Malisa ampinga kwa fact Polepole kuhusu CCM kuiletea maendeleo Moshi

Malisa ampinga kwa fact Polepole kuhusu CCM kuiletea maendeleo Moshi

Maendeleo ya watu wa Kilimanjaro ya leo wameyapata kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. Ingekua fursa zipo mkoa wa kilimanjaro wachaga wasingepakimbia kwenda kutafuta maisha kwingine. Moshi pekee haitoshi kuiendeleza kilimanjaro na kua taifa lenye nguvu.

..kwa miaka mingi Kilimanjaro imekuwa na uhaba wa ardhi.

..hali hiyo ndiyo imesababisha wenyeji wa mkoa huo kuhamia maeneo mengine.

..pia kuna miaka bei ya kahawa iliporomoka ktk soko la dunia.

..hali hiyo ilisababisha vijana wengi toka Kilimanjaro wakimbilie mijini na kufanya shughuli za " umachinga ."

..Wengi walijishughulisha na kupiga brashi na kushona viatu, kukaanga chips na mishikikaki, kuuza baa, fundi welding, fundi makenika, madereva wa teksi bubu, etc etc

..Baadhi ktk kundi hilo wali graduate toka kuwa wafanyabiashara wadogo kuwa wafanyabiashara wa kati.

..Waliowapokea kufanya biashara ndogondogo ni Wamachinga halisi toka Mikoa ya Kusini. Hao walikuwa wanakimbia hali ngumu ya kiuchumi iliyokuwa ikiikabili mikoa ya kusini.

..Tanzania kila mtu ana uhuru wa kwenda popote kujitafutia riziki. Na tuna bahati kwamba kuna KISWAHILI ambacho kinarahisisha wananchi kujichanganya.

..Wakinga, Wapemba, Wachaga, Wasukuma, ni baadhi ya jamii ambazo zime-take advantage ya uhuru wa kuhamia na kuishi popote Tz kujipatia maendeleo ya kiuchumi.

Cc Manelezu
 
Mtoa mada anawapongeza wakoloni kwa kujenga hiyo miundombinu.Hakuna hata muundombinu mmoja uliojengwa na wachaga pekee.
Ni vema pia juhudi za kuendeleza hiyo miundombinu zilizofanywa na serikali ya CCM baada ya uhuru zikatambuliwa.Pia kuna miundombinu iliyojengwa baada ya Uhuru. Nayo ingetambuliwa na mtoa made.
 
hujiuliz ni kwann hAo wazungu wAliendA kujenga Kilimanjaro na sio kule kwenu kingolwira
 
hujiuliz ni kwann hAo wazungu wAliendA kujenga Kilimanjaro na sio kule kwenu kingolwira

Hapo tunakubaliana kuwa siyo wachaga waliojenga.Ni wakoloni na serikali ya CCM ilikuja kuendeleza pale wakoloni walipoachia
 
Hapo tunakubaliana kuwa siyo wachaga waliojenga.Ni wakoloni na serikali ya CCM ilikuja kuendeleza pale wakoloni walipoachia
mzungu hakai nA wavivu,chagaz ni wachapakaz ndio maana wazungu wakaj
 
Back
Top Bottom