Malima akamatwe (obstruction of justice)

Mkapa hawezi kufanya ujinga huo. Anajitambua. Mkapa anao walinzi.
 
Eti nae huyu ni Great thinker rubbish kabisa kuandika kwenyewe ni shida sasa majibu yako ya ulichohoji hapo juu ni haya hakuna aliye juu ya sheria kama alitambua yeye ni kiongoz angepaswa kutanguliza busara kwanza na sio majivuno.
 
"Unajua mimi ni nani" aisee nachukia sana hii kauli, halafu kuna wananchi walikuwa pale kiushabiki tu eti wanamsapoti Malima.
 
Ahsante Daudi
 
Na kweli matapeli majizi wanatembelea magari mazuri sijui wanayaazima yard za kuuzia magari
 
So umeangalia hiyo clip na umeona sehemu wameandika "no parking" au umeamua tu kujitoa ufahamu
 
 
Mkuu nenda pale ngome upanga ukapaki gari halafu akija millitary police muulize mbona hamna alama ya no parking pengine itakuwa mwisho wa uhai wako......mbonasheria za tanroads ziko so clear angalia tafsiri ya neno hifadhi ya barabara.
 
ni ngumu kuadithia picha ambayo imeangaliwa na wengi kwani hata hivyo mweshimiwa katumia busara kubwa kunyamazisha dereva wake na vilevile watu wamechoka na uonevu unaojitokeza kila siku subiri yakukute utaelewa ila ukicheki unaona kabisa busara imetumika sana ....
Ila akuna mtu juu ya sheria ila kuna ukiukwaji wa sheria me na wewe atujui sasa wanaotakiwa kuzungumzia ili swala ni vyombo usika.


Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nenda pale ngome upanga ukapaki gari halafu akija millitary police muulize mbona hamna alama ya no parking pengine itakuwa mwisho wa uhai wako......mbonasheria za tanroads ziko so clear angalia tafsiri ya neno hifadhi ya barabara.
Ndo maana nikamwambia asitupotoshe
 
Risasi hakupigiwa malima, ni za wale nyumbu waliokuwa wakiongezeka na malengo tofauti huku wakishangilia kila kitu.
Inawezekana ikawa hivyo pia lakini faini ya kuegesha gari vibaya inajulikana na yule Askari kama angefata sheria asingefikia hatua ile, kwanza yeye angewazuia wasiondoe gari lao na kuita maaskari wa usalama barabarani ambao wao hawabebi silaha kama ile na pia ikaja brake down ya maana hapo kidogo tungeshawishika make hao unao waita nyumbu huenda wamekusanywa na huyo aliye leta ubabe sehemu isiyo husika hivyo kushangaa ilikuwa ni muhimu pia.
 

Sheria gani unayoijua ambayo askari hakuifata hapo, unakijua kisa kilianzia wapi mpaka askari mwenye siraha kutoka ndani ya gari???.

Kwa akili yako unadhani askari alitakiwa kuita traffic police, sasa sjui nini lengo la yeye kuwa pale na hao majembe????

Kushangaa hukatazwi,wewe kashangae tu ila usimzonge askari atakumwaga utumbo, baada ya kuelekezwa juu kule, kilichokuwa kinafuata ni kwenye vitambi vyao kama wasingetawanyika.
 
Kwani Malima ni nani?!
 
So umeangalia hiyo clip na umeona sehemu wameandika "no parking" au umeamua tu kujitoa ufahamu
Tuchukulie mfano ali hassan mwinyi road kutoka red cross hadi moroko hamna kibao cha no parking. Unaweza kupaki kisa hamna hicho kibao?

Mara nyingine hata kama hamna zuio inategemea umeegesha vipi gari. Ukikanyaga lami hawa jamaa hawakuachi hata kama hamna zuio huruhusiwi kuegesha barabarani labda gari iwe na tatizo na ni lazima uwashe hazard lights.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…