Malecela: kuweka mihula kwa wabunge ni kukiuka Demokrasia

.

Mkuu sawa,We andika uwezavyo na upeo wako mdogo na ujinga ulionao.
Mpumbavu na mjinga always anatanguliza matuzi na mbumbu ndiye wa kwanza kujionyesha kuwa yeye kasoma kuliko wenzake,
Lakini ukweli unabaki pale pale.Vijana ndiyo wanahitajika.
Sisi wazee,lazima tubaki nyuma kuwashauri vijana.
Yale manenno nilyoku-define hapo juu siyo matusi. Hebu kaangalie kamusi kwanza. Rejea maneno uliyoandika "hicho kizee kinasema hivyokutokana na kukosa nafasi ya kuwa mbunge kule bongo?". Only somebody who has got no ethics, primitive, etc can write such. Wewe siyo mstaarabu kwa lugha uliyotumia. Unavyo-m-advise Mr. Malecela aachie ubunge ungetumia lugha inayoeleweka; you need to learn wisdom!!
 
Malecela hana pointi kabisa, swala la nchi zingine kutokuwa na ukomo halina maana, au sisi watanzania hatupaswi kubuni, yaani tunacopi na kupaste tu? Mtu akiingia bungeni anavuna pesa zitakazomhakikishia kurudi baadaye na kutamka "JIMBO LANGU"! Je, iwapo mbunge anatoka tu kwa hiari yake, au kwa kifo, lini maovu yake yataonekana na kuchukuliwa hatua? Tena ningependekeza kuwa na kikomo hicho, lakini sio kikomo cha kuchukuliwa hatua kwa wizi na maovu aliyofanya akiwa madarakani.

Malecela bwana kwenye Nchi alizo zitaja ukiondoa Uchina haki za binadamu , demokrasia ya kweli , rushwa na uhujumu wa vinapingwa na adhabu kali hutolewa kuanzia kwa waziri hadi mtu wa kawaida mbona Malecela asimwambia Rais kuchukua miafano ya nchi hizo kuendesha na watuhumiwa wote kufika mbele ya sheria mara moja ? Ama uzuri wa nchi hizo huonekana wakari wabunge anataka kuzeekea bungeni ?
 
Angalia hili nao jinga na pumba zake.
Vijana waende?,watamtoa kweli huyu mzee na pesa zake kutoka kwa wale mafisadi wahindi waliomchangia kwenye harusi yake?.
Yeye achie ngazi na kuwachia vijana.

Acha ushabiki wa kijinga na kama hauna cha kuandika nenda kalale.

pumba! pumba! pumba!
Pole sana!! Hiyo ndiyo limit yako ya kufikiria, that is what defines us, and classify as we are. Ukiona vijana wanaanza kusema ati uchawi, anapesa etc basi hapo ujue kuwa umeishiwa. Kwanza lazima muelewe kuwa ubunge siyo rahisi kama mnavyofikiria. If you think you are edicated and you have the ability to lead you have to do your homework, no free coupons. You must jot your strategy. Lazima upange mkakati. Wale wanaoshinda Ubunge siyo kuwa wamesoma, au wana mafisadi pembeni, vilevile huwa na mikakati. Ukiona wewe kila wakati hupati na wengine wanapata ujue wewe unakosa mikakati fulani. Do your homework! Msipende kulaumu wengine kwa failure zenu.
 
.

1.Mkuu Fmes.
Kwanza ninakupa pole sana.
Unayemtukana sio mimi na ninasema tena kuwa sio mimi.
Nimecheka sana nilipoona unashusha mistari na unapata taabu kunijua na umerudia again and again.
Pole sana kaka wa US

2.Mkuu.
Muogope mungu wako sio vizuri kumsema mtu ambaye hauna uhakika naye kama ni yeye.Unakwenda mbali sana mkuu wangu.Punguza hasira mimi sio huyo mzee wa kinyakyusa unayemsema.

3.Mimi ni kijana sana na pengine ni mdogo kuliko wewe, ata huko NY sijawahi kufika.

4. Punguza Jazba na nitafute kwenye PM yangu na nitakuelezea mengi.Mimi sio mzee ndugu yangu.Mimi kijana kabisa na wala sina ata mtoto wa kusingiziwa kwani baado niko shuleni na ni moja kati ya watu wenye kuamiani kuwa shule kwanza na mengine baadaye.

5.Yaishe yote hayo unayotukana na pengine waombe msamaha hao wanyakyusa,ila hao watu sio mimi na narudia tena hao watu sio mimi na mimi hakuna forum nyingine zaidi ya hii jf,pengine ni majina tu..

6.Pole sana mkuu,naona umemshushia mistari mzee wa watu ambaye pengine ata humu kwenye jf hayumo.

Wewe humjui FMES? anamjua kila mtu, kuanzia Kuhani, Fundi Mchundo mpaka Bluray.

Jamaa anakaa chini na kukupachika personality ya mtu yeyote anayemuota, then anakuandikia a lengthy profile mpaka utacheka. Kashakuja na story kwamba Fundi alimkimbia kimada katika ajali ya gari, Kuhani kaonekana kwenye basement DC, halafu akajisahau, akarudia story hiyo hiyo kwa Bluray.

