Hakuna kitu kinachomtesa mwanadam kwa sasa kama huku kufuata mambo yasiyo na maana na kuendekeza ujinga na kutapeliwa kiholela kama huku.kuna siku niliwahi kumuuliza mdau mmoja hapa kwamba nikiona machafuko somalia ama sudan yamepamba moto nikasema kwamba hivi karibuni bom litalipuka mji mkuu wa sudan na kuiwa watu wengi je itapita muda gan halijalipuka???.,JOSHUA,anachofanya ni kusoma nyakati,kama ndege ilipotea angan na uwezekno wa kwamba ilianguka baharini kwa kuwa ilikuwa eneo flani inashindikana???,.,mbona watu wa hali ya hewa walitabili siku ya pili ya tukio kwamba itakuwa imeanguka baharin??,kwani waliambiwa na mungu??,achen kujishushia uwezo wa kutafakar na kumsingizia mungu wengu kila kitu.,
Mfano,tetesi za kuugua kwa mandela zilipokuwa hewan,ningetabili kwamba ,,siku za karibuni Bara la africa litakabiliwa na pigo kubwa ,kisha baada ya mwezi mandela akafariki nitakuwa mtabili???,,mbona mnajishusha kimawazo na kuendeshwa imani potofu.Nathubutu kusema Joshua ni tapeli na mtupu kabisa hana chochote.kama we unatumia ubongo wako vizur fuatilia hata video za uponyaji wake utaona ni wadada na wakaka walioandaliwa kwa tukio lile.et jini lepanda afu analiuliza linamwambia sema tena sijackia vizur,mara ohh unamaana gani?,jini linamjua hadi jina,jini linaomba kiti likae,jini linazijua sehem ndan ya kanisa na majina ya wahudumu hahahahaaaaa.,