Malawi vows to continue oil-gas exploration, dismissing demand by Tanzania which claims half

Tatizo Membe naye mpole sana.

Ningekuwa mimi ningeshaanza kupeleka majeshi na vifaa huko ziwani. Kukusanya vijana na kuwapa mafunzo ya awali ya kivita. Na kama kule Mbambabay, Liuli, Litui, Itungi hatuna hata jeshi na vifaa vya wanamaji hapo ndo tujifunze. Leo malawi kesho Museveni na keshokutwa Kongo nao watadai ziwa lao. Lazima tuimarishe majeshi yetu hasa sehemu za mipakani.

Mnakumbuka kipindi kile Burundi walitishia kuipiga Tanzania na Mkapa akapeleka chapchap majeshi na vifaa mpakani? Hawa wamalawi ilikuwa kuwaambia tu hili ziwa ni la kwetu sote na na sisi tupeleke watu wakafanye oil exploration kule tuone nani atakaye tuzuia.
 
hawa ni kuwatumia mgambo wawatandikeee, wawarareeee watashika adabu... halafu mwisho waitwe zanzimal
 
Maneno hayo mnamwambia nani? Dhaifu?

Haitwi Dhaifu kwa masimango ndiyo sifa yake kuu.
 
[h=2]Military stats: Malawi vs Tanzania[/h]

[h=3]
thumb.php
Malawian Military stats[/h]
[h=3]
thumb.php
Tanzanian Military stats[/h]
Arms imports > constant 1990 US$ 2,000,000 constant 1990 US$ 2,000,000 constant 1990 US$

Ranked 90th in 1994. Ranked 88th in 1994.
Branches Malawi Armed Forces: Army (includes Air Wing and Naval Detachment) Tanzanian People's Defense Force (Jeshi la Wananchi la Tanzania, JWTZ): Army, Naval Wing (includes Coast Guard), Air Defense Command (includes Air Wing), National Service



Conscription No conscription (FWCC). Conscription exists (FWCC).



Expenditures > Dollar figure $11,100,000.00 $20,600,000.00

Ranked 80th in 2004. Ranked 72nd in 2004. 86% more than Malawi
Expenditures > Dollar figure (per capita) $0.88 per capita $0.55 per capita

Ranked 83rd in 2004. 60% more than Tanzania Ranked 85th in 2004.
Expenditures > Dollar figure (per $ GDP) $5.83 per 1,000 $ of GDP $1.81 per 1,000 $ of GDP

Ranked 76th in 2004. 2 times more than Tanzania Ranked 86th in 2004.
expenditure > % of GDP 0.7 % 1.3 %

Ranked 123rd in 2003. Ranked 97th in 2003. 73% more than Malawi
Manpower > Availability > Males 3,050,444 9,108,177

Ranked 67th in 2008. Ranked 35th in 2008. 199% more than Malawi
Manpower > Availability > Males age 15-49 2,691,881 8,687,477

Ranked 71st in 2004. Ranked 35th in 2004. 2 times more than Malawi
Manpower > Availability > Males age 15-49 2,625,500 8,477,190

Ranked 71st. Ranked 35th. 2 times more than Malawi
Manpower > Fit for military service > Males 1,676,117 5,278,833

Ranked 79th in 2008. Ranked 43rd in 2008. 2 times more than Malawi
Manpower > Fit for military service > Males age 15-49 1,381,607 5,031,621

Ranked 85th in 2004. Ranked 37th in 2004. 3 times more than Malawi
Manpower > Reaching military age annually > Males 168,858 478,812

Ranked 58th in 2008. Ranked 22nd in 2008. 184% more than Malawi
personnel 7,000 28,000

Ranked 141st in 2005. Ranked 91st in 2005. 3 times more than Malawi
personnel > % of total labor force 0.12 % 0.14 %

Ranked 158th in 2005. Ranked 154th in 2005. 17% more than Malawi
Service age and obligation 18 years of age for voluntary military service; standard obligation is 2 years of active duty and 5 years of reserve service 18 years of age for voluntary military service



US military exports $376.00 thousand $201.00 thousand

Ranked 68th. 87% more than Tanzania Ranked 83rd.






Weapon holdings 9,000 387,000

Ranked 135th. Ranked 89th. 42 times more than Malawi
 
Tatizo si Wamalawi. Tatizo ni uongozi wetu. Hivi kweli leo Kikwete anaweza kusimama mbele ya Watanzania na kuwaambia kuwa nia tunayo na uwezo kama alivyofanya Mwalimu wakati wa vita na Uganda? Sidhani. Tunahitaji mabadiliko katika uongozi wetu.
 
Tumezoea kusikia wabunge wakiomba mwongozo wa spika kuhusu jambo/mambo yaliyojiri na ambayo wanadhani yanamaslahi kwa taifa!!!
vipi hili la jamaa wa malawi kumega nchi yetu mpo kimya?????
 
