LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 28,825
- 45,328
kah!Ameenda ili ajisafishe matokeo yake amejamba katikati yao
kah!Ameenda ili ajisafishe matokeo yake amejamba katikati yao
chiembeWenye mada za kijinga kama hizi wamekuwa wengi
Acha ukundu mama hatumtakiHao wananchi wanaomkataa ni wananchi wa nchi gani mbona watanzania tunamkubali sana mama Samia?!
Mbona kama kapoteza muda maana anatakiwa ajibu hoja za Gwajima badala kuimba mipashoYule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
tatizo la huyu anataka kumjibu kila anayempinga,sasa wakitokea wanaompignga 1000 atawajibu wote?,mbaya zaidi hajibu hoja...akiongeza muda mwingine huyu tutayumbaSiku zinavyozidi kwenda kuelekea uchaguzi hyo October Imani ya watanzania wengi inazidi kupungua kinachofanyika saivi ni kununua trust kupitia viongozi wa dini ila bado wanakosa mpangilio mzuri kwenye hotuba zao wanapowaita watumishi wa shetani wakati Kuna kundi kubwa la watu wanaliongoza kupitia madhehebu yao .........
In facts in these world there's no democracy
Ngoja niishie hapa maana tunakoelekea mmmh kama Gwajiboy kakemea utekaji kanisa likafungiwa badala ya yeye kukamatwa TU
Vip wewe na Mimi ukiongelea vbaya maslah ya wakubwa ?
Uliipeleka ajenda toka kwa Bavicha?Je, walizungumzia kutekwa kwa watu? Hao kuchangia yatima ni muhimu zaidi?
Upo sahihi na kumbe unamjua kama ni kutoka kule?Yule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Wezi wa kura ndiyo watumishi wa Mungu?Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Huyu kiongozi nashangaa wa KKKT walimrudisha tena. Askofu chawaUmewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Migogoro na upigani ni mwingi kama ccm tuMalasusa ni laana kubwa sana KKKT ndio maana kanisa haliishi migogoro
Hata aibu hana aiseeWezi wa kura ndiyo watumishi wa Mungu?
Ni Mungu yupi huyo anayesupport wizi?
Diamond upo wapi?Pkajichagua
Kapitishwa bila kupingwa hahahaa
Mfanyakazi huyo, sijui alipitaje wanajua wauminiHuyu kiongozi nashangaa wa KKKT walimrudisha tena. Askofu chawa
Unajiita kiongozi wa dini halafu watu wanakufa wewe unapigia makofi wauwaji , hii kama sio takataka nini?KKKT haina Askofu.Askofu alikuwa Shoo huyu Malasusa hakuna kitu
Ulitaka achaguliwe babaako au hawara ya mamaako kuwa Kiongozi wa Walutheri?Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI