Malumbano ya hoja;; je, kuoa kabla hujafanikiwa ki maisha je, hii huchangia kua maskini, Daima? Tililika mtanzania

Malumbano ya hoja;; je, kuoa kabla hujafanikiwa ki maisha je, hii huchangia kua maskini, Daima? Tililika mtanzania
ZINAA HULETA UFUKARA,,,NDOA HAILETI UFUKARA,,,BALI MKE MBOVU NDY HULETA UFUKARA,,,,Watu wengi wanashindwa kujuwa kwamba1+1=2,,.kuwa makini kwenye kutafuta MKE,,,,unaweza ukawa FUKARA baada ya KUOA,,,na unaweza UKAWA NA MAFANIKIO BAADA YA KUOA,,,, inategemea na UMEOA Mke wa aina gani ,,,,VAMPIRE? AU MKE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mtabiri, ila amin nakuambia ""MAAMUZI YAKO YAJANA ,NDIO YAMEKUFANYA UWE HAPO ULIPO SASA HIVI""".

Ukiona , Unaogopa kuoa sababu unaona hujayapatia maisha, Basi ujue Jana yako ulifanya uzembe wa kuyatafuta hayo maisha.

Hata ivo , Mwanamke ni msaidizi , na neno msaidizi ukilitizama ktk Muktadha wa maisha kwa ujumla wake, utagundua kua "Ukipata mke mwema, aina ya unaumwa kichwa kisha anakuambia " Baby jitahidi meza DAWA HIZI alafu uende kazin, kama hali itakua mbaya nijulishe nije twende hosptal" ......... Huyu Utatusua naye Laifu hata km ndo unaanza maisha.

Lkn ukikutana nahawa wa ""Baby sasa kichwa kinauma ,uende kazin? Hujionei huruma? Embu baki nyumban ,nikutengezee chai, kisha tutombanee wee mpaka jioni""..Bro , Wewe na umasikin mtakua marafiki.
AHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA, MKUU UMENICHEKESHA SANAA ASEE, ALAFU JIONI ANAKUULIZA TUNAKULA NN BABY???, WANAWAKE WENGINE JAMANI WANAFURAHISHA, UKIWA KIHIYO UKAKUBALI JIONI UTAULIZWA BABIE TUNAKULA NINI? SASA NDIO UNAJIULIZA INA MAANA HAKUONA TUMESHINDA WOTE NDANI APA? IT NEEDS THE SIX SENSE TO UNDERSTAND WHAT MEANS WHEN SOMEONE SAYS "BE CAREFUL" COZ ITS THE BROAD NOTION IN TWO WORDS.
 
Kama kusingekuwepo matumizi ya pesa na luxuries ulimwenguni nadhani kuoa ingekuwa jambo jepesi sana. Ndoa imefungamana na maridhiano hasa ya kimwili na kiroho baina ya watu wawili wapendanao.

Ubaya sikuhizi ndoa ni materialistic kuliko maridhiano baina ya wawili. Mtu anaolewa akiwa na dhamira tofauti asafishe nyota tu. Ama kwa vile mtu ana pesa ama utajiri.

Kuwa tajiri ama kutokuwa tajiri inategemea na mke ulienae. Kama ukipata janamke vivu mtakufa maskini maana anachojua ni kuchanua ngenya tu na kupika mle. Hana mawazo ya kujenga, challenges za ku seek maendeleo wala ushauri mzuri!
 
bac itakuwa hii mambo ina mtazamo wa zigzag!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yah just imagine mtu unaoa mwanamke anae jua maisha!! mkapanga mipango! ukamfungulia biashara ya kueleweka mambo yakajipah mkaongeza kipato tofaut na ulivokua mwenyew mkafanikiwa tena kuwekeza sehem nyingine tofaut tofauti hio ni nini mkuu!! ndo utajili wenyew huo chamsingi ni kuoa mwanamke anaejielewa tu basiii.
 
Napingana na wewe, vip pia kuhusu wale wanao oa mwanawake matajili??

Kuoa sio kupotea inategemea tu na umejidhatiti vip kukabiliana na changamoto ndan ya ndoa! kuna watu wanaoa na ndo wanatoboa sasa kama ulikua hujui.
Mh...!!! Wanawake wenyewe kina manengelo na kina aggyjay hawa wakipata hela si ndio hawataki hata kuolewa.Wanaona wanakosa uhuru. Wanataka kufuga vibenteni tu....
 
Kama kusingekuwepo matumizi ya pesa na luxuries ulimwenguni nadhani kuoa ingekuwa jambo jepesi sana. Ndoa imefungamana na maridhiano hasa ya kimwili na kiroho baina ya watu wawili wapendanao.

Ubaya sikuhizi ndoa ni materialistic kuliko maridhiano baina ya wawili. Mtu anaolewa akiwa na dhamira tofauti asafishe nyota tu. Ama kwa vile mtu ana pesa ama utajiri.

Kuwa tajiri ama kutokuwa tajiri inategemea na mke ulienae. Kama ukipata janamke vivu mtakufa maskini maana anachojua ni kuchanua ngenya tu na kupika mle. Hana mawazo ya kujenga, challenges za ku seek maendeleo wala ushauri mzuri!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Š๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Š๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...nafurahi sana mie mume akiniomba nimkopeshe pesa.....nasemaga safi...!kwakweli wanawake wanaokaa kaa tu nyumban kila mwaka wana mimba dah...ngoja nikae kimya!
 
Kabla ya kuoa lazima huwe na nyumba kipato cha uhakika na plan b kama hauna hivyo usioe utaleta usumbufu mkubwa katika jamii na familia yako kumbuka kuoa sio lazima

ww endelea kuishi kwa shemeji yako tu...mie nimeoana na hubby tumetoka wote chuo tuna vitanda vi2 na friji 2 (kila mtu alokiwa nacho chuon)mbona tulitusua poa tu..eti had ujenge..kwa maisha gan ?na kweli kuoa au kuolewa sio lazima .na ww nashauri usioe
 
Back
Top Bottom