Nakumbuka rafiki yangu mmja, mzungu aliniambia miaka 6 iliyopita, kuwa katika kila nchi ambayo mwingereza alitawala wakati wa british empire, ameacha mgogoro wa mpaka, tena makusudi kabisa.
Baada ya muda nilikuja kumuelewa, embu angalia

1. Nigeria Vs Cameroon
2. Kenya Vs Uganda
3. Egypt Vs Sudan Vs Libya Vs Israel
4. Sudan Vs SouthSudan Vs Kenya
5. India Vs Pakistan Vs China
6. Burma Vs ThailanVs Bangladesh Vs China
7. Tanzania Vs Malawi
8. Jordan Vs Palestine
9. Saudi Vs UAE Vs Yemen
10 Somalia Vs Somaliland
11. Namibia Vs Zambia Vs Botswana

Mengine tafuteni wenyewe ila ni mengi mengi, na mengi yameshaleta vita, sasa tusubiri ya kwetu
 
hii wao hawajaiona wameiona yanga ndo maslah ya taifa kwa sasa ndio maana hata jana vitu maalu rita kabati badala ya kuomba mwongozo juu ya matatizo ya walim ye akaomba mwongozo juu ya namna yanga itavyofika bungeni kupongezwa na wabunge, m MB wetu wapumbavu sana.
 
Kikwete ameacha Wazanzibari wajitenge. Mnategemea Kikwete huyu huyu atetee maslahi ya Tanzania katika ziwa Nyasa?
I have my doubts.


Jasusi,

..hivi kwanini suala hili halipelekwi kwenye mahakama ya kimataifa kama walivyofanya Nigeria na Cameroun kuhusu eneo la Bakasi??
 
Ya Zanzibar eti ni ya mungano Eee ya Malawi mpewe 50% miujiza tuisubiri

Ya Zanzibar Haijachimbwa na hata Uchunguzi bado; Inaweza Ikawa sio nyingi... Wanasema Kati ya Pemba na Tanga

Ndio ni Hatari kuna Gas na OIL; Sio Zanzibar...

* Kwahiyo Msifurahie ambacho hakipo.... ni Makuti...
 
Acha wachukue kwani ziwa hilo limefaidisha nini TZ?

Hata hayo mafuta kutafutwa ni mawazo ya Malawi, baada ya wao kujitayarisha ndio TZ inaingia kuongea na kusema 50/50.

Mmmhhhhh wameshtukia mlo wameukalia miaka yote bila kuuchangamkia kujiendeleza kwa kuiba as kawaida.
 
huyu kikwete si alikua mwanajeshi.??sasa mbona hana maamuzi ya kijeshi.?? Ndio maana Zitto alisema anauwezo wa kuwa amiri jeshi mkuu, maana aligundua tatizo ni uamiri jeshi mkuu.
 
wote watakoenda jkt kwa mujibu wa sheria mwaka huu wakihitimu wapelekwe frontline ziwa nyasa wakajifunze kwa vitendo
 
Air defence ya wamalawi inasimamiwa na wayahudi na mwaka huu january wamefunga military radar km kama 2 hv jirani na boda ya kalonga na walipitisha ndege za kivita maeneo ya Lituhi hadi Manda mwezi wa 2 tu hapo, wachunguzi wa mambo wanadai Malawi wamekuwa wanajiandaa kufanya vita na Tanzania kwa miaka zaidi ya 20 kwa kufanya yafuatayo

1. Wamemodernize jeshi lao hasa la anga kwa kuingia ubia na israel
2. Wamenunua tokea marekani boti za kivita 14 ambazo zinafanya patrol ziwa nyasa 24/7!
3. Wamefunga vituo vipya vya radar

Jamaa wanadai endapo Malawi watasonga kwa miguu basi entry position yao itakuwa mbeya hasa eneo la wilaya ya Ileje kutokana na hali ya milima ambayo inawapa unafuu wao.

Pia Malawi wameanza kudai kwa nguvu hilo ziwa sasa kukujua kuwa Tanzania inatatizo la viongozi wa ngazi za juu na pili Tz inataabika na matatizo yake ya ndani kama migomo, uchumi na miundombinu na siasa na mwisho ni migongano ya viongozi wakuu jeshini, polisi, tiss na serikalini

My Take:
Tanzania ya leo sio ya kuombea vita coz askari wetu, tiss na polis wapo kwa miaka mingi kuzuia vyama vya upinzani, kupiga wazenji, ma-dr na kupiga kwata pale taifa wamejisahau kufanya mambo yao ya msingi kwa muda mrefu msishangae jk akakimbilia uarabuni akatuacha wanyasa watunyoshe kama anakimbia migomo sembuse vita!

Ngoja nikamtoe bibi yangu Tukuyu
mkuu umenena vema...
Mie natetemeka hapa kwa hasira..
Alaaniwe raisi dhaifu anaeng'ang'ania madaraka!..sijui tufanyaje?
 
Hakuna haja ya kubishana na wajinga kwenye vyombo vya habari....na kupoteza pesa kushauriana........hivi sasa kinachotakiwa ni kulinda maslahi yetu.......Hatua ya kwanza rudisha Balozi wetu............pili funga Mpaka....tatu linda mipaka yetu strongly and at any cost...........akichokoza tu......tunajibu mapigo...........and from this time on Malawians should stay away from our borders...........
 
"We categorically put it to them [Tanzania] that as far as we are concerned, the entire lake belongs to Malawi," Patrick Kabambe, principal secretary in the ministry of foreign affairs, said in a statement.


"So our view is that there is no reason to stop the project," he added.
Kumbe wenye akili kama za Idd Amin wako wengi eeeh!..
 
mBONA HILI wala halihitaji mijadala? Kama Tanzania inaamini nusu ya ziwa ni lake si na wao waanze utafiti wa mafuta na gesi kwenye nusu yao? Mimi ningekuwa Malawi kama naamini ziwa zima ni letu kwanini niombe kibali cha Tanzania?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom