Wahindu wabomoa msikiti na kuua Waislam kadhaa

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,987
8,362
Huko india wahindu walikerwa na msikiti uliokuwa jirani na makazi ya watu kuwa unawapigia kelele na kuamua kuubomoa bila kuita serikali

Waislam wa msikiti huo walijaribu kwenda mahakamani kupinga wazo la kubomoa msikiti lakini kabla ya mahakama haijatoa hukumu wahindu walivunja vunja huo msikiti na kupelekea watu kadhaa kupoteza maisha

ila baadae mahakama ikatoa uamuzi tofauti

Kwa mtazamo wahindu ni jamii isiyopenda hata kidogo kuchangamana na jamii ya waislam popote pale

Credit: aljazeera
 
Sema wenzetu waislamu mafundisho yao yanachangia ukosefu wa amani ktk eneo husika.
Hali hii hupelekea ugomvi baina yao na wale wasiofuata mafundisho hayo.

Pia hujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine, hivyo ukosefu wa Roho Mtakatifu huchangia kutumia maandiko yao ya jino kwa jino.

Dunia hii bila ya uwepo wa imani ya kiislamu ingekuwa na amani sana.

Ukiangalia mashariki ya kati ni shida tupu, ukija Afrika nchi zote zenye waislamu wengi zimejaa machafuko kuliko upendo.

cc Maghayo

MK254
 
Yani vurugu wafanye wahindu af ulaumu waislam?
 
Muda ufike suala la Imani isiwahusishe watu wengine wasioamini Imani hiyo

♦️ Kengele za kuwajulisha watu muda wa Sala makanisani zizuiwe kwani zinasumbua watu wasio wakristu

♦️Makanisa ya walokole yawe sound proof ili kutokusumbua wasioamini Imani hiyo ya kilokole

♦️ Adhana na swala za kiislam zisaliwe ndani ya msikiti na maspika yaliyowekwa nje ambayo yanawasumbua watu ambao sio Waislam yaondolewe. Hapo Kila mtu atajua muda wa ibada yake kama ajuavyo muda wa kwenda kazini , na ibada itakuwa ni kwa wale waamini tuu
 
Yani vurugu wafanye wahindu af ulaumu waislam?
Hata hapa nchini wameshaleta mchafuko huko Chalinze.

Kila kona mnalalamikiwa. Inabidi mbadilike sasa muachane na kelele zinazopigwa vita.
Kuvunjwa msikiti kwa mtindo huo ni sahihi ? Huoni kama jamii inazalisha chuki katikati yao ? Kumbuka hao wote ni wahindi ila tofauti za kiimani zimewalevya vibaya.

Swali kwako, wewe upo tayari kuona jamii ya Kitanzania ikivunjiana misikiti na makanisa kwa mtindo huo usio wa kistaarabu ?
 
Waislam ni tatizo la dunia,kila walipo ni kero kwa sababu ya dini yao siasa kali iliyojaa uhafidhina na kudharau imani za wengine na kulazimisha yao ikubaliwe na kuheshimiwa,hili ni ttzo kubwa,mbeya waligombania kuchinja
Sasa hapo tatizo ni waislam wa kihindi au maamuzi ya kipuuzi wahindu walio chukua juu ya uwepo wa msikiti ?
 
Huko india wahindu walikerwa na msikiti uliokuwa jirani na makazi ya watu kuwa unawapigia kelele na kuamua kuubomoa bila kuita serikali

Waislam wa msikiti huo walijaribu kwenda mahakamani kupinga wazo la kubomoa msikiti
Lkn kabla ya mahakama haijatoa hukumu wahindu walivunja vunja huo msikiti na kupelekea watu kadhaa kupoteza maisha

ila baadae mahakama ikatoa uamuzi tofauti

Kwa mtazamo wahindu ni jamii isiyopenda hata kidogo kuchangamana na jamii ya waislam popote pale

Na nyinyi jaribuni kuvunja mitaani muone moto tunakavyowapelekea
Na hivi ni mafisi, tutakula vichwa sana
 
Tatizo mkiambiwa punguzeni kelele mnaleta ujuaji. Tafuteni njia nyingine za kuitana kwenye misa,acheni vitisho kwenye maidha yenu tena mnaweka kwa sauti ya juu na bado mnawaita majina mabaya wasio wa dini yenu haivumiliki

Anyway bongo tayari washa vunja msikiti

Kuvunjwa msikiti kwa mtindo huo ni sahihi ? Huoni kama jamii inazalisha chuki katikati yao ? Kumbuka hao wote ni wahindi ila tofauti za kiimani zimewalevya vibaya.

Swali kwako, wewe upo tayari kuona jamii ya Kitanzania ikivunjiana misikiti na makanisa kwa mtindo huo usio wa kistaarabu ?
Kuvunjwa msikiti kwa mtindo huo ni sahihi ? Huoni kama jamii inazalisha chuki katikati yao ? Kumbuka hao wote ni wahindi ila tofauti za kiimani zimewalevya vibaya.

Swali kwako, wewe upo tayari kuona jamii ya Kitanzania ikivunjiana misikiti na makanisa kwa mtindo huo usio wa kistaarabu ?
 
Sema wenzetu waislamu mafundisho yao yanachangia ukosefu wa amani ktk eneo husika.
Hali hii hupelekea ugomvi baina yao na wale wasiofuata mafundisho hayo.

Pia hujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine, hivyo ukosefu wa Roho Mtakatifu huchangia kutumia maandiko yao ya jino kwa jino.

Dunia hii bila ya uwepo wa imani ya kiislamu ingekuwa na amani sana.

Ukiangalia mashariki ya kati ni shida tupu, ukija Afrika nchi zote zenye waislamu wengi zimejaa machafuko kuliko upendo.

cc Maghayo

MK254
Congo ni nchi ya kiislam ?
 
Huyu mama mchungaji aliyeongea hapo anaonekana ni mtamu kumpelekea moto
1707502777430.png
 
Tatizo mkiambiwa punguzeni kelele mnaleta ujuaji. Tafuteni njia nyingine za kuitana kwenye misa,acheni vitisho kwenye maidha yenu tena mnaweka kwa sauti ya juu na bado mnawaita majina mabaya wasio wa dini yenu haivumiliki

Anyway bongo tayari washa vunja msikiti

Nimekuuliza swali zuri tu sijui nini hiki umeandika . Unafikiri mimi muislam ? Au ndio akili za hovyo za waafrika wengi kukisia imani za watu katika mtazamo wa mkristo au muislam kutokana na alichosema

Soma swali langu vizuri ongeza na hili hicho kitendo walicho fanya wahindu ni sahihi ?
 
Back
Top Bottom