Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

"In these world"???? ....kwanini unajidhalilisha kwa kuandika kwa lugha usiyoijua?
Haa wabongo bwana hyo this na these utarekebisha mwenyewe in fact umeelewa dhumuni langu sema una akili ndogo sana badala ya kunirekebisha unanisema wewe hiyo lugha ulizaliwa nayo
 
Yule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Kumbe anapigwa kisa dini na imani yake.TOO LOW
 
Tunaomba Baraza la maaskofu KKKT mkae na muondoeni kwenye ukuu huyu Malasusa. Hawezi kutuharibia KKKT yetu namna hii. Yaani madhabahu inatumika kuita watumishi wa kanisa lingine kwamba ni watumishi wa shetani! Hii hapana!
Amelitaja kanisa gani?
 
Haa wabongo bwana hyo this na these utarekebisha mwenyewe in fact umeelewa dhumuni langu sema una akili ndogo sana badala ya kunirekebisha unanisema wewe hiyo lugha ulizaliwa nayo
Kama umekosea jishushe. Wewe ni mlemavu wa lugha ya kiingereza.
 
moderater mbona sioni sehemu ya kuposti video au mshanifungia
 
Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!

Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!

Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!

Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!


LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Kumkaribisha Mh Rais sio kosa ni upendo kwa mwana mpotevu yeyote Biblia luka 15, udhaifu na woga wa mtumishi Malasusa kufanya kazi ya Mungu kwa nafasi yake alitakiwa apige counter attack pale pale kukemea wazi wazi kama kweli ni mtumishi wa Mungu.
 
Back
Top Bottom