Wasomeni wamalawi wenyewe wako tayari kwa vita, Bofya hapo
Tanzania asks Malawi to halt oil exploration | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi
Naamini ni sababu za kisiasa tu. Mwanzoni kabisa wakati ameanza kupewa majukumu ya uwaziri, nakumbuka alikuwa akitambulishwa kwa title hiyo. Kwa sasa naona anapendelea zaidi "Dr" - shame!
Uko sahihi kabisa mkuu, tutakachokishuhudia hapa ni sisi wananchi hizi nchi mbili kuumia au kuathirika na hili saga huku nishati hiyo ya geni ikichukuliwa kiulaini kwa biashara za siraha. Ila sidhani kama china atakubali kujiingiza kwenye vita.Hii vita inanukia, na ni vita kubwa kuliko mnavyodhania. Haitakuwa vita ya mmalawi na mtanzania, itakuwa vita ya Mwingereza na allies wake dhidi ya Mchina, JIANDAENI KULIA NA KUSAGA MENO!
JK is very weak.... PIGA HAWA MALAWI FASTER TUMEWAACHIA MUDA WANAZIDI KUCLAIM ZIWA LOTE LAO SISI TUNANYAMAZA, ni kuwapiga it seems diplomatic talks failed & here we have to be CLEAR NO NEGOTIATIONS, mipaka ni katikati ya ziwa kama INTERNATIONAL WATER LAWS explain clearly boundary of States in water bodies ( half-way) period....
I don't miss Lowassa or any other past leader. In fact they are the reason we are in stuck in the current economic quagmire. We need a complete paradigm shift in leadership and I don't see Lowassa fitting in the new leadership order.
Air defence ya wamalawi inasimamiwa na wayahudi na mwaka huu january wamefunga military radar km kama 2 hv jirani na boda ya kalonga na walipitisha ndege za kivita maeneo ya Lituhi hadi Manda mwezi wa 2 tu hapo, wachunguzi wa mambo wanadai Malawi wamekuwa wanajiandaa kufanya vita na Tanzania kwa miaka zaidi ya 20 kwa kufanya yafuatayo
1. Wamemodernize jeshi lao hasa la anga kwa kuingia ubia na israel
2. Wamenunua tokea marekani boti za kivita 14 ambazo zinafanya patrol ziwa nyasa 24/7!
3. Wamefunga vituo vipya vya radar
Jamaa wanadai endapo Malawi watasonga kwa miguu basi entry position yao itakuwa mbeya hasa eneo la wilaya ya Ileje kutokana na hali ya milima ambayo inawapa unafuu wao.
Pia Malawi wameanza kudai kwa nguvu hilo ziwa sasa kukujua kuwa Tanzania inatatizo la viongozi wa ngazi za juu na pili Tz inataabika na matatizo yake ya ndani kama migomo, uchumi na miundombinu na siasa na mwisho ni migongano ya viongozi wakuu jeshini, polisi, tiss na serikalini
My Take:
Tanzania ya leo sio ya kuombea vita coz askari wetu, tiss na polis wapo kwa miaka mingi kuzuia vyama vya upinzani, kupiga wazenji, ma-dr na kupiga kwata pale taifa wamejisahau kufanya mambo yao ya msingi kwa muda mrefu msishangae jk akakimbilia uarabuni akatuacha wanyasa watunyoshe kama anakimbia migomo sembuse vita!
Ngoja nikamtoe bibi yangu Tukuyu
Vijamaa vimetukashifu sana,yaani na ufukara wao wa kupitiliza vinathubutu kututukana namna hii?