yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Tatizo Membe naye mpole sana.
Ningekuwa mimi ningeshaanza kupeleka majeshi na vifaa huko ziwani. Kukusanya vijana na kuwapa mafunzo ya awali ya kivita. Na kama kule Mbambabay, Liuli, Litui, Itungi hatuna hata jeshi na vifaa vya wanamaji hapo ndo tujifunze. Leo malawi kesho Museveni na keshokutwa Kongo nao watadai ziwa lao. Lazima tuimarishe majeshi yetu hasa sehemu za mipakani.
Mnakumbuka kipindi kile Burundi walitishia kuipiga Tanzania na Mkapa akapeleka chapchap majeshi na vifaa mpakani? Hawa wamalawi ilikuwa kuwaambia tu hili ziwa ni la kwetu sote na na sisi tupeleke watu wakafanye oil exploration kule tuone nani atakaye tuzuia.