Tumeendelea ndio maana mko hapa mnadiscuss. Mimi nashangaa sana watu wamakabila mengine walivyo na wivu na kushabikia kuwashusha wachagga chini. Nyie hata mkiwa na hasira sasa hivi haisaiidiii, walaumuni ancestors wenu maana wao ndio hawakuona umuhimu wa elimu. Sio kosa la wachagga kwamba waliona opportunities na wakachukua, biashara na elimu. Na hiyo ndio wachagga walijua kwamba ndio urithi mzuri kwa vizaze vyake. Ndio maana wachagga hawana wasiwasi wowote wa kubaguliwa na kushushwa tangu enzi za Nyerere. Nyerere tried it but failed. You all cannot change that. Walaumuni ancestors wenu for not being clever enough.
Moshi iwe jiji isiwe jiji, wachagga hawana shida, shule ziko nyingii, hospitali, biashara zao etc, so who cares kama makabila mengine yanaona shida. Jiendelezenii, kueni na utamaduni wa kupenda maendeleo na kupenda kujiongeza kielimu.
Wachagga wengi ni wasomi, ndio maana hawadanganyikii na CCM. Ndio maana CCM inawachukia wachagga maana ni vigumu mnoo kumdanganya mtu aliye na elimu na anauwezo wa kupambanua mambo. Angalia mikoa yooote inayochaguaga CCM, imejaa umasikini mtupu. Mkoloni alijenga shule Kilimanjaro, na wachagga hawakukataa kusoma, ndio maana leo wachagga wapo hapo walipo na hawababaikii CCM maana wanaujua ukweli. Ukitaka kumtawala mtu milele, usimpe elimu.