Malisa ampinga kwa fact Polepole kuhusu CCM kuiletea maendeleo Moshi

Malisa ampinga kwa fact Polepole kuhusu CCM kuiletea maendeleo Moshi

Fact ni kwamba kilimanjaro ingekuwa ni nchi inayojitegemea,ama kilimanjaro na arusha zingeungana ikawa nchi,basi ingekuwa ndo nchi tajiri kuliko zote africa mashariki na ingekuwa na maendeleo makubwa mno
Labda kwa kuuza "mtori".na keexport ndafu zilizofungwa kitaalam.
 
Wachagga bhana, basi mnajiona mmeendeleaaaa, kuliko watu wa sehemu nyingine katika taifa hili!! Haya bhana!
 
Kwa bahati nzuri nimeishi Kilimanjaro kwa zaidi ya miaka mitatu,pia historia inaonyesha kuwa Kilimanjaro ni miongoni mwa maeneo ya mwanzo kupata maendeleo kwa hapa Tanzania... Kilimanjaro watu walianza kutumia dawa za Vinywa kabla hata ya Uhuru,Kilimanjaro watu walianza kutumia mafuta ya kujipaka ya viwandani wakati sehemu kubwa ya Tanzania watu wakitumia mafuta ya ng'ombe
Mangi Mariale ndyo mtu wa kwanza kutoka Tanganyika kuingia kwenye office za umoja wa mataifa kuomba certificate of complete Independence... alikuwa anataka Mkoa wa Kilimanjaro ujitwalie Uhuru na ujitegemeee kama Taifa lkn Jk wa kwanza alimuwahi na kufanya yake!
 
Duh ila moshi ni nyoko, nilibahatika kwenda maeneo ya vijijini, Marangu, Machame, Uru, kweli yaani ukiambiwa huku ni vijijini unakataa....Kwanza nilitafuta angalau nione nyumba ya matope hakuna....

Huko Machame utafikiri upo Miami, hawa jamaa balaa asee.

sasa nenda mikoa mingine alafu uende vijijini utaona huruma
 
Ingekuwa mimi natunga mitihani ya Civics na Historia ningeweka essay kama
1. How CCM underdevelops Tanzania
2. Effects of CCM forcing to rule Tanzania
3. Effects of Ccm on the economy of Zanzibar.
4. Mchango was CCM kwny uzalendo wa Watanzania kwa nchi yao.
5. CCM inamchango gani kwa kushuka kwa umoja miongoni mwa watanzania. Tolea mifano watawala na kauli zao.
6. Chama ni kikundi cha watu wachache lakini kinaweza kuhodhi raslimali na kikawa kinaamua kwa ajili ya wengi kwa maslahi ya hao wachache. Jadili ukitolea mfano CHichiem
 
Chakubanga bila shaka hakupata iyo chanjo ya pepopunda
Hapana mkuu siyo ya pepopunda ile alitakiwa achomwe ya ndui! Nawashangaa sana watu wanaosema eti chakubanga ni kijana,, kipimo chake ni ugonjwa wa ndui maana huo ulipotea miaka mingi sana hivyo ukimwona mtu ana alama za ndui kama chakubanga huyo ni mzee!!
 
Wachagga bhana, basi mnajiona mmeendeleaaaa, kuliko watu wa sehemu nyingine katika taifa hili!! Haya bhana!
Wameendelea wapi?
Labda katika wizi. Jamaa katika wizi wapo vizuri sana. Kesi ya Billionaire Msuya, ndio yale yale yanayotokea katika sectors nyingi apa Tanzania, jamaa wapigaji sana
 
Ingekuwa mimi natunga mitihani ya Civics na Historia ningeweka essay kama
1. How CCM underdevelops Tanzania
2. Effects of CCM forcing to rule Tanzania
3. Effects of Ccm on the economy of Zanzibar.
4. Mchango was CCM kwny uzalendo wa Watanzania kwa nchi yao.
5. CCM inamchango gani kwa kushuka kwa umoja miongoni mwa watanzania. Tolea mifano watawala na kauli zao.
6. Chama ni kikundi cha watu wachache lakini kinaweza kuhodhi raslimali na kikawa kinaamua kwa ajili ya wengi kwa maslahi ya hao wachache. Jadili ukitolea mfano CHichiem
CCM imevuruga maendeleo ya mikoa mingi sana. Wale wenye uwezo ambao hawapo ccm, wanaonekana wasaliti kisa awaungi icho chama
 
ee6e4-2.jpg



bukoba-kolping-hotel-25541-eb4aa85f7a50cf5c46c387c512a78852bef18539.JPG




fixedw_large_4x.jpg




bukoba-cathedral.jpg



10646801_781537808571087_185684309818347587_n.jpg




port-of-bukoba-2505-1.jpg




13006357.jpg



bukoba-airport.jpg
Kamji kazuri kama watu wangekuwa wana tabia ya kujenga kwao ama kujenga pale unapofanyia kazi..kiukweli Bukoba panapendeza kwa mandhari
 
Malisa, maendeleo ya moshi ni kweli yalikuwa zaidi ya milia mingine, NA yaliketwa sio kwa juhudi ya mangi na wachaga pekee yao, bali yaliketwa NA mkoloni na makanisa, ambayo walikuwa wakifanya mambo kwa maslahi yao. Waingereza na makanisa walichagua makabila kadha hapa nchini ili kuyatumia ili waweze kuendelea kututawala kupitia hayo makabila, walimaji wakubwa wa kahawa walikuwa wazungu, wakisaidiwa kuliendeleza zao hilo NA wachaga , wameru na WaArusha katika mikoa ya Kili NA Arusha.

Ukweli ni kuwa mangi na viongozi wengi wakichaga walikuwa vibaraka wa wakolini . Ilifikia wakati hata Mangi alitaka muingereza alitenge JImbo la Moshi NA kuwa nchi tofauti NA Iweze kujiendesha chini ya himaya ya Uingereza NA Malkia.

Maendeleo ya Moshi happened kipendeleo kwenye mgongo wa Tanganyika
 
CCM kwa kiwango kikubwa ndiyo chanzo cha uduni wa uchumi wa Tanzania. I am sure Tanzania would be better without CCM. Wale maadui wakuu wa maendeleo ya Tanzania, wote wamesabishwa na CCM.
 
Back
Top Bottom