Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 829
'Ukitaka kumtawala mtu milele usimpe elimu' huo ndio ukweli unaouma!
Kabisa
'Ukitaka kumtawala mtu milele usimpe elimu' huo ndio ukweli unaouma!
Wachaga Na chifu wao walienda umoja wa mataifa kukataa Tanzania isipewe uhuru Na digrii zao uhuru wa Tanzania uliletwa Na makabila yasiyosoma Wala yasiyo Na wasomi Kwa taarifa yako'Ukitaka kumtawala mtu milele usimpe elimu' huo ndio ukweli unaouma!
Wachaga Na chifu wao walienda umoja wa mataifa kukataa Tanzania isipewe uhuru Na digrii zao uhuru wa Tanzania uliletwa Na makabila yasiyosoma Wala yasiyo Na wasomi Kwa taarifa yako
Serekali iliyopinduliwa Zanzibar 1964 ilikua seriksli halali iliyochaguliwa na wananchi wa Zanzibar, Wapemba hawakuwa na sababu yoyote ya kubeba mapanga, waliopindua serikali mwaka 1964 ni wenye uchu wa madaraka ndio maana wamepindua tena mwaka 2015. Chief Marealle alienda UNO kudai uhuru waHajui kitu kuna makabila mawili kushika uraisi Tanzania wasahau wa kwanza wapemba waarabu, wakati Karume Na waswahili wakitaka uhuru Zanzibar Na kumkimbiza sultan Na mapanga Na mashoka wapemba waarabu ndugu zake seif Sharif hamad hawakushiriki mapinduzi walikuwa wakila urojo Na watoto wa sultani leo wanataka uraisi Zanzibar shenzi hakuna kabila la pili wachaga Nyerere waliungana Na makabila yote kudai Uhuru akaenda umoja wa mataifa Kwa kuchangiwa nauli Na malazi wachaga kiongozi wao Mangi akakubaliana Na watu wake akaenda umoja wa mataifa kupinga kuwa Tanzania isipewe uhuru leo mnataka uraisi wakati mapambano ya kutafuta uhuru hamkushiriki? Leo mnataka kufaidi nchi ambayo Uhuru wake hamkupigania .To hell with your Mangi degrees.Ukawa ni muungano wa wachaga akina marealle Na wapemba akina Seif Sharif hamad ambao hawakupigania Uhuru Nani awape nchi? Maruhuni nyie.Ushauri wangu wachaga Na wapemba waarabu endeleleeni Na biashara zenu siasa acheni tu
Kabila lililoendelea kuliko yote ni wazaramo.Serekali iliyopinduliwa Zanzibar 1964 ilikua seriksli halali iliyochaguliwa na wananchi wa Zanzibar, Wapemba hawakuwa na sababu yoyote ya kubeba mapanga, waliopindua serikali mwaka 1964 ni wenye uchu wa madaraka ndio maana wamepindua tena mwaka 2015. Chief Marealle alienda UNO kudai uhuru wa
Chagaland hakufanya kosa lolote ndio maana Nyerere akamshawishi na akakubali kushirikiana nae kudai uhuru, baada ya uhuru akawa anamwogopa sio yeye tu pamoja na machifu wengine, kwa kuwa wameelimika (walisomeshwa na mkoloni) ndio maana akavunja chiefdoms
Wachaga Na chifu wao walienda umoja wa mataifa kukataa Tanzania isipewe uhuru Na digrii zao uhuru wa Tanzania uliletwa Na makabila yasiyosoma Wala yasiyo Na wasomi Kwa taarifa yako
Ubinafsi wachaga mlianza siku nyingi Kwa hiyo huoni kosa hapo? Nyerere anaenda Umoja wa mataifa kudai uhuru Kwa niaba ya makabila yote Tanzania nzima wachaga mnatuma chifu asiwape uhuru makabila mengine Ila awape uhuru chagaland tu? Ubaguzi mlianza siku nyingi ndio mnataka nchi kagombeeni ubunge Na udiwani chagaland uraisi acheni makabila yaliyopigania uhuru wa Tanzania nzima sio chagaland pekee au wapigania Pemba pekeeSerekali iliyopinduliwa Zanzibar 1964 ilikua seriksli halali iliyochaguliwa na wananchi wa Zanzibar, Wapemba hawakuwa na sababu yoyote ya kubeba mapanga, waliopindua serikali mwaka 1964 ni wenye uchu wa madaraka ndio maana wamepindua tena mwaka 2015. Chief Marealle alienda UNO kudai uhuru wa
Chagaland hakufanya kosa lolote
Kwani makabila mengine hawajaendelea? Wanakula Na kulala Kwa gharama za wachaga? Na gharama za maisha za Kila siku zinagharimiwa Na wachaga?Mmefika wapi mpaka leo? Mbona mko hapa mnajadili maendeleo ya wachagga? Ungekua unaakili ungegundua mababu na bibi zetu kunawalilokua wanalijua ndio maana leo tuko hapa tunajadili vile wachagga wanamaendeleo kushinda makabila yote. Tumia akili sio kudandia hoja moja na kuipost hapa. Tanzania ina makabila 122 na zaidi, na kati ya yoote hakuna yaliyoizidi maendeleo wachagga. Embu kaachini ujifunze na wewe watoto wako na vizazi vijazo viwe na maendeleo.
