Malalamiko kuhusu kuvunjwa msikiti, uhamisho wa wahadhiri Waislam UDOM

Hata kama chuo chote kingekuwa na wafanyakazi wakristo tu hakuna tatizo, tatizo kama wangekuwa waislamu tu, mnawajua hao wenzetu! Hata hivyo mmesikia hata Siku 1 amechangia au amefundi uanzishwaji wa kanisa? Vipi kuhusu misikiti?
 
Ukitaka kufahamu muda mwingine hizi dini zinastaajabisha ni hapa kwenye vielelezo vya uongozi wa chuo.
Aliyeandika barua anadai wakristo ni wengi kwenye utawala kuliko waislamu, kama haupo makini na ukatanguliza hisia kuliko ukweli utahisi kuna haja ya ulinganifu wa kidini katika utawala na kusahau kuwa mtu anapewa mamlaka/ uongozi wa chuo kutokana na uwezo wa kitaaluma na uzoefu, ndio maana kuna waislamu pia japo hawajapata kuwa wengi maana huu si mchuano Bali utoaji wa taaluma.Serikali yetu naomba isiingie mkenge kwenye mtego wa hili swala la dini kwa kuanza kuweka watu katika idara, eti kuweka uwiano wa dini.
Sasa na ambayo ni wahindu na wasio enda kanisani au msikitini wakitaka uwiano hapo hapatakuwa Chuo bali Jerusalem ( Israeli vs Palestina)
 
Anko Magu anafanya kazi na watu wa usalama na hata Mheshimiwa Majaliwa alishasema kuwa 'ulipo tupo', hivyo acheni kulialia pale hatua stahiki zinapochukuliwa. Wale wote waliofanya forgery na kuvunja taratibu sio tu wanapaswa kulipa fidia ya uhabirifu uliotokea bali pia wanapaswa kulipia gharama za kuvunja, posho za askari na mafuta ya hizo difenda zilizohusika kukamilisha zoezi. Na on top of that wawaombe radhi wote waliowamislead na kuwadanganya kuwa mambo yapo sawa ilhali wakijua sio. Pia wanapaswa kuomba radhi kwa mwajiri na watz wote.
 
Yes, but usiombe jambo la kijinga na kutpitiswha na watu wajinga halafu mwelevu akiliona ulalamike. That is illogical! Hakuna cha dini wala kingine. Ni suala la uelewa.

Unaandika barua kama hiyo isiyojieleza nini ni tatizo. Ni kuhamishwa waislamu au msikiti kuzuiliwa? Kama ni kuhamishwa kote, UD, SUA, NIMR staff wamehamishwa tena seniors. La kujiuliza ni kwa nini seniors hao wa UDOM wote ni waislamu? waliingiaje wote wakiwa waislamu watupu. Hapo ndo utajua historia ya kijinga ya UDOM. Tusipende kuficha upuuzi wa watu walioshindwa kubadilika.

Ukisoma ubadilike. Usipobadilika unaitwa mpuuzi. Hadi level ya Chuo kikuu bado dini na kabila na ukoo ni tatizo kwako? Kama unaona dini ni muhimu kuliko kingine hama chuo kikuu. Dodoma imejaa mapori, peleka sadaka zako huko ujenge madrassa na himaya yako, kuliko kuomba ekari 20 za msikiti mmoja uwe na himaya ndani ya eneo la serikali.
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hawa watu ni watu wakulalamika tu. Chuo cha tanesco morogoro waliomba kuazimwa majengo wafungue chuo baadae wajenge chao lakini hadi leo wameshabinafsisha.

Kwani udom kuna makanisa?? Kwanini wao wanalazimisha kujenga msikiti??
Halafu kweli...Tunaomba ndugu zetu wajenge chuo chao...Majengo ya Tanesco Morogoro mlipewa tu kwa muda...ili mtambae alafu msimame wenyewe...sasa mmeshasimama wenyewe...tunaomba majengo myarudishe kwa amani...
 
