Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,447
Mzee Nyani Ngabu, kuwa makini… this' your 1st warning. Nakuongelea wewe kwakuwa ni Senior Member na unaijua kanuni hiyo hapo juu na unapoamua kuandika jina la mmojawapo wa wanachama hapa unafanya intentionally ili kumpandisha hasira. Dhamira yetu si kupandishana hasira; haipendezi na ni vema tuzikumbuke sheria na Kanuni zetu tulizokubaliana kuzifuata. The 2nd warning will be 95% leading you into a 1month server ban. Hope umenielewa and the alike. Pole kwa wote mlioathirika kwa namna moja ama nyingine.2 - Profanity:
Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.
Kuna members huwa naona wanalalamika kuwa wanatumiwa PM za mikwara mizito na ilhali kuna sheria hii; tafadhali hakikisha unaitumia vilivyo ili tuweze kukuhudumia kwa karibu na uifurahie huduma yetu. Private Messaging haipo kutishiana ama kudharauliana. Ni mawasiliano kama mengine hivyo ni vema Privacy yako ikaheshimiwa. We are here for you!4 - Email & Private Message Spam:
If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.
Kuna wanachama wana sahihi (signature) zilizo bolded na zenye font kubwa sana, nadhani wengine hujishangaa zinapungua font ghafla, I normally remove those fonts! Badala ya mtu kusoma kilichoandikwa inakuwa kama tangazo la biashara flani maana sahihi inakuwa kubwa kupitiliza. Tujaribu kufikiria pande ya pili inaathirika kwa kiwango gani kwa ukubwa wa maandishi kwenye sahihi zetu. Irembe vyovyote lakini font kubwa na link za matangazo ya biashara ama vinginevyo hazitovumiliwa.10 - Signatures & Avatars:
We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 150x150 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.
Aidha nawashukuruni nyote kwa ushirikiano mnaotupa na daima nawaombea ufanisi katika mfanyayo.
Invisible
For JF Management