Malkia wa nyuki...

Malkia wa nyuki...

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,428
View attachment 83995 malkia wa nyuki1.jpgmalkia nyuki.JPG
malkia wa nyuki.
bilionea wa simba, rahma al kharusi ‘malkia wa nyuki’


al kharusi mmiliki wa kampuni ya rbp group inayojishughulisha na mafuta.
 
Huyu billionea ni mtanzania au maana kwenye listi ya wenye hela ndefu wa Tz sijasoma jina lake.
 
huyo shemeji yenu kupitia kwa kaka yangu, hivo mwacheni
 
Tayari mmeshaanza mkiona vinaelea vimeundwa
 
heh nilivoona title niliexpect kuona mchwa yaani literal meaning ya "malkia wa nyuki" mh hili limenipita.
 
Back
Top Bottom