William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Great thinker vipi bwana!!!!!....hao ni ving'ang'anizi wa madaraka, hawana tofauti na hao wabunge wasiotaka kukoma! Kisa democrasia
- Ving'ang'anizi wa madaraka, sio ishu hapa mkuu labda ufungue thread yake hapa ni kama Tanzania tunahitaji ukomo wa madaraka ya wabunge au hapana, labda useme nini hoja zako on that, binafsi ninasema bado tunawahitaji kina Ndeasamburo na Dr. Slaa kurudi bungeni na siamini kwamba kurudi kwao ni kuharibu demokrasia, wewe unasemaje mkuu sana?
- au wasiotakiwa ni ni wazee wa CCM tu?
Respect.
FMEs!