Huyo ndiye FMES, ana force personality yoyote anayotaka.

Halafu haya mambo ya kuandika vitu personally identifiable ni against the rules hapa JF.
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi.............Mkuu Kiranga.....usinivunje mbavu zangu........kwi kwi kwi kwi.........duuh what a morning!
 
Wewe humjui FMES? anamjua kila mtu, kuanzia Kuhani, Fundi Mchundo mpaka Bluray.

Jamaa anakaa chini na kukupachika personality ya mtu yeyote anayemuota, then anakuandikia a lengthy profile mpaka utacheka. Kashakuja na story kwamba Fundi alimkimbia kimada katika ajali ya gari, Kuhani kaonekana kwenye basement DC, halafu akajisahau, akarudia story hiyo hiyo kwa Bluray.

Huyo ndiye FMES, ana force personality yoyote anayotaka.

Halafu haya mambo ya kuandika vitu personally identifiable ni against the rules hapa JF.

Na wewe ulimbaka housegirl wenu ukamjaza na mimba halafu ukampa hela akaenda kuitoa. Ulitumia jina la mzee wako ambaye ni kigogo wa CCM kukwepa kuswekwa jela. Nakujua sana wewe.
 
Na wewe ulimbaka housegirl wenu ukamjaza na mimba halafu ukampa hela akaenda kuitoa. Ulitumia jina la mzee wako ambaye ni kigogo wa CCM kukwepa kuswekwa jela. Nakujua sana wewe.

na wewe nakujua sana na yule ndugu yako aliyeko Sweden.........ulimshupalia jamaa wa 'Punjab" kule bcs........mpaka basi............kwi kwikwi kwi kwi
 
- Message sent na sio siri imefika, mengine ni kelele za mlango njoo facebook nikupe msaada, sijakutaja lakini umerukia mwenyewe kwa sababu unajua ukweli, pole sana ila niko njiani kwenda huko bondeni Mbeya hujachelewa!

- Na kama kawaida huwezi kukosa vimbwenelehi visivyojua kitu ila kurukia rukia tu wasiyoyajua na kuponza wengine, wewe ni binadam gani wazazi wako wameondoka duniani wala hujali, ndugu zako karibu wote wameondoka wala hujali, no wonder maisha yankukalia vibaya sana huko uliko, pole sana sasa msaada ndio huu umewadia, nitafute kule facebook maana hapa unapoteza muda wako bure tu kushindana na ukweli!

Mungu Akusaidie Sana Mkuu, upate maarifa ya kukumbuka nyumbani! siku moja! badala ya kutuchukia tunaokuletea ujumbe wa familia yako! Wewe nitukane mimi nitaendelea kukusaidia ili umkumbuke Mungu!

Peace and out!

FMEs!
 
Wewe humjui FMES? anamjua kila mtu, kuanzia Kuhani, Fundi Mchundo mpaka Bluray.

Jamaa anakaa chini na kukupachika personality ya mtu yeyote anayemuota, then anakuandikia a lengthy profile mpaka utacheka. Kashakuja na story kwamba Fundi alimkimbia kimada katika ajali ya gari, Kuhani kaonekana kwenye basement DC, halafu akajisahau, akarudia story hiyo hiyo kwa Bluray.

Huyo ndiye FMES, ana force personality yoyote anayotaka.

Halafu haya mambo ya kuandika vitu personally identifiable ni against the rules hapa JF.

- Huruma tupu, wewe mbona unajali wazazi wako lakini unataka kumpoteza mwenzako, usinichokoze mkuu maana itakuwa aibu hapa you know better!

FMEs!
 
- Huruma tupu, wewe mbona unajali wazazi wako lakini unataka kumpoteza mwenzako, usinichokoze mkuu maana itakuwa aibu hapa you know better!

FMEs!

Hahahaha,

Mkuu you are hilarious, just hilarious.

I tell you siku nikiwa bored FMES akiwa JF hakosi vituko.
 
Wewe humjui FMES? anamjua kila mtu, kuanzia Kuhani, Fundi Mchundo mpaka Bluray.

Jamaa anakaa chini na kukupachika personality ya mtu yeyote anayemuota, then anakuandikia a lengthy profile mpaka utacheka. Kashakuja na story kwamba Fundi alimkimbia kimada katika ajali ya gari, Kuhani kaonekana kwenye basement DC, halafu akajisahau, akarudia story hiyo hiyo kwa Bluray.

Huyo ndiye FMES, ana force personality yoyote anayotaka.

Halafu haya mambo ya kuandika vitu personally identifiable ni against the rules hapa JF.

Sikuwa najua hilo !!!
 
Hahahaha,

Mkuu you are hilarious, just hilarious.

I tell you siku nikiwa bored FMES akiwa JF hakosi vituko.

- Off course either way, ukitaka hoja sina tatizo na ukitaka personal as you always do ndio kabisaa ninajibu mapigo, uamuzi wa kusuka au kunyoa ni wako sio wangu! Ila haogopwi mtu hapa!

FMEs!
 
Back
Top Bottom