we nimegundua nakuzidi iq, hvyo staendelea na wew. Unavyonifikiri sivyo mimi nakijua vizuri hicho chuo.babaaa babaaaa fojaliiii babaaaa......wanakaaa watu2 na kuamua maamuzi ya barazaa! ndiyo maana nimekwambia busara ya hali ya juu imetumika apo ku-neutralize 'wizi' uliofanywa na hao 'wahadhiri'
nguvu na rasimali kubwa sana zilitumika kukijenga hicho chuo lakini output quality bado haiendani na uwekezaji uliofanyika, ngoja safisha safisha ipite kwanza apo, kama mtakumbuka vizuri kipindi nyuma adi wa waalimu wa shule za msingi walikuwa wanapelekwa kufindisha apo .....