Mali za Kijerumani

Mpaka mmeamua kuifukua hii thread,nahisi kuna mdau kapata dili..Ila kuna utapeli..kazi kwenu!
 
hakuna biashara kama hiyo......fiksi tu
 

mkuu kuna sehem tunachimba ila hatua iliyop sasa tumekuta zege muda wowote tunaweza kulipua mana ndio hatua ya mwisho tulipofikia saiv,ntakutafuta
 
mkuu kuna sehem tunachimba ila hatua iliyop sasa tumekuta zege muda wowote tunaweza kulipua mana ndio hatua ya mwisho tulipofikia saiv,ntakutafuta
Kuna jamaa yangu Rukwa pembeni na ziwa tanganyika alichimba akafika kwenye zege, hiyo cementi sijui ni aina gani haitoboki kwa kwa sururu wala nyundo, alinunua Conc. HCL lita 100 , zina uwezo wa kuyeyusha jiwe lolote hata chuma, walipomwaga palichemka sana, kesho yake walikuta majivu juu ila zege liko palepale, walijaribu kutumia baruti, hamna kitu. Ameishia kulitafutia hati miliki na kuendelea na shuguli zake.
Hivyo kama unadhani umefika mwisho basi jua ngoma bado mbichi
 
deals zingine utapagawa tu....ni nani aliyeuza na akatajirika najuaa huwa wanasema bakhresa aliuza rupia mara aliuza mecury.....nI hadithi tu hzo
 
Ukija Kuzipata Mali Za Ujeruman Na Ukazipata Basi Wewe Hatari MALI ZA MJERUMAN ZIMEZINDIKWA KWA DAMU YA WATU.

Zamani sikuamini kama wazungu ni wachawi kiasi hicho, lakini baada ya kuzungumza na watu tofauti waliohusika uchimbaji wa mali hizo, wote walikili kitu kimoja...uchawi.
Wote wanafanikiwa kufika kwenye zege chini ya ardhi, kwa kutumia mashine zenye remote sensing wanaona aina za madini zilizomo chini ya zege. Tatizo zege inatolewaje? Aidha haitaripuka kwa baruti au udongo wa juu utarudi kufukia lile eneo au maji yataanza kububujika kama chemichemi kutoka chini na kujaa eneo lote. Juhudi yoote inakuwa imepotea, badala ya utajiri watu wanapata umaskini wa kuwatosha.

Kumbuka mpaka kufika kwenye zege ni jitihada kubwa si chini ya miezi sita na gharama kubwa
 

mkuu ngoja tujarib kwa.upande wetu km itakubali ntakuletea mrejesho.
 
Mwenye rupia nyekundu ama fufumark pia Pasi na majiko ya kijeruman yenye sifa zinazotakiwa..na mercury soko lipo dar na kwa Pesa nzuri na salama piga namba 0716637717 au 0769767771 wasumbufu na matapeli kaen mbali tafadhali
 
Mwenye rupia nyekundu ama fufumark pia Pasi na majiko ya kijeruman yenye sifa zinazotakiwa..na mercury soko lipo dar na kwa Pesa nzuri na salama piga namba 0716637717 au 0769767771 wasumbufu na matapeli kaen mbali tafadhali uwe tayar kuja dar bila masharti ya ajabu ajabu
 
Unajua nashangaa sana watu wanapiga simu halafu hawaeleweki au sijui hawajielew au vpi we unapiga simu halafu eti unataka kuongea na tajiri mwenyewe ili iweje kama sio utapeli nawaangalia tu siku ukiingia mia nne zangu ndo utajua nshasema sitoi pesa kabla mzigo haujafika sokoni pia situmi nauli hata mia watu tupo kikazi mitapeli inatupotezea uaminifu kwa watu
 
Kama unaRUPIA NYEKUNDU au FUFUMARK; MERCURY..pasi na vitu vya kujeruman vyenye vigezo vyote masoko yapo dar es salaam na kwa malipo mazuri pia salama zaidi hata kama kunapango lenye masanduku tuwasiliane 0716637717. @ au 0769767771 tafadhal matapel wadanganyifu kaeni mbal tupo kikaz zaidi na si ubabaishaji huo hauna nafasi
 

Haaa wee muongoo mbona me kwetu iringa na sijawai kuyaona masandukuu hayoo hebu niambiee iringa sehem ganiiii😒😟??
 
Kwa taarifa tu mambo hayo ni ya kiroho zaidi na kamwe huwezi kuyapata isipokuwa uwe kwenye mtandao fulani wa kiroho na wala mtandao huo siyo mzuri kwa maisha yako.
 
Hizi habari ni kweli tupu na ukoo wa kijerumani unaoweza kutoa hii mizigo sio kila ukoo tu . Ule ukoo wa kaizer na wenye asili ya Bavaria ndio wenye uwezo wa kutoa kwani hata huko Ujerumani kwenyewee hiii sio habari ya kuongelea simple simple kama huku kwetu. Narudia tena hizi habari ni za kwelii
 
Mi nilifatilia pango moja nilichokiona sitaki tena mambo hayo, nilikuta mtu kaliwa na nyoka
 

Brother unachosema ni sahihi ziwa linaitwa kisiba me nimeshudia kuna wazungu walikuja na boti na wakatumia vifaa maalum kuangalia vilivyopo chini but kila wakiangalia walikuwa wanatikisa vichwa tu kuonesha kwamba kuna vitu visivyokuwa vya kawaida walihangaika pale cku 3 pale kila wakijaribu kuzama ndani kwa vifaa maalum akifika chini anarudi na kusema vile vitu havionekani baadae walikata tamaa na kuondoka watupu me ni mkazi wa hapa kisiba kijiji cha masoko
 

kibongo bongo jina lako litasababisha usiaminike
 

Mmhhh hivi we uongo umesomeaaa nini maana mhmhhh
 
hata mie nimesikia pande za mt kilimanjaro kuna mkabuli wa kioo hukihangaria hunahona mizahabu hukitaka kupasua kioo kwanza hakipasuki then hanatokea joka au asikari wa kikolon
 
Watuachie tu mali zenyewe si walizipata hapahapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…