Malisa ampinga kwa fact Polepole kuhusu CCM kuiletea maendeleo Moshi

Malisa ampinga kwa fact Polepole kuhusu CCM kuiletea maendeleo Moshi

Hajui kitu kuna makabila mawili kushika uraisi Tanzania wasahau wa kwanza wapemba waarabu, wakati Karume Na waswahili wakitaka uhuru Zanzibar Na kumkimbiza sultan Na mapanga Na mashoka wapemba waarabu ndugu zake seif Sharif hamad hawakushiriki mapinduzi walikuwa wakila urojo Na watoto wa sultani leo wanataka uraisi Zanzibar shenzi hakuna kabila la pili wachaga Nyerere waliungana Na makabila yote kudai Uhuru akaenda umoja wa mataifa Kwa kuchangiwa nauli Na malazi wachaga kiongozi wao Mangi akakubaliana Na watu wake akaenda umoja wa mataifa kupinga kuwa Tanzania isipewe uhuru leo mnataka uraisi wakati mapambano ya kutafuta uhuru hamkushiriki? Leo mnataka kufaidi nchi ambayo Uhuru wake hamkupigania .To hell with your Mangi degrees.Ukawa ni muungano wa wachaga akina marealle Na wapemba akina Seif Sharif hamad ambao hawakupigania Uhuru Nani awape nchi? Maruhuni nyie.Ushauri wangu wachaga Na wapemba waarabu endeleleeni Na biashara zenu siasa acheni tu
Kama ni kweli basi wajamaa walikua na akili kumbe, waingereza wangekaa zaidi maendeleo yangekuwa juu zaidi, Lakini sio waarabu!
 
Tangu nianze kuifahamu ccm sijawahi kuona ina kiongozi duni kama Humphrey Polepole
 
Nikikumbuka nimesoma shule ambayo imeanzaga 1908 alafu kanya boya anasema ccm imeleta maendeleo moshi nashindwa mwelewa. Ni kujipendekeza. Kwao ni dodoma huko wasijipendekeze kwetu
Aisee sisi kwetu hatujawahi kuchagua upinzani...sisi ni CCM tu ila hatujawahi kuwa na maendeleo hata kidogo
 
Pamoja na misifa yote hiyo bado Moshi ina hadhi ya manispaa na Dodoma ina hadhi ya jiji
Hilo jina linasaidia vipi maisha ya watu wanaoishi kwenye manispa au Jiji?Wenye nyumba za tembe,elimu duni afya duni watabaki hivyo hata tungewapa hadhi ya Nchi, wenye maendeleo hata tukiwapa hadhi ya mtaa haitaathiri kitu.Tuchape kazi
 
maendeleo yanaletwa na barabara,kama barabra za kuelekea moshi zingeendelea kuwa mbovu,tusingekua na moshi hii ya leo,halafu mnajitoa ufahamu tokea uhuru moshi ipo chini ya serikali ya chama hiki hili haikwepeki hiyo
Hujielew,,kwa hyo hlo barabara ccm mlijichangisha pesa mkalijenga??rubbish kwa kweli hawa watu wote ni chakubanga
 
Kwa hyo unatuaminisha uwezo wako wa kufikilia umeishia hapo?kwa hyo ccm tangu ukolon maendeleo mnayojivunia ni kutamka moshi ni manispaa?? bas kama akili zenu ndo hizi mtasubil sana
 
Ukitafakari yanayofanyika dhidi ya Watanzania wanaolipa kodi unaweza kukosa majibu kwanini hivi
 
Nondo kali sana hii, ngoja tuone maCCM yanavyohangaika kutetea ujinga!
 
Back
Top Bottom