Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

sasa ulitaka crdb wamsamehe ili presha isipande au asife?mhhh KUSUDI HAINA........
 
Mbona wanapofilisiwa masikini na wenye haki hamlalamiki na kudariki kwa presha ya kudhulumiwa hamlalamiki?
 
Cheza na mikopo? utakipata tu mpaka macho yakutoke
 
Ebana eee..kufa kupo..sasa Mh. Kafa na bata kala..afadhali yeye kuliko wewe kukopi afu unakufa kwa malaria..umekosa dawa mseto..kopa kula bata..ukifa umepumzikaa
 
Jamani Si Crdb Ndo Imechangia kifo cha kapten j.komba, maana baada ya kuuza nyumba yake,shule yake ndipo presha kupanda maana deni lilikuwa kubwa. je,crdb hawapaswi kuchukuliwa hatua kama wasababishaj wa kifo? je,bila benki ya crdb kuuza mali zake presha ingepanda?

Kwa Hiyo Benki Ya CRDB Ndiyo Ilimfanya Pia Awe Anahonga Na Kuharibu Bure Pesa Zake Kwa Kutubanduliana Madada Zetu Huku Akitutukana?
 
Ata Lulu anahusika maana alichangia kula mkopo wake aliotoa crdb!
 
Hadi marehemu anafariki deni lilishamalizwa kilipwa?,kama bado nini hatma ya deni?, au ndo limekufa sababu mdaiwa kafariki?,ufafanuzi pse!..
 
Jamani Si Crdb Ndo Imechangia kifo cha kapten j.komba, maana baada ya kuuza nyumba yake,shule yake ndipo presha kupanda maana deni lilikuwa kubwa. je,crdb hawapaswi kuchukuliwa hatua kama wasababishaj wa kifo? je,bila benki ya crdb kuuza mali zake presha ingepanda?

CRDB ilimlazimisha kukopa?
 
Vyote viwili mkuu,ila aliamua kuanza na pesa.

bas bank isilaumiwe maana bank sio kiumbe chenye uhai aliamua delibetately mwenyewe na kuona kwamba best way ya kusolve matatizo yake ni kikopa tena crdb bas tusilaumu naona siku zikifika hata uingie kwny chupa u cant escape death
 
Msiwasingizie crdb tatizo ni Lulu ana nyota ya ujane,Kanumba kasepa na Komba kasepa na wanaume mnaofuata kwa Lulu mnatafuta majanga,Lulu ana "kimenengu",iki ni kinyama kinaota juu ya shimo la mavi,sasa kinautaaramu wake hiki mpaka kikatwe ndio wanaume wanusulike la sivyo kila anaeingia safari,Lulu kama unanipata nitafute kupitia jf,kuna makabila nikisema "kimenengu" wananielewa,Lulu mama njoo tukitoe hicho wanaume wanakwisha.
 
Mi nasema hivii lile tumbo na mafuta mwilini ndo chanzo cha pressure na heart attack madeni yameenda kushtua tu. Angekua na kimwili ka cha warioba unafikiri angekufa akili ingechanganua nini cha kufanya faster.
RIP KOMBA
 
Siasa nayo imechangia sehemu yake, wee Unafikiri vuguvugu la Ukawa litawaacha salama? Wee subiri tu. Presha inapanda presha inashuka.
 
Ukiwa unakimbia na kuangukia jiko la moto usimlaumu mwenye jiko, rudi nyuma ung'oe kisiki kilichokufanya uanguke.
 
Back
Top Bottom