Makusanyo ya TRA mwezi June ni Bilioni 500, kulikoni?!

*ipo siku tutaambiwa twende peponi tunakataa kisa taarifa zimetoka tukiwa chini ya utawala wa ccm*
 
Kenge zingine bhana,vijana wa chadema waliowengi ni kama mazombi tu,kama hukusikia vizuri ya nini mbiombio kuja kuharisha humu? naona siku hizi hamna ajenda tena nyie kila takataka mwala kama bata.Makusanyo kwa june ni 1.44trillion ,sema jingine sasa

mbona umepanik kiazi wewe?,sasa umethibitishaje kuwa mimi ni chadema?
 
Hayo ni

Makusanyo yote sio ya bandari peke yake
Mwezi may bilo400
June. Bil 500
Huo ndio ukwel
Anaesema ni ya bandari pekee anapotosha
 
Habari wakuu,

Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV usiku huu na msemaji wa TRA ni kama nimemsikia kwamba makusanyo waliokusanya mwezi June ni billion 500.

Kulikoni makusanyo ya kodi kushuka hivi mwezi June.

Au kwa mliosikia vizuri au data zaidi ya kiasi halisi kilichosemwa mnaweza mkatoa data za uhalisia kwa maana naona kama billion 500 ni kama makusanyo yameshuka by a half.
Mwezi huu wa july watakusanya milioni mia tisa
 
Yangekuwa yameshuka wasingetangaza. Serikali bado iko honeymoon so inapenda taarifa tamu tu ndo zitolewe.
 
Habari wakuu,

Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV usiku huu na msemaji wa TRA ni kama nimemsikia kwamba makusanyo waliokusanya mwezi June ni billion 500.

Kulikoni makusanyo ya kodi kushuka hivi mwezi June.

Au kwa mliosikia vizuri au data zaidi ya kiasi halisi kilichosemwa mnaweza mkatoa data za uhalisia kwa maana naona kama billion 500 ni kama makusanyo yameshuka by a half.
Mkuu ulikuwa umetulia kweli au shem alikua anakusemesha pembeni yako
June maguful kapata 1.4tr
 
Asa me atasielewi kama miela inakusanywa mbona njaa kali kuanzia kwa wafanyakazi adi mtaan izi ela zinaenda wap? atakama ndo tunajenga ivyo viwanda si kwa njaa hii
Fanya kazi kwa juhudi na maariifa,serikali haiwezi kukuwekea hela mfukoni
 
Hayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.
Haiaminiki hata kidogo.! Yaani pamoja na mizigo kupungua kwa karibu asilimia 50 bado mapato yamepanda?! Utoto huo! Basi makusanyo yangekuwa ya kutisha! Utoto huo nasema.
 
Back
Top Bottom