Kwa upande Mwingine hii Ni fursa ya Vijana wa Kiislam kujitambua

Mara nyingi Sana mkipata misuko suko ya kubaguliwa Na kudhalilishwa Na kuonewa Umoja wenu unakuwa Imara Sana

Nakumbuka Sana enzi Zetu Za kuanzishwa MSAUD Udsm

Uislam kadri unavyotikiswa ndio huwa unaimarika

To the extent of my experience Product itakayoanza kutoka Udom kuanzia Mwaka huu haitokuwa ya 'kindezi ndezi'
 
Sasa ukitaka kufahamu muda mwingine hizo dini zinastaajabisha ni hapa kwenye vielelezo vya uongozi wa chuo.
Aliyeandika barua anadai wakristo ni wengi kwenye utawala kuliko waislamu , kama haupo makini na ukatanguliza hisia kuliko ukweli utahisi kuna haja ya ulinganifu wa kidini katika utawala na kusahau kuwa mtu anapewa mamlaka ya uongozi wa chuo kutoka na na uwezo wa kitaaluma na uzoefu ndio maana kuna waislamu.Serikali yetu naomb isiingie mkenge kwenye mtego wa hili swala la dini kwa kuanza kuweka watu katika idara eti kuweka uwiano wa dini.Sasa na ambayo ni wahindu na wasio enda kanisani au msikitini wakitaka hapo hapatakuwa Chuo bali Jerusalem( Israeli vs Palestina)

Walipowahamisha Waislamu hapo Udom, Gaudensia Kabaka ambaye ni mkuu wa baraza la chuo alisema naye anashangaa kwa nini nafasi za HR, Estate Manager na Accountant zimekaliwa na watu wenye majina ya muelekeo wa Uislamu. Kama dini ya mtu siyo ishu kwenye ajira kwa nini basi huyo mama afikirie kitu kama hicho akilini mwake?

Maana yake ni moja tu: Wakiristo wakiwa wengi mahali hilo linaonekana sawa tu hakuna tatizo, Ila Waislamu wakiwa wengi mahali hiyo ni nongwa, ni taboo, ni kuwashukushuku!

Hiki si Kingine bali ni UDINI MTUPU
 
Kwa upande Mwingine hii Ni fursa ya Vijana wa Kiislam kujitambua

Mara nyingi Sana mkipata misuko suko ya kubaguliwa Na kudhalilishwa Na kuonewa Umoja wenu unakuwa Imara Sana

Nakumbuka Sana enzi Zetu Za kuanzishwa MSAUD Udsm

Uislam kadri unavyotikiswa ndio huwa unaimarika

To the extent of my experience Product itakayoanza kutoka Udom kuanzia Mwaka huu haitokuwa ya 'kindezi ndezi'

Kaka mimi ni mfuasi wa Kristo lakini kwa kweli nimegundua kuwa WAKIRISTO wa nchi hii huungana kuwa kitu kimoja kutetea MASLAHI ya Mifumo yetu, Hujaribu kila namna kutoa kauli za Kejeli, Maudhi, Kupindisha Logic na Common sense ili kutetea mfumo unawaweka juu ya ndugu zetu Waislamu.

Najaribu kufikiri laiti Raisi angekuwa Muislamu akahamisha Wakirsto tupu kuwatoa chuo kimoja na kuwatapanya halafu Gwajima akalishikia bango, hii nchi isingetawalika kwa kelele!

Au Raisi angekuwa ni Muislamu akawa aneteua Waislamu asilimia zaidi ya 80 na wakiristo only 20 % kama rais wa sasa anavyofanya kuteua Wakiristo wengi kuliko Waislamu kwa Proportipns kubwa ajabu, Nchi hii isingetawalika, Nyaraka za Kichungaji zingeshatoka, Kelele madhabahuni, Hapa JF mada za kumuita raisi huyo mdini zisingepungua!

UDiNI ni Upofu na ni UKATILI wa ajabu sana!
 
Nanukuu:
" Sisi hatusemi kabisa kwamba uhamisho na uvunjaji wa Msikiti vilifanywa kwa sababu ya udini. Lakini kukosekana kwa umakini katika hatua hizo kunaweza kukatengeneza fursa ya dhana hiyo kupenya."
Mwisho wa kunukuu.

Naona awamu hii maustadhi mnatoa malalamiko yenu kwa lugha laini sana, iliyojaa unyenyekevu , adabu na ustaarabu mno.
Nafikiri mmesoma upepo mkaona aliyeko juu pale Jumba jeupe ni sampuli gani, mkikinukisha na yeye anakinukisha tena kwa risasi za moto kama uncle Ben wa Masasi alivyowafanya wapemba mwaka ule wa utawala wake.

