Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Kabura yakupewa mkopo bank ina taratibu zake nazani alizifata akapewa pesa ame shindwa kufata mikataba mlitaka nini kifanyike acheni uzushi bank haina kosa
 
Tuondoleeni ushindani wa kibiashara humu. Watakuwa washindani wa crdb kina NMB,NBC,AZANIA,EXIM NK. PELEKENI KULEEEE JUKWAA LA BIASHARA.
 
dawa ya deni kulipa; we unakopa tena bank...!!! kisha pesa unajengea vikojozi majumba unakaa kutegekea umaarufu wako, wadeni wanakuja kudai deni unawahi serikalini wakubwa wakunusuru mali zako zisiuzwe kwa nini usiingie msituni....? ULITUMWA KUKOPA......? kama we mleta huu uzi ua ulinufaika na mkopo huo wahi mazishini.
Jamani Si Crdb Ndo Imechangia kifo cha kapten j.komba, maana baada ya kuuza nyumba yake,shule yake ndipo presha kupanda maana deni lilikuwa kubwa. je,crdb hawapaswi kuchukuliwa hatua kama wasababishaj wa kifo? je,bila benki ya crdb kuuza mali zake presha ingepanda?
 
dawa ya deni kulipa na iwe fundisho kwa wengine
 
once u put too much weight you eventually become the best candidate of diabetes,stroke,blood pressure, etc.
 
Dawa ya Deni ni kulipa....kwann akikopa kiasi chote hicho. ..kama ni kwa mantik hiyo kajitakia pressure mwenyewe

Wale wa epa na escro na wale waliobeba kwa viroba wameshafanya mrejesho.
 
jamani si crdb ndo imechangia kifo cha kapten j.komba, maana baada ya kuuza nyumba yake,shule yake ndipo presha kupanda maana deni lilikuwa kubwa. Je,crdb hawapaswi kuchukuliwa hatua kama wasababishaj wa kifo? Je,bila benki ya crdb kuuza mali zake presha ingepanda?

mi naona mahawara zake wakiwemo lulu na wenke
 
wakati wa kukopa wanakubembeleza badae unachinjiwa baharini.mikopo ya mabenki haifai kabisa achaneni na hawa watu wa mabenki,utavurugwa kichwa mpk utatamani ardhi ikumeze:tinfoil3::tinfoil3::A S embarassed:
 
Huyu mzee inaonesha aliwakosea sana Watanganyika.Ila mmsamehe ameshakwenda,tumuombee apumzike panapostahili kwani sisi sote njia yetu ni hiyo hakuna wa kuikwepa.
 
Death certificate hawezi kuandika CRDB ndio sababu ya kifo isipokuwa inaweza kuandika sababu ni BP ambayo itakuwa chanzo ni CRDB.

Sababu ya kifo cha mtu huwa inaandikwa kwenye death certificate.Hivi Death certificate ndivyo inavyosema kuwa kafariki kwa ajili ya madeni ya CRDB? Kama ndivyo wahi mahakamani hata saa hii.

Yaani humu hamwishi uzushi hata wa kuzulia maiti.
 
Jamani Si Crdb Ndo Imechangia kifo cha kapten j.komba, maana baada ya kuuza nyumba yake,shule yake ndipo presha kupanda maana deni lilikuwa kubwa. je,crdb hawapaswi kuchukuliwa hatua kama wasababishaj wa kifo? je,bila benki ya crdb kuuza mali zake presha ingepanda?
UNAMAANISHA HATA KAMA MTU ANADAIWA AKISHINDWA KULIPA BENK ISIIDIE MALI ZAKE?deni la bank halinaga sababu na hakuna hata chembe ya sheria inayoweza kumbana crdb plc labda waliuza au kuanya kinyume na sheria katika taratibu za kumdai au kufilisi collateral
 
kama aliweka hizo nyumba au shule as collateral ya huo mkopo kwa nn zisiuzwe km ameshindwa kulipa mkopo husika crdb wamefanya kazi yao
 
Wewe mtoa hoja kabla ya kukuruka jiulize nini maana ya banki usiwe mjinga f##a
 
Back
Top Bottom