Bright Smart
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 642
- 312
Malikia mwingine huyu, mnh malikia wengi!!!
heh nilivoona title niliexpect kuona mchwa yaani literal meaning ya "malkia wa nyuki" mh hili limenipita.
Tangaza dau!mwenye namba yake ani PM, Maana muda mrefu sana namtafuta huyu!
Duh hio mikono...
imefanyaje mikono?
imezeeeka sana
Yeye account zake zipo Oman na Uswiss ndo maana hujamwona kwenye list
imezeeeka sana