Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

KKKT sasa ni kikundi cha kigaidi kama Alshabab au Alikaida ya Osama bin laden kwa vitendo vyake haramu kukumbatia mauaji na utekaji wa ibirisi ccm
 
Kuna binaadam yeyote "anayelelewa kupingana na serikali"?

Hebu tuelezwe Samia kachanga Tsh. ngapi (pesa yetu kama siyo ya waarabu) katika tukio hilo!
KKKT sasa ni janga la Taifa
 
Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!

Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!

Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!

Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!


LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Malasusa alisimikwa na hao anaowasifu.
 
Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!

Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!

Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!

Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!


LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
WATUMISHI WA USHETANI

wengine wako na project za kuisaidia jamii we upo busy na connection, sio ushetani huo?

rais hasinukuliwe vibaya, hakusema mtumishi wa shetani, kasema utumishi wa ushetani.
 
Wafuasi wa CDM na li chama lao ni nuksi tupu kwenye ukombozl wa taifa.

Nyie wengine baada ya kuelewa umuhimu wa nguvu za kuzidhiti kwanza kimkakati ili muweze kukabili changamoto za taifa.

Ma CDM yenyewe yatakuja na upuuzi wao (kwa akili zao finyu).

Mfano unataka kuivaa nchi moja ambayo inajeshi kubwa, siłaa za kisasa. Sasa ili kupunguza makali ya adui nyie wengine kwa akili mkisema tuanze na kufyatua vituo vya mafuta ili kukata supply chain ya nishati ya adui asiweze tumia vifaa vyake.

Wafuasi wa CDM watakuja na tafsiri yao na kuleta upuuzi mwingine.

CDM hawana akili ya kuikomboa Tanzania, haya mambo tuwaachie civil servants.

Hoja za Gwajima kwa sababu nyingine kwa CDM (wa JF) zishakuwa sababu za kuanzisha mada za udini sijui ubaguzi wa bara na Zanzibar (chuki tu za hovyo)

Yaani mimi humu JF hakuna mijitu inayonikera kama wafuasi wa CDM nayaonaga kama majitu fulani nuksi tupu na mataahira.
 
Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!

Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!

Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!

Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!


LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI
Malasusa ni mchumia tumbo, kuna wakati niliacha kwrnda kanisani kabisa nikahamia penktekoste kwa sababu ya upuuzi wa malasusa
 
Ngoja niishie hapa maana tunakoelekea mmmh kama Gwajiboy kakemea utekaji kanisa likafungiwa badala ya yeye kukamatwa TU
Vip wewe na Mimi ukiongelea vbaya maslah ya wakubwa ?
Boniface Mwangi anakupa tahadhari "BEWARE OF THE LUBE IN THE HANDS OF TORTURERS IN THE SECRET SAFE HOUSE."
Unaweza geuka mpakwa mafuta ya Diddy.
 
Malasusa kakosea...uwez kumkarbsha mtu akasmama madhabahuni akakashifu makanisa mengine alafu Mungu akakuacha salama
Tunaomba Baraza la maaskofu KKKT mkae na muondoeni kwenye ukuu huyu Malasusa. Hawezi kutuharibia KKKT yetu namna hii. Yaani madhabahu inatumika kuita watumishi wa kanisa lingine kwamba ni watumishi wa shetani! Hii hapana!
 
Back
Top Bottom