Makusanyo ya TRA mwezi June ni Bilioni 500, kulikoni?!

ungesikiliza vizuri wala usingekurupuka kuweka hii post, hyo billion 500 ni makusanyo bandarini tuu! na wamepongeza kwa kuwa mwanzo ilikuwa kati ya billion 200 hadi billion 300 ,ila sasa ivi wamekusanya billion 500
Unaamini kweli wamekusanya kiasi hicho?
 
Si wanatajaga mapato kwa ujumla iweje wataje ya bandari tu mambo ya kihuni tu
 
wao ndio wenye mamlaka ya kukusanya kodi ulitaka niwaamini akina nani?? au ulitaka makusanyo yawe kidogo ili upate cha kupost?? basi wanekusanya billion 10 , haya shangilia!!
Tumedaganywa mengi tangu uhuru Ndio maana aamini. Mimi pia sitaamini hadi nione kwa macho yangu hizo hela na kuzihesab mara mbili mbili
 
Yale makusanyo yaliyokuwa yanagonga til 1 na ushee yalikuwa ya nchi nzima au bandarini tu mkuu?
Kenge zingine bhana,vijana wa chadema waliowengi ni kama mazombi tu,kama hukusikia vizuri ya nini mbiombio kuja kuharisha humu? naona siku hizi hamna ajenda tena nyie kila takataka mwala kama bata.Makusanyo kwa june ni 1.44trillion ,sema jingine sasa
 
Back
Top Bottom