Malipo ni hapa hapa duniani

Malipo ni hapa hapa duniani

mimi nimewavuruga weee vuruga! vuruga! yaani nimewavuruga vibaya sana! mpaka hawanitamani kuniona unajua kuvuruga yaani nimewavuruga kweli nje ndani juu chini kote nimevuruga!!!
halafu mwisho wa siku nimeoa bikira nimemtoa mwenyewe niambie malipo yangu yakwapi sasa!!!
Kuna nyuzi nyingine zinafaa kusomwa ukiwa na stress, maana zimekaa Kifutuhi zaidi kuliko ukweli ulivyo...
 
mimi nimewavuruga weee vuruga! vuruga! yaani nimewavuruga vibaya sana! mpaka hawanitamani kuniona unajua kuvuruga yaani nimewavuruga kweli nje ndani juu chini kote nimevuruga!!!
halafu mwisho wa siku nimeoa bikira nimemtoa mwenyewe niambie malipo yangu yakwapi sasa!!!

wait until,"the end of beginning"
 
Wewe unawalaani uzao wako mwenyewe, asikudanganye mtu utakopojaziwa wajukuu wasio na baba na watoto wenye ukimwi utakumbuka tu

kwenye avatar yako naona upo vizuri ngoja niku"pm" tumalizie maongezi huko!!!
 
Hahaha naona umeongea kwa hisia Kali, pole kwa yaliyokukuta......

Ushauri wa bure, ni bora uvuruge vuruge na ufanye kimbunga cha uharibifu ili usije kulia na kupata machungu km hayo uliyonayo kijana.
Mjini mabazazi kibao, shauri yako.
 
Kama wa kwangu yuko mahali anavurugwa basi ngoja na mimi niendelee kuwavuruga hao wa wenzangu...
 
Wakijiweka kuharibiwa wataharibika na wakitulia hakuna wakuwaharibu.
 
Back
Top Bottom