Nyuki walivyovamia mji wa Netivot Israel

Nyuki walivyovamia mji wa Netivot Israel

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,107
Reaction score
3,465
Nyuki wakijikusanya na kuruka kwa makundi katika mji wa kusini wa Netivot, hatua iliyopelekea mamlaka kuwataka watu kusalia ndani ya nyumba zao. Wataalamu wa nyuki wanasema jambo hilo linatoa mwanga kuhusu mifumo ya nyuki kukusanyika, msongo wa kimazingira, na jinsi nyuki wanavyojitunza na kukabiliana na maisha katika maeneo ya mijini.


 
Back
Top Bottom