujiandaa kisaikolojia ni sababu ya vijana wengi siku hizi....ilhali wana multiple concurrent partners elfu na kidogo

Mama yuko worried na muendelezo wa kizazi chake
 
Sasa hiyo mmmmptuuu ya nini? Kulelewa na mama peke yake ni kosa wakat hakupenda baba yake afe mapema, au sabab wana kauwezo kwao? Nina imani jamaa anajituma na yuko strong kuliko hata waliolelewa kikauzu as mama kamjenga kujitegemea mapema na ndo maana hata 25 imemkuta tayari yupo kwenye ajira nzuri na ameshaanza kusimama bila kujali kama mama ana mali bado anakaza na enzi za chuo na xul ni mpiganaji as mama kamlea vizuri,, hongera zako we mtoto wa baba but I am sure kama upo at his age ukikutana nae sehem na uhakika hutakuwa na nguvu ya kusema hata no zaidi ya kujichekesha tu na kutaka uolewe nae,,,

hapa unajifanya unaponda wakati hata hujui huyo jamaa yukoje, kulelewa na mama sio kosa na asilimia kubwa ya mamas boy ndo wanaitingisha dunia from LE BRON JAMES, KEVIN DURANT,ANDREA PIRLO, KEVIN TWISSA, VALENTINO ROSSI, HASHEEM THABEET, RONALDO DE LIMA,DIAMOND PLATINUM, CRISTIAN RONALDO na wengineo kibao..
Kama hutak kushauri kaa kimya sio lazima uandike kila threads

Easy son.......take it easy and let us discuss

Ila mwambie mwana ajipange aoe kuna gharama za kuwa mkubwa katika familia au kuwa the ONLY...... I lived that experience na niliombwa kuoa na wazazi wangu kama huyo jamaa....nikawaomba wanipe muda wa kujipanga (sio mali as niliahidiwa kila la muhimu katika maisha ya ndoa......including a residence) so nilimuomba sana Allah anipe mke mwenye kheri na mimi duniani na kesho aghera.....after a year nikaoa na I am a father of one, happy and focused kuliko mwanzo.

Ila msihi kuwa raha za u bachelor zipo tu na hizikuanza jana and haziishi kesho.....enough is enough na aende next chapter, na pia kama hivyo unavyosema yuko matured ana independent then kuna raha ya kuwa na familia katika age hiyo as atakuwa na umri mzuri wa kukua na familia yake......

Ila maongezi ya aina hii yanataka utulivu na umakini sio huku Grants na tototz halafu mnatoka nje na kuanza kuongea hii mambo huku totoz zikiwasubiri muende club.....you need time and privacy
 
MKATA KIU sidhani kama atampata mdada exactly anayefanana na mamake,bt anaweza kumshape mdada akafanana na mamaye. cha kufanya asake kama 5 dadaz awaweke katika chujio/matazamio huku akichunguza tabia zao. katu asitafutiwe mke na mamaye atakuja kujuta ama kuvunja ndoa yake mapema. kuna vijana hapa mwanza walifungishwa ndoa ya kifahari na wazazi wao kisa wazazi ni among matajiri wa hapa jijini,lakini watoto walikuwa hawakupendana. mwisho wa siku ndoa ya kifahari ìlikufa na wakaachana!
 
Last edited by a moderator:

kimsingi ukiolewa na mtu anayetaka kukufananisha na mama yake lazima hiyo ndoa hiyo chungu!manake atataka kila kitu mpaka kuvaa uvae kama mamaa yake since anaamini mama yake ndiye mvaaji mzuri,mpishi mzuri,na kila kitu!kiukweli namuonea huruma huyo dada atakayeolewa na huyo kijana kwanza atakuwa ameolewa under pressure,lazima kidhi vigezo vya mama!hiyo ndoa mama ndiye atakuwa mume wa kwanza!ila kila la kheri atafute atampata!
 
lol, nawe sweetlady hizo as umeanza lini?
Au ndo anajibu as kama alivyo uliza?

