Kama anataka waingie watu anaowataka yeye basi iwe Club na Sio Bar au Pub ili watu wapewe Membership Cards kabisa. Shida kubwa tuliyonayo watanzania wengi ni Ushamba. Kingine hata nyie mnaokunywa, kwani lazima sana kwenda kunywa hapo au ni kiherehere tu cha kutaka ku "fit-in" na kupenda kuonakana tu kwamba na wewe upo mahala hapo?Wakuu Weki Iendelee.
Kumekuwa na Malalamiko Mengi sana Dhidi ya Wamiliki Wa Bar Ya Bambalaga iliyoko Dodoma Kwamba Wanawabagua bahadhi Ya Wateja.
Either Kwa Kuangalia miili Au Personality ya Mtu Husika Wanakuzuia Kuingia ndani Na Mabaunsa Wa Hyo Bar.
Kuna Siku Nilishuhudia Jamaa amekuja na Demu Wake ni mfupi na ana Mwili mdgo Mshikaji akaruhusiwa Kuingia Ndani Ila Demu Wake wakamkataza na Wakamwambia ww MwanFunzi Nenda Kalale. Huu ni udhalilishaji Sana.
Nadhani Wamiliki Wa Bar Husika Waliangalie hili Maana uhai Wa Bar ni wateja Haujalishi ni Aina Gani Ya Mteja.
Karibuni Viwanja vya Ikulu, Hafla Ya Chief Hangaya Akiwapongeza Wachezaji Wa Team Ya Taifa Ya Watu Wenye UlemavuView attachment 2035842
So dodoma imejaa mashogaPicnic wacha kabisa nikiwa ziarani hapo ndipo huwa nashindia huku nafurahia uumbaji wa Mungu wale wahudumu na zile nguo zao wacha kabisa nakumbuka siku moja nilikuwa mbwii nikachukua goma moja hapo asikuambie mtu kama siku ile sikupata UKIMWI basi ndio sipati tena nilisugua ile kitu kuja kushtuka Ring ndio imebaki katika mashine [emoji38][emoji38]
Kwa dodoma kawaida sana hiyo bambalaga wanaenda wanafunzi na baadhi ya vijana wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja watu na akili zetu utatukuta Rainbow ama Royal…
Pestana waliifunga ndio wakafungua hii.
Thanks babe...nitafurahi....hutojutia.Daah!😍😍 Soooon darling
Ile ni madeni,kushindwa kulipa mkopo!Ndio chief imefungwa kabisa yaani kwa sababu ya pigo hizi hizi za kishamba.
Mnoooo!!Ila Watz mmedumaa.
Usisahau kunibebea zabibu. Ukiwa unarud [emoji39][emoji39][emoji39]Daah![emoji7][emoji7] Soooon darling
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Watz mmedumaa.
Eti mtu mzima kabisa anahisiwa ni mtoto. Duu kazi tunayo.Mnoooo!!