Poleni sana aiseee.
Ila amri ikishatoka juu kushuka chini huwa hairudi tena juu ilikotoka.
Salamu zimfikie FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mimi ni mfuasi wa Kristo lakini kwa kweli nimegundua kuwa WAKIRISTO wa nchi hii huungana kuwa kitu kimoja kutetea MASLAHI ya Mifumo yetu, Hujaribu kila namna kutoa kauli za Kejeli, Maudhi, Kupindisha Logic na Common sense ili kutetea mfumo unawaweka juu ya ndugu zetu Waislamu.

Najaribu kufikiri laiti Raisi angekuwa Muislamu akahamisha Wakirsto tupu kuwatoa chuo kimoja na kuwatapanya halafu Gwajima akalishikia bango, hii nchi isingetawalika kwa kelele!

Au Raisi angekuwa ni Muislamu akawa aneteua Waislamu asilimia zaidi ya 80 na wakiristo only 20 % kama rais wa sasa anavyofanya kuteua Wakiristo wengi kuliko Waislamu kwa Proportipns kubwa ajabu, Nchi hii isingetawalika, Nyaraka za Kichungaji zingeshatoka, Kelele madhabahuni, Hapa JF mada za kumuita raisi huyo mdini zisingepungua!

UDiNI ni Upofu na ni UKATILI wa ajabu sana!
Dini zote ni tatizo..hususan kama wanafanya mpango wa kutawala badala ya kuhubiri maisha baada ya kifo.
Ndio maana China wanafanya operation ya kubomoa makanisa
 
Kaka mimi ni mfuasi wa Kristo lakini kwa kweli nimegundua kuwa WAKIRISTO wa nchi hii huungana kuwa kitu kimoja kutetea MASLAHI ya Mifumo yetu, Hujaribu kila namna kutoa kauli za Kejeli, Maudhi, Kupindisha Logic na Common sense ili kutetea mfumo unawaweka juu ya ndugu zetu Waislamu.

Najaribu kufikiri laiti Raisi angekuwa Muislamu akahamisha Wakirsto tupu kuwatoa chuo kimoja na kuwatapanya halafu Gwajima akalishikia bango, hii nchi isingetawalika kwa kelele!

Au Raisi angekuwa ni Muislamu akawa aneteua Waislamu asilimia zaidi ya 80 na wakiristo only 20 % kama rais wa sasa anavyofanya kuteua Wakiristo wengi kuliko Waislamu kwa Proportipns kubwa ajabu, Nchi hii isingetawalika, Nyaraka za Kichungaji zingeshatoka, Kelele madhabahuni, Hapa JF mada za kumuita raisi huyo mdini zisingepungua!

UDiNI ni Upofu na ni UKATILI wa ajabu sana!

Hilo tumezoea Miaka yote

Waislam Siku zote wakiwa Na hoja zao kwa Serikal kuhusu Jambo Lao Basi Wakristo huwa Ni Mawakili wa kujitolea wa Serikal

Nakumbuka wakati wa Mzee Mkapa Waislam wakapeleka Wazo ( Ombi) la kuruhusiwa walau kupata saa Moja tu ya kuabudu Siku ya Ijumaa Basi katika hali ya kushangaza Hata Kabla Serikal haijajibu Ombi tukaanza kusikia Hoja za kupinga ombi hilo toka upande wa pili wakati wao haiwahusu kwa namna yoyote ile

Yaan Muislam akiwa Na jambo lake Hata Kama halimhusu kwa namna yoyote Mkristo lazima nafsi yake ikwazike

Hata Maofisin ikitokea mmoja wa staff Ni Muislam anaevaa hijabu lazima utaona wengine wanavyokwazika wakati Muislam akiona Asie Muislam kavaa misalaba yake Shingoni anachukulia kawaida Sana

Wakristo waache kujifanya Mawakili wa Serikal kwa mambo yasiyowahusu
 
"walipaswa kufukuzwa kazi kabisaa na kufungwa jela na wala si kuhamishwa tuu kwani kosa walilofanya la kubadili matumizi ya ekari10 za eneo la chuo cha UDOM" duh!!....."Allah tunaomba utunusuru chuki zao dhidi ya Dini yetu"......

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna chuki hapo, papason yuko sahii kwa asilimia 100

Hao wahadhiri (ambao nasikia wengi wao ni wazenji) walipaswa kufukuzwa kazi kwa kubadili matumizi ya eneo la serikali 'chuo'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom