nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Blantyre - Malawi vowed on Tuesday to press on with oil and gas exploration on Lake Malawi, dismissing a demand by Tanzania, which claims half of the lake, to halt prospecting.
"We categorically put it to them [Tanzania] that as far as we are concerned, the entire lake belongs to Malawi," Patrick Kabambe, principal secretary in the ministry of foreign affairs, said in a statement.
"So our view is that there is no reason to stop the project," he added.
Tanzania has claimed that 50% of the lake which forms its border with Malawi is part of its territory.
Tanzanian Foreign Minister Benard Membe last week told domestic media that "exploration activities in the northeast part of the lake should be shelved to pave way for the ongoing discussions to resolve the crisis".
Malawi, a former British colony, and Tanzania, once ruled by Germany, are due to hold talks on the disputed border in the northern Malawian town of Mzuzu on 20 August.
Kabambe cited an 1890 agreement between the former colonial powers that stipulates the border between the two countries as lying along the Tanzanian shore of the waters of Lake Malawi.
"Our terms are very clear on this, but we will continue to engage with Tanzania as a good neighbour," Kabambe said.
Mozambique also owns part of the lake.
In September last year, the government of Malawi's late president Bingu wa Mutharika awarded a British firm, Surestream Petroleum, a licence to prospect for oil and gas on the giant lake.
The company has been conducting an environmental impact assessment.
The 29 600 square kilometre lake is Africa's third-largest freshwater lake. In Tanzania, the lake is called Lake Nyasa, which is taken from Malawi's colonial name.
- AFP
More about the topic....
Nimekuwa nafuatialia suala la ugomvi wa mpaka baina ya Malawi na Tanzania kwa muda mrefu. Tukiweka mbali tofauti zetu za kisiasa na kimtazamo but when it comes to mipaka ya nchi nadhani na naamini sote ni watanzania na tuko tayari kulinda mipaka ya nchi yetu kwa lolote. Wamalawi hawakuanza leo wala jana kutaka kumega sehemu ya tanzania. Ikumbukwe historia hapo kale Kamuzu Banda alishawahi kutofautiana na Mwalimu Nyerere kuhusu mipaka na Mwalimu alimjibu ikiwa basi Ziwa Nyasa lenu kila wimbi linalogusa Tanzania itabidi mlipie.
Sasa hivi Wamalawi wameona kuna uwezekano wa kuwepo mafuta Lake Nyasa. Na hivyo wanataka kumiliki ziwa lote kwa madai ya kuwa ati lao . Wanachosahau hawa Wamalawi ni kuwa mfano wakichimba hayo mafuta vitu vifuatavyo watavilipaje kwa watanzania wanaopakana na ziwa Nyasa:-
a. Athari za kimazingira wananchi wa Tanzania nani atakayewalipa?
b. International law inasema ikiwa ziwa au mto unakatiza katikati ya mpaka wa nchi. Nchi jirani zinagawana maji kwa asilimia 50 kwa kutumia imaginary line. Wao wametoa wapi msingi wa kudai mpaka wa nchi yao ni Lake Nyasa?
c. Vile vile tukirudia mipaka ya wakoloni je Tanzania ikidai Rwanda na Burundi zake itakuwaje?
Kwa ufupi wanachokifanya wamalawi kimewaudhi watanzania wengi na it is AN ACT OF WAR!!!! . Tunachokuomba mheshimiwa rais jipange kwani wamalawi wana Rais mkorofi. Na wamalawi hawana tofauti na wakenya kwa jinsi navyowafahamu kitabia. Wengi wao ni wabinafsi sana. Sasa kama tamaa ya mafuta ndio inayopelekea kutafuta ugomvi na sie basi ni vema wapate taarifa sisi ni Sleeping Giant. Siafu ni wadudu wadogo sana ambao mwanadaamu huweza kumkanyaga moja akamuua. Ila siafu wanaumoja na wakiungana huweza kumuua hata Tembo. Watanzania ni watu wenye umoja na uzalendo thanks to baba wa Taifa aliyejenga umoja huo. Tofauti zetu za kisiasa hazisababishi watu wakafikiri tunaterereka kiumoja. Mheshimiwa Rais nakushauri ufanye yafutayo:-
a. Endelea na mazungumzo nao hadi mfike International court kuona haki iko wapi.
b. Vile vile kwa vile mnatumia International Law na mnaona mna haki basi na nyie fanye utaratibu wa kutoa vibali vya kuchimba na kutafuta mafuta Lake Nyasa.
c. Bajeti ijayo ongeza fungu la manunuzi ya vifaa vya kivita hasa ndege za kivita na vifaru pamoja na amunition. Tumia hela itayoanza kupatikana kutoka kwa kampuni za mafuta na gesi kuongeza nguvu ya kijeshi.
d. Anzisheni doria kutumia jeshi la wanamaji kama inavyofanyika bahari ya hindi.
e. Kuwa na msimamo mkali dhidi ya wamalawi utajijengea heshima kubwa sana kwa watanzania.
Sina la zaidi! Nilikuwapo!