Malawi na Zambia Wanawake hawana mvuto kabisa

Ni vita ile ile tu wapi kuna wasichana wazuri na wasafi katika ukanda wa Africa mashariki?, tuliowahi kuchat na yule jamaa wa ghanna anaetembea nchi nyingi akichukuwa filamu na kuzirusha mitandaoni anaitwa Maya.

Hata yeye anashindwa kutofautisha ingawa anaitaja Tz kuwa na wasichana wazuri huku Kenya ikiongoza kwa wasichana wawazi sana. Vita kubwa hii
 
Msumbiji pale pemba nilipata shombe la kireno, nilijikuta naahirisha safari wiki nzima, zambia na hapo malawi nyapu ni za kubangaiza hasa hasa labda Lusaka, Lilongwe, na miji yao mingine lkn vijijini ni hakuna kitu
Shim be wa Kireno si warefu, wako 5’2, 5’4 ukimkuta 5’6 ni super tall kwao
 
Kuna ukweli,kuna mmalawi mmoja nilisoma nae miaka ya nyuma alikuwa tipwatipwa halafu ana sura ya kibaba
 
Acha dharau ndugu yangu.na mzungu ua Asian akija huku aseme Africa hakuna Wanawake wenye mvuto utajisikiaje. Au mtu wa Misri aje Tanzanzia aseme Tanzania hakuna mwanamke mwenye mvuto. Tatizo mnaangalia rangi ya watu . Tanzanzia kuna baadhi ya makanila Wana ueupe kiasi. Hiyo ni tabia ya Racism. Sisi wote ni waafrica hatutofautini Sana. Tati
Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au kuna wengine?
 
Mhu! Labda tunaongelea Malawi tofauti, lakini siyo ninayoifahamu mimi.
Jamaa yupo sahihi, Nilienda huko mwaka 2017 na 2018 sikuona kabisa visu labda vya kunyatia sana wengi wamekomaa sana nadhani kwa sababu ya Umaskini kule.
 
mkuu naomba nikuongezee ufahamu, mtu unayemuona sura na umbo lake just an illusion mtu halisi ni brain(mind) usidanganywe na chochote what worth kwa binadamu ni energy yake tu, binadamu wote ni sawa siyo sura au umbo.
Fikiria whats behind an ugly man can marry any woman of his choice????!!!
Thanks
For mens , money matters.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga Mkono Malawi ila Kwa Zambia sina hakika sana kwa sababu sijawahi kufika. Pale Blantyre pana midemu ina sura za kiume mno haina mvuto kabisa. Halafu wanapenda sana kilugha chao kiboovu!!
 
Back
Top Bottom