Kupambana kwa udi na uvumba kujiunga na BRAZZERS au P*RN HUB, Nataka ku-make money kupitia hii industryHi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje
Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually
Wewe je?
Uzi bado....
View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q
Hapo kwenye kinyaa hapo ππππ½Kapotezea ππ
Asante Saint Anne
Hasira sina,kinyaa nakifanyia kazi manake ninacho cha kutosha na uvivu
Me hata sijui uchungu upoje mana hata sikusubiria siku zifikeKwa uzoefu wangu wa kwanza nimegundua yafuatayo.
1. Uchungu hauumi
2. Sielewi kwanini tunaambiwa tupush wakati mtoto anajipush mwenyewe.
Ni kama tumbo la period linavyouma, maumivu yanavumilika kabisaaaaa labda kama yanatofautiana mtu na mtu lkn mimi haikuuma hata kidogooMe hata sijui uchungu upoje mana hata sikusubiria siku zifike
Wako ana miaka mingapi unaitwa mama nani?Kwa uzoefu wangu wa kwanza nimegundua yafuatayo.
1. Uchungu hauumi
2. Sielewi kwanini tunaambiwa tupush wakati mtoto anajipush mwenyewe.
Ajafikisha mwaka, anaitwa handsomeWanko ana miaka mingapi unaitwa mama nani?
Hongera sana sasa ndio haukusema jamani huwenda dogo angepata Chochote kitu sijapenda ephen_Ajafikisha mwaka, anaitwa handsome
Mpe hii dogo mwambie tajiri kutoka kigamboni anamsalimia πWahenga wanasema mimba haitangazwi inajionyesha yenyeweπ
Salamu zimepokelewaMpe hii dogo mwambie tajiri kutoka kigamboni anamsalimia π
Huwa sipo kwenye mazingira ya kuwa karibu ya kulea mtotoHapo kwenye kinyaa hapo ππππ½
Ila utazoea
Anza kufanya mazoezi hata kwa watoto wa dada yako
Fua maviπππππ
Kwa uzoefu wangu wa kwanza nimegundua yafuatayo.
1. Uchungu hauumi
2. Sielewi kwanini tunaambiwa tupush wakati mtoto anajipush mwenyewe.
Sina mazoezi yoyote mimiMmmh
Nasikia ukiwa mtu wa mazoezi wakati wa mimba uchungu na kupush sio shida zako
Karibu sana mkuu... kulitekeleza hili kutakuwa na platform ya kupata wanachama, utapata nafasi, na nafasi ya kushiriki uongozi ndani ya chama itakuwa open kwa kila mwanachama kwa usawa. Karibu sanaNaomba niwe mwanachama wa hiko chama chako ,nakuahidi kiongozi sitakuwa msaliti kabisa aisee