Serekali iliyopinduliwa Zanzibar 1964 ilikua seriksli halali iliyochaguliwa na wananchi wa Zanzibar, Wapemba hawakuwa na sababu yoyote ya kubeba mapanga, waliopindua serikali mwaka 1964 ni wenye uchu wa madaraka ndio maana wamepindua tena mwaka 2015. Chief Marealle alienda UNO kudai uhuru wa
Chagaland hakufanya kosa lolote ndio maana Nyerere akamshawishi na akakubali kushirikiana nae kudai uhuru, baada ya uhuru akawa anamwogopa sio yeye tu pamoja na machifu wengine, kwa kuwa wameelimika (walisomeshwa na mkoloni) ndio maana akavunja chiefdoms
Imi sina chembe ya Uchaga wala Upemba, lakini huo ndio ukweli kama huutaki pambana nao!Ubinafsi wachaga mlianza siku nyingi Kwa hiyo huoni kosa hapo? Nyerere anaenda Umoja wa mataifa kudai uhuru Kwa niaba ya makabila yote Tanzania nzima wachaga mnatuma chifu asiwape uhuru makabila mengine Ila awape uhuru chagaland tu? Ubaguzi mlianza siku nyingi ndio mnataka nchi kagombeeni ubunge Na udiwani chagaland uraisi acheni makabila yaliyopigania uhuru wa Tanzania nzima sio chagaland pekee au wapigania Pemba pekee
Thanks mkuu kumbe kuna wanaoelewa vizuri kama ww, huyu jamaa anaongea kama mtu wa mtaani tu..huyo YEHODAYA uvccm unayoengea naye anabwabwaja tu.
..hana ushahidi wa mambo anayoyazungumza.
..kama Wapemba hawaruhusiwi Uraisi, mbona Dr.Shein ameteuliwa na CCM kugombea Uraisi wa SMZ?
..pia Marealle hakupinga Uhuru. Tofauti yake na Mwalimu Nyerere ilikuwa ni ktk vyama tu. Tena kuna ushahidi wa hotuba ya Mwalimu Nyerere akiwa UNO ambako amenukuliwa akisema anakubaliana na hoja zilizotolewa na Mangi Marealle.
..Zaidi ulipofanyika uchaguzi wa Tanganyika Tanu ilishinda viti vingi Uchaggani. Sasa madai ya Wachagga kupinga uhuru au kuipinga Tanu yanatoka wapi?
cc Manel
Thanks mkuu kumbe kuna wanaoelewa vizuri kama ww, huyu jamaa anaongea kama mtu wa mtaani tu
Shein ni mpemba mswahili sio mpemba mwarabu..huyo YEHODAYA uvccm unayoengea naye anabwabwaja tu.
..hana ushahidi wa mambo anayoyazungumza.
..kama Wapemba hawaruhusiwi Uraisi, mbona Dr.Shein ameteuliwa na CCM kugombea Uraisi wa SMZ?
..pia Marealle hakupinga Uhuru. Tofauti yake na Mwalimu Nyerere ilikuwa ni ktk vyama tu. Tena kuna ushahidi wa hotuba ya Mwalimu Nyerere akiwa UNO ambako amenukuliwa akisema anakubaliana na hoja zilizotolewa na Mangi Marealle.
..Zaidi ulipofanyika uchaguzi wa Tanganyika Tanu ilishinda viti vingi Uchaggani. Sasa madai ya Wachagga kupinga uhuru au kuipinga Tanu yanatoka wapi?
cc Manelezu
Hakuna mzaramo omba omba nitafutie Tanzania nzima humpati dar ya wazaramo imejaa omba omba Toka bara wakiwemo wachaga omba omba wa bia za Kilimanjaro barKabila lililoendelea kuliko yote ni wazaramo.
Dar ya wazaramo huwezi kulinganisha na mkoa wowote Tz
NdiyoMiaka hiyo Malisa anayoongea kulikuwa Na chama cha siasa kilichojaa wachaga wengi kama chadema?
Si mmejaribu sana kuwashikia wachagga chini mkashindwa. Acha kuwa kama nguruweMkoa pekee uliofanikiwa kuuza mataruma yote ya reli ni sio wengine ni wanakilimanjaro.yaani wamebakisha tuta tu, reli ya Moshi Tanga...nawapa pongezi kwa hilo.Mjerumani akirudi leo atastaajabu akiambiwa reli imeibiwa haha
Ukabila upo!Actions speaks louder than words.Nimesoma comment kadhaa nilichobaini bado ukabila upo vichwa mwa baadhi ya watu