Mwambie jamaa ao, maisha ya ubach sio mazuri, yana vishawishi na mitihani mingi.
Anaweza kujiharibie future yake kwa kuendekeza ubach.
Kikubwa atafute mtu wa kumfaa, afanye hivyo huku akimtegemea mwenyezi mungu, atafanikiwa.
Hana sababu ya msingi ya kuendelea kusubiri.

Hehehehe peri nimeamua kunena kwa lugha ili tuelewane na mleta mada!
 
Last edited by a moderator:
Achana na hao wote walalamishi, kwanza wengi wana waume zao. Sasa sikiliza hilo chansi limekuja kama bahati vileee! Manake na mie nipo in 20s, nina kazi ya kupata hela ya mboga, plus mpango wa kuolewa karibuni nilikuwa sina ila nina mpango wa kuzaa japo nizeeke kwa amani na kupata jembe la kulituma dukani. Yote uliyosema nimeona blah blah blah ispokuwa hela za kubadilisha magari ya kijapan haimpigi chenga, kila mdada anakutana nae anaona hawaendan, msichana aliye kama mama yake as mchapakaz na smart darasan like her mom. Sasa mimi nataka kuzaa bt mtu ahudumie mtoto, kama hapo ukizingatia mwanangu atainherit fortune ya bibi nipo tayari kuzaa nae ASP, mimi uchapakazi wangu ni kitandani tu, plus darasan sio mbaya coz soon ntapewa masters so sio mbaya. Sasa kama vipi niconect nae tusolve tatizo la mjukuu.
 
heshima kwenu brothers an sisters

nimebanwa sana na my best friend kutoa ushauri hadi kichwa kinauma naombeni msaada wa mawazo,

my best ni kjana (me) age yupo mid 20's ni graduate na ameajiriwa katika mojawapo ya big 4 auditing firm as auditor,

jamaa anakaa na mama yake as mtoto wa pekee, baba yake alifarik mapema sana baada ya yeye kuzaliwa some years ago so amelelewa na kusomeshwa na mama yake peke yake na hadi leo bado anaish nyumban kwao na mama japokuwa ameanza kazi toka 2010 after university na mama yake hakutaka ahame as atakuwa mpweke na amemzoea sana mwanae, na mama ana maisha ya middle class as nyumba inapendeza na miradi midogo midogo mingi so hela za kubadilisha magari ya kijapan haimpigi chenga,na kwa kipindi kirefu toka tupo first year mama yake anaumwa umwa sana as alipataga ajali na toka hapo kichwa hakipo sawa as alifanyiwa surgery kichwan.. Sasa mama ameanza kelele anataka kucheza harusi ya mtoto wake wa pekee na kuona mjukuu au wajukuu kabla hajafariki na jamaa ajajiandaa kuoa kisaikolojia as he still enjoy bachelors life, b mkubwa amekomaa na maneno yake toka mwaka jana na kila siku anaongea anataka mkamwana na mjukuu but jamaa anashindwa afanyeje?

So ndo katushtua watu wake wa karibu tufanyeje as anadai yeye hayupo tayari na kila mdada anakutana nae anaona hawaendan as ana dream ya kuoa msichana aliye kama mama yake as mchapakaz na smart darasan like her mom as hata yeye bahat mbaya akiondoka dunian watoto wasitetereke kama yeye alivyopata mahitaj yote hata baada ya mzee kufariki, so anashindwa afanyeje na mama anataka acheze harusi mapema as ana imani mwanae anajimudu kwa kipato na hata yeye hatoshindwa kulea wajukuuu kama mwanae akikwama. Na hata asipopata mtoto basi amwone mkamwana kabla hajafa

wadau mtu kama huyu nimshauri vp?

amuongezee muda wa kumtafuta wa kufanana naye kwani vinginevyo atamsababishia matatizo baadaye
 
Let things FloW..mambo haraka atAkuja kurupua JuSi guluguja likamstress

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mamaz boys ni wale waliolelewa kama mayai. Infact hata kama amelelewa na babake mzazi na mama kwa pamoja, still anaweza kuwa mamaz boy. Nadhani definition ya mamaz boy ndo ilikupiga chenga, note that.

