Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Mkuu naunganisha na uzi wa Shishi Foods hapo Dodoma. It seems customer care hapo Dom ni janga kweli kweli
 
Du hv ni lazima kuingia hapo coz naona zipo sehemu nyingi tu za kuburudika. Hizo pigo nilizionja Florida ya msamvu nimeshuka na maji yangu mkononi ile naingia tu getini mlinzi akaniambia sitakiwi kuingia na maji, nkamuuliza kwann akasema bosi ndio kaamua hvyo. Nikamuuliza kwahyo maji yangu nitupe au ninywe kwa kujilazimisha? akanisihi sana naomba hata uyaache tu ataniangalizia nisimuaribie kazi. Kwakweli sikumuelewa nikaingia ile kufika kaunta nmekaa tu weita ananiambia siwezi kukuhudumia mpk urudishe hayo maji nje ya geti. Nikajiuliza swali Moja tu hv mm ndio wa kubembeleza ninywe hapo au wao ndio wa kunibembeleza Mimi. Niliapa kutofika hapo nikajichanganya Star park Nikala gambe zangu za kutosha.
 
Tena ukienda na Hubby ndo kabisaaa wanaweza wasije hapo kwny meza yenu. Na wakija wanafanya kama wamelazimishwa mr ndo anawakomeshaga ikibaki hata mia tano atadai mpk wampe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Frank Mtei mmiliki hajui jinsi Pestana yake ilivyokufa anataka aiue na hii!
Cc cocastic

Madame B nakuja dom unipokee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo hujawahi hata nipeleka club au pub yeyote, hiyo avatar babeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu naunganisha na uzi wa Shishi Foods hapo Dodoma. It seems customer care hapo Domi ni janga kweli kweli
Ndio ukweli wenyewe mkuu, hiyo shishi food si ni mpya kabisa?
Lakini wahudumu ndio wanawaangusha mabosi zao, wao wanaona kukuhudumia kama vile ni huruma wakati ndio bosi..

Sisi wengine uzuri tunawajua A Z na baadhi yao walikuwa mademu zetu vidato kwahiyo nenda sehemu unayothaminiwa Bob.
 
Mkuu star park huduma nzuri ?

TOTOS zipo ?



Maana nitakuwa na road trip moro
 
Au ni wewe mwenyewe uliyerudishiwa langoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…