Hivi ni kweli wanawake hawana uhitaji na sisi kabisa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Wakuu salaam

Hawa viumbe ukiwafukuzia sana wanakukwepa utadhani hawana uhitaji kabisa na mwanaume, mpaka unajiuliza hicho kichongeo kapewa cha nini. Mbaya sana ikitokea amekukubalia baada ya kumkazia sana huko katikati ya mapenzi kunakipindi atakupiga mkwara ""kwani nilikuambia siwezi kuishi bila mwanaume"

Hii inapelekea sana wao kujiona hawana uhitaji na sisi kabisa je, hi dhana imekaaje mkuu
 
Hakuna mwanamke ambae hana uhitaji na mwanaume,labda kama hajafanikiwa kupata au ni lesbian,kwanza hata huyo lesbian mwenyewe kuna wakati anatamani apigwe game atulize mshono 🧐
daah kumbe ni noma
 
Uhitaji umepungua, tena na hivi siku hizi wameijua michezo ya kutumia dildo basi tabu tupu.
 
Mwanamke anamhitaji mwanamume kuliko sisi tunavyowahitaji

Anahitaji pesa na matunzo ya mwanamume

Anahitaji attention yako mwanamume ahisi anapendwa

Anahitaji jina lako la mwisho ili awe Mrs fulani aheshimike kuwa ni mke wa mtu au hata kuwatambia wenzake kuwa ni wife wa fulani

Anakuhitaji uwe baba ya mtoto/watoto wake na mume wake maana wakishafikisha miaka 30 wanajua menopuase inaanza kugonga hodi na matatizo kibao ya uzazi na mvuto umeisha

Anahitaji mwongozo na protection kutoka kwa mwanamume

Nawashangaa sana wanaume wanaowashobokea wanawake sisi tunachohitaji kwao ni uchi tu
 
Mkuu.... Both men and women are capable of being in relationships where love is not present in the beginning, but both can learn to love. Love grows and it is cultivated by your effort and investment. Think of love as a verb, not a noun. It doesn't just hover or settle like some fate driven cloud.
 
Wakuu salaam

Hawa viumbe ukiwafukuzia sana wanakukwepa utadhani hawana uhitaji kabisa na mwanaume, mpaka unajiuliza hicho kichongeo kapewa cha nini. Mbaya sana ikitokea amekukubalia baada ya kumkazia sana huko katikati ya mapenzi kunakipindi atakupiga mkwara ""kwani nilikuambia siwezi kuishi bila mwanaume"

Hii inapelekea sana wao kujiona hawana uhitaji na sisi kabisa je, hi dhana imekaaje mkuu
1 Wakorintho 11:9-11;
Na mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke lakini mwanamke ndiye aliumbwa kwa ajili ya mwanaume.
 
Makope
Makucha
Matattoo
Mamikorogo
Mavigodoro
Mamloganzila
Ma lace wigi na weaving sjui
Ma lip bulm
Ma pafyuuum makaliii 😤
Mavimini na vimodo
Mahereni ya pua, maskio, kitovu na equator
Ma selfie ya kubinuka
E.t.c....

The list goes on, hapo na type bila ata kuwaza linalokuja kichwani ila kifupi kila analofanya manzi ni kumvutia ME, hitimisho wanatuhitaji mnoo
 
Back
Top Bottom