Tuendelee. Mamaz boys kwanza sifa yao ya kwanza huwa wanafanya vitu vizuri manake kuna force nyuma yao. Mcha Mungu, havuti sigara wala pombe, sio muhuni, ana akili za darasani mostly na kazi lazma apate straight manake anaombewa kwa rafiki wa baba ama mama! Tatizo ni moja tu, hata ruhusa ya kuzaa na mkewe itatoka home. Mama tunaomba tuongeze mjukuu, naona mke wangu hajaona siku wiki leo (mama anapiga simu kila asubuhi kuulizia kama siku zimeonekana, anashauri wasifanye unyumba hadi next week, mptuuuuu!!).

Kama umepata picha ya mamaz boy ndo kinyaa hichi. Actually mie naamini wanaume waliolelewa na single mothers wanakuwaga very sharp na wanajua kupenda unless ni mamaz boys!

Note: maswaibu anayoyapata Hasheem Thabit ni matokeo ya kuwa mamaz boy! Kaone ka-diamond kanavyokomaa na mambo yake.
Sasa hiyo mmmmptuuu ya nini? Kulelewa na mama peke yake ni kosa wakat hakupenda baba yake afe mapema, au sabab wana kauwezo kwao? Nina imani jamaa anajituma na yuko strong kuliko hata waliolelewa kikauzu as mama kamjenga kujitegemea mapema na ndo maana hata 25 imemkuta tayari yupo kwenye ajira nzuri na ameshaanza kusimama bila kujali kama mama ana mali bado anakaza na enzi za chuo na xul ni mpiganaji as mama kamlea vizuri,, hongera zako we mtoto wa baba but I am sure kama upo at his age ukikutana nae sehem na uhakika hutakuwa na nguvu ya kusema hata no zaidi ya kujichekesha tu na kutaka uolewe nae,,,

hapa unajifanya unaponda wakati hata hujui huyo jamaa yukoje, kulelewa na mama sio kosa na asilimia kubwa ya mamas boy ndo wanaitingisha dunia from LE BRON JAMES, KEVIN DURANT,ANDREA PIRLO, KEVIN TWISSA, VALENTINO ROSSI, HASHEEM THABEET, RONALDO DE LIMA,DIAMOND PLATINUM, CRISTIAN RONALDO na wengineo kibao..
Kama hutak kushauri kaa kimya sio lazima uandike kila threads
 
I'm a strong mother, mie attitude yangu ni kulea mtoto mwenye independent mind na anaejua anataka nini maishani. Katu ndoa ya mwanangu sitoingilia. Nitamlea kuhakikisha anajua madhara ya kila maamuzi anayofanya. Akilikoroga atalilia chooni! I can't be proud of a mamaz boy, seriously! Nitampeleka manyara range school (hiyo shule nilikuwa natishiwa nayo nikiwa mdogo, sijui bado ipo kwa ajili ya watukutu?)
Just be their mother my kingast is all,
 
hizi mada za mama anataka nioe ni nyingi huku jamvini.nafikiri wanaume wa siku hizi wengi wameshikiwa akili na mama zao ypung ang foolisly mistaken
 
Wa hivi raha yake apate mamaz gal! Kwanza akioa hahitaji hata kuhama kwao manake nyumba ni kubwa na mama ana hausi geli! Wanadeka wote kwa mommy. Mama akituma dukani mwanae ama akitaka chapati hata kama mna ratiba ya unyumba kutwa nzima mnaahirisha marathoni yenu! Mweh!
ndo maana namuonea huruma huyo mke kabla hata hajapatikana.... Halafu jamaa anatafuta mke atakayefanan na mama yake hapo ndo kazi zaidi
 
