Kwanini TRA wameacha kutangaza makusanyo ya Kila mwezi?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Je, kutangaza haikuwa kisheria ?

Je, Kuna aibu ya kushuka kwa makusanyo?

Je, Rais Magufuli alikosea kutaja makusanyo Kwa Kila mwezi na Kila taasisi biashara?

Wapi nitapata taarifa za makusanyo ya TRA Kwa Kila mwezi?

USSR
 
Na uchumi unaenda kudorora kutokana na kuadimika kwa umeme, baada ya wapiga dili kurudi nchi inajiendea tu.....
 
Ukishafahamu utapewa fungu lako au utaletewa ugali nyumbani?

Nilitegemea utoe statistics za dawa kiasi gani zimepelekwa kwenye mahospitali mwezi huu, shule ngapi zimejengwa, barabara km ngapi zimeongezeka, ajira ngapi zimeongezwa, etc etc,

Hzo nyingine hata TRA wakikuambia mwezi huu wamekusanya 10Trilioni huwezi kuzihakiki kwamba ni kweli au uongo,!!

Ila maendeleo yataonekana kwa macho!! Tudai maendeleo halisi yanayomgusa mtanzania na siyo sifa za kijinga!!
 
Je, kutangaza haikuwa kisheria ?

Je, Kuna aibu ya kushuka kwa makusanyo?

Je, Rais Magufuli alikosea kutaja makusanyo Kwa Kila mwezi na Kila taasisi biashara?

Wapi nitapata taarifa za makusanyo ya TRA Kwa Kila mwezi?

USSR
MAKUSANYO 1.jpg
MAKUSANYO 2.jpg
july makusanyo.jpg
july makusanyo.jpg

Kiongozi naona kama wanatoa kwa kila miezi mitatu mitatu nimecheki kwenye kumbukumbu zangu nikakutana na hizi nyaraka zao
 
Back
Top Bottom