kama anavyo amini SAMIA SULUHU, MAFWELE FAUSTINE,WAZIRI ,MAKONDA NA STIVEN NYEREEREWewe utabaki na Punji Kapoor hutokufa
Yule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Uko sahihiEmbu fuatilia kwanza historia ya lutherani...Utaacha kupoteza muda wako mkuu.
#NoReformsNoElection
Mkataeni woote lkn ujue tu kwamba atabakia kuwa Rais labda Mungu mwenyewe atake vinginevyoYule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Subiani hana jipya aende kwao.Kuna kura hapa jukwaani ya kumkataa huyu subiani karibuni Watanganyika.
Ndo shida ya njaa, Mungu tusaidie watoto wako, na watumishi wako unafiki utatuuwa.Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Inaelekea we si mkristo wa KKKT.Yule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Huyo Alex Gehaz Malasusa ni mtu wa ccm. Keshawatoa wenzake kafara wale kina Askofu Munga!Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Je, walizungumzia kutekwa kwa watu? Hao kuchangia yatima ni muhimu zaidi?Inaelekea we si mkristo wa KKKT.
Hii hafla ipo toka mwezi wa kwanza au wa pili mwaka huu.
Sali na utubu kw chuki zenu.
Atakuwa na ukwasi huo Elon musk akasome, yeye na kijana wake...hayo ya legacy hayana tija kwake!Hvi naomba kuuliza huyu bibi akiachia urais atakua na Legacy gani?
ule mkofia wa kiaskofu una maana gani? Ndio maana trump hakuuheshimu aliamua kujivisha. Malasusa asiwasaliti wenzake ni dhambiYule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Una degree au stashahada?Sasa Askofu ana kichwa cha mviringo na mashavu kama paka,.utarajie awe na akili?
Mimi ni M KKKT ila sijawahi kuikibali hii takataka ya malasusaUmewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
kaandaa event huku akijua kuna joto kaliLeo kafanyaje tena?