Msiwe kama kondoo kila kitu anachosema Mzazi unamsikiliza mengine tumia busara yako binafsi.Wewe mzazi amekusomesha una shule nzuri uwezo wa kufikiria ni mzuri kwa sababu wewe bado ni kijana,kama ujuavyo mtu akishazeeka na uwezo wa kufikiria unapungua kwa hiyo wewe kama kijana ndio wakati unatakiwa kumshauri mzazi wako.Nimeona mifano hai ya watu wanao oa kwa mashinikizo kutoka kwa wazazi wao kabla mtu hajafanya maamuzi yake binafsi mwisho wake wengi wao ndoa zao huishia pabaya.
 
Wa hivi raha yake apate mamaz gal! Kwanza akioa hahitaji hata kuhama kwao manake nyumba ni kubwa na mama ana hausi geli! Wanadeka wote kwa mommy. Mama akituma dukani mwanae ama akitaka chapati hata kama mna ratiba ya unyumba kutwa nzima mnaahirisha marathoni yenu! Mweh!
Mtu mzima una akili timamu umeoa halafu uishi nyumba moja na mama yako mzazi haileti picha kabisa?Siku za week umevaa bukta yako na mke wako ameamua kushindia night dress mnaanza kupishana sebuleni na mama yenu mzazi labda mmejisahau mko kwenye mambo fulani wewe unafikiriaje hapo.Yaani mtakuwa hamko huru kabisa kuishi nyumba moja na mama yenu.
 
Kama ulioa kwa ombi la mama, ama mama kakuchagulia? Watoto wa mama ni kansa kabisa aisee, asikuambie mtu! Mkipanga kitu anaenda kumsimulia mama. Akirudi hasemi naona nimepata wazo jipya, anakuambia mama kasema tusifanye hivyo!

Sasa usiombe uoe binti mtoto wa mama! Kuna mdada nilishuhudia she is jobless, kaolewa ana mtoto. Mume akagoma kukaa ukweni. Yaani wakiamka asubuhi mume anaoga na kuvaa. Binti ananyanyua nguo za jana, ananyanyua na mwanae wanakuwa dropped kwa 'mommy'. Binti anaoga, mwanae anaogeshwa, nguo zao na za mume zinafuliwa na kupasiwa. Wanakunywa chai, cha mchana na jioni mume akiwapitia wana hotpot yenye ubwabwa! Hiyo nayo ni ndoa baba?
Mtu mzima una akili timamu umeoa halafu uishi nyumba moja na mama yako mzazi haileti picha kabisa?Siku za week umevaa bukta yako na mke wako ameamua kushindia night dress mnaanza kupishana sebuleni na mama yenu mzazi labda mmejisahau mko kwenye mambo fulani wewe unafikiriaje hapo.Yaani mtakuwa hamko huru kabisa kuishi nyumba moja na mama yenu.
 
Yaani nikiona mkaka anaongelea mamangu ana magari, ana viwanja sijui na nyumba! Moyo unaenda kasi kama nimeona chatu! Ati kwetu mambo safi, kha!
 
as mshauri aoe tu as mamake ndicho anachopenda as pia uwezo huo anao as hatashindwa kulea familia as akishindwa mama atamsaidia as ni hayo tu kwa leo!

ahahahahah...kwakweli nimecheka..lol
 
Wengi wanaosema kwa baba yangu au mama yangu mambo safi.Wengi wao baadaye wanakuja kuwa mizigo kwenye jamii,wakikuwa maombi yao misikitini/makanisani kila siku wanaomba ni lini wazazi wao wafariki dunia warithi mali.Wazazi wao wakifa ugomvi ndio unaanza kwenye hiyo familia wa mali ambazo hawajui zilivyotafutwa.Ukimwona kijana anayesemea/au kujivunia mali za baba/mama yake ambazo hakuzitafuta au hajui zilivyopatikana ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom