kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,557
- 2,626
duuMimi sio mtabiri, ila amin nakuambia ""MAAMUZI YAKO YAJANA ,NDIO YAMEKUFANYA UWE HAPO ULIPO SASA HIVI""".
Ukiona , Unaogopa kuoa sababu unaona hujayapatia maisha, Basi ujue Jana yako ulifanya uzembe wa kuyatafuta hayo maisha.
Hata ivo , Mwanamke ni msaidizi , na neno msaidizi ukilitizama ktk Muktadha wa maisha kwa ujumla wake, utagundua kua "Ukipata mke mwema, aina ya unaumwa kichwa kisha anakuambia " Baby jitahidi meza DAWA HIZI alafu uende kazin, kama hali itakua mbaya nijulishe nije twende hosptal" ......... Huyu Utatusua naye Laifu hata km ndo unaanza maisha.
Lkn ukikutana nahawa wa ""Baby sasa kichwa kinauma ,uende kazin? Hujionei huruma? Embu baki nyumban ,nikutengezee chai, kisha tutombanee wee mpaka jioni""..Bro , Wewe na umasikin mtakua marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app