Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

Status
Not open for further replies.
Lets be patient,kiukweli kama serikali ingekuwa inaenda mbio kama wachangiaji wengi humu wanavoombea tungekuwa tushavurugana
 
kama tusivyojua nini Ideology ya nchi yetu, tunadai ni Ujamaa na kujitegemea huku tukitegemea misaada kwa asilimia 100, ndivyo hivyo hivyo tusivyojua nini foreign policy yetu. Nasoma humu naona ni upumbavu mtupu wa sisi watanzania mijitu imerukia ushabiki wa vita kama vile hii ni playstation, hakuna akili kwenye vichwa vya watanzania, ni pale tu yesu atakaposhuka, hatuna opinion ni maboya tu vuruga utakavyo, hivi mnavijua vita nyie? ndio maana leo napita diamond nakuta mitanzania imejazana kununua vitambaa na mabakuli maonyesho ya Siria foreign policy yetu inaona sawa sisi kubadilishana tray na maglasi kwa pesa zinazoenda kusaidia serikali ya Assad inayoua watu wake kila siku. Membe hajaona sababu bado ya kuwa ameshafunga uhusiano na nchi hii yenye regime ya kishenzi. Wakati wa Mwl Tanzania tulisimama peke yetu kupiga vita serikali ya Afrika Kusini, hatukushabikia kununua vitambaa ama dawa za mswaki, leo hii huyu nchi muuaji hakuna hata mtu humu JF anayepiga kelele. I hate you people na ndio maana sianzishi mijadala humu ndani I am above this ****
 
Duh vita na haya mabomu yetu yanayolipuka yenyewe itawezekana kweli? Labda tukubaliane vita iwe ngumi tupu bila kutumia silaha! Old school! :boxing:
 
Mshamba kikwete hata padri nyerere hampati kwa hekima busara na umakini na uelewa wa mambo,
Mkatoliki nyerere aliacha haya matatizo bila ufumbuzi
Aliacha tatizo la zanzibar bila ufumbuzi kikwete akalimaliza
Aliacha burundi bila ufumbuzi kikwete akaliweza
Kenya aliwapatanisha
Comoro aliweza
Na malawi ataliweka sawa wakati huyo bwana wenu nyerere kaacha matatizo kwani hakuwa kiongozi mwenye busara aliamini kwenye nguvu
Hivo huyu mswahili wa bagamoyo atatua chia maelewano na malawi
Zidumu fikra za mwalimu! Na zidumae fikra za wagalitia


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Utakuwa umerukwa akili siyo bure
 
Reports coming from State House indicate that the Malawi Government has declared the Tanzanian High Commissioner to Malawi, Patrick Tsere, as a persona-non-grata.
This follows his interview with Zodiak Malawi where he made it crystal clear that part of Lake Malawi is owned by Tanzania.
The report just came hours after the president told the press in Lilongwe that she has called off the talks following reports that Tanzania had sent soldiers to patrol their alleged part of the lake.
The reports indicate that Tsere has been given 48 hours to leave Malawi.
[FONT=\]NOTE: For the interview with ZODIAK RADIO that theTanzania High Commissioner to Malawi had, check it here:[/FONT]

ZANZIBAR NI KWETU: Lake Nyasa!
 
kwa mujibu wa gazeti la voice nchini malawi,balozi ndugo tsere amepewa masaa 48 awe ameondoka nchini humo,alifanya mahojiano na redio ziduiac na kesema ziwa nyasa lina milikiwa na tazania kwa nusu kwa nusu na malawi.wakubwa wakakasirika .
 
Tanzanian ambassador to Malawi Patrick Tsere ordered out in 48 hours following the two countries’ border dispute.

SOURCE KTN TV, KENYA.
 
Hii habari ilishakanushwa hapa, kwamba balozi aliiambia JF kwamba huu ni uzushi wa majarida.
 
PIX.jpg


Malawi President Joyce Banda. Her government asked UN Secretary General Ban Ki-moon to mediate the border dispute with Tanzania. Photo/AFP AFP


IN SUMMARY


  • According to reports from the Malawian State House, Mr Tsere has been declared persona non grata and has been required to leave the country
  • In the standoff, Tanzania is claiming half of the Lake which is called Lake Nyasa in Tanzania

The Malawi Government has given 48 hours to Tanzanian High Commissioner Patrick Tsere to leave the country amid escalating border dispute between the two neighbours.

According to reports from the Malawian State House, Mr Tsere has been declared persona non grata and has been required to leave the country.

The development comes barely a week after Malawi asked UN Secretary-General Ban Ki-moon to mediate the decades-long border dispute with Tanzania over Lake Malawi.

The lake is believed to have oil and gas deposits.

In the standoff, Tanzania is claiming half of the Lake which is called Lake Nyasa in Tanzania. But Malawi claims the entire water mass, basing on 1890 Anglo-German pact, also known as the Heligoland Treaty.

The treaty was later reaffirmed by the Organisation of Africa Unity, [now African Union], when the Malawi gained its independence in 1964.

But Tanzania rejects the colonial era agreements and argues international law including (1982 maritime treaty) supports sharing common water bodies by bordering nations.

On her return from the UN conference in the US last week, Malawi President Joyce Banda announced that her country had pulled out of talks with Tanzania on the matter, following reports that the latter had launched a new map that shows the border line in the middle of the disputed lake.

SOURCE: Nation (Kenya) | Border row: Malawi sends Tanzanian envoy home - Africa - nation.co.ke



Hivi hata Nationmedia r falling in trap with this au ni kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom