Hayati Magufuli alitumia Miaka 6 kuwapa TRA Bilioni 500, Rais Samia ametumia miaka 2 tu kuwapa TRA Bilioni 500

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Tunaendelea kuweka Rekodi Sawa(Chadomo na Sukuma Gang Waione Kwenye jalada).

Wakati Hayati Rais Magufuli anaingia Madarakani Oktoba mwaka 2015 alikuta wastani wa Makusanyo ya TRA Kwa mwaka kutoka awamu ya 4 ni sh.Tilioni 1 Kwa Mwezi na Hadi anaondoka madarakani Kwa kifo Machi 2021 aliacha makusanyo ya mwisho Kwa Mwezi ni sh.1.5 Tilioni.

Hivyo basi ndio Kusema Magufuli Alitumia wastani wa miaka 6 kuongeza Bilioni 500 kwenye Uchumi wakati huo huo Rais DK.Samia ametumia Miaka 2 Tu kufikisha Wastani wa Makusanyo ya TRA kuwa Tilioni 2 Kwa mwezi.
20230705_184207.jpg

My Take
Rais Samia atasalia kuwa Rais aliyeacha Alama kubwa ya kiutendaji Kwa muda mfupi kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania.
Hakika Mama Apewe Maua yake.
 
Attachments

  • National_Tax_Statistics_Upto_2021_22.xls
    74 KB · Views: 1
Tunaendelea kuweka Rekodi Sawa..

Wakati Hayati Rais Magufuli anaingia Madarakani Oktoba mwaka 2015 alikuta wastani wa Makusanyo ya TRA Kwa mwaka kutoka awamu ya 5 ni sh.Tilioni 1 Kwa Mwezi na Hadi anaondoka madarakani Kwa kifo Machi 2012 aliacha makusanyo ya mwisho Kwa Mwezi ni sh.1.5 Tilioni.

Hivyo basi ndio Kusema Magufuli Alitumia wastani wa miaka 6 kuongeza Bilioni 500 kwenye Uchumi wakati huo huo Rais DK.Samia ametumia Miaka 2 Tu kufikisha Wastani wa Makusanyo ya TRA kuwa Tilioni 2 Kwa mwezi.View attachment 2680065

My Take
Rais Samia atasalia kuwa Rais aliyeacha Alama kubwa ya kiutendaji Kwa muda mfupi kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania..
Je, fedha hizo wametoa kutoka mifukoni mwao au ni kutokana na makusanyo ya kodi za Wananchi???
 
Tunaendelea kuweka Rekodi Sawa..

Wakati Hayati Rais Magufuli anaingia Madarakani Oktoba mwaka 2015 alikuta wastani wa Makusanyo ya TRA Kwa mwaka kutoka awamu ya 5 ni sh.Tilioni 1 Kwa Mwezi na Hadi anaondoka madarakani Kwa kifo Machi 2012 aliacha makusanyo ya mwisho Kwa Mwezi ni sh.1.5 Tilioni.

Hivyo basi ndio Kusema Magufuli Alitumia wastani wa miaka 6 kuongeza Bilioni 500 kwenye Uchumi wakati huo huo Rais DK.Samia ametumia Miaka 2 Tu kufikisha Wastani wa Makusanyo ya TRA kuwa Tilioni 2 Kwa mwezi.View attachment 2680065

My Take
Rais Samia atasalia kuwa Rais aliyeacha Alama kubwa ya kiutendaji Kwa muda mfupi kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania..
Hyo alama itakuwa na kumbukizi la milele k.m akiondoa kutoshtakiwa akimaliza kipindi chake
 
Tunaendelea kuweka Rekodi Sawa..

Wakati Hayati Rais Magufuli anaingia Madarakani Oktoba mwaka 2015 alikuta wastani wa Makusanyo ya TRA Kwa mwaka kutoka awamu ya 5 ni sh.Tilioni 1 Kwa Mwezi na Hadi anaondoka madarakani Kwa kifo Machi 2012 aliacha makusanyo ya mwisho Kwa Mwezi ni sh.1.5 Tilioni.

Hivyo basi ndio Kusema Magufuli Alitumia wastani wa miaka 6 kuongeza Bilioni 500 kwenye Uchumi wakati huo huo Rais DK.Samia ametumia Miaka 2 Tu kufikisha Wastani wa Makusanyo ya TRA kuwa Tilioni 2 Kwa mwezi.View attachment 2680065

My Take
Rais Samia atasalia kuwa Rais aliyeacha Alama kubwa ya kiutendaji Kwa muda mfupi kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania..
Kwani wewe umeelewaje hapo? Kutoka kwa JPM uchumi unakua, hiyo ndiyo reflection ya investment wakati wa JPM na kodi Zaidi zinakusanywa sasa. Wewe ulitaka iweje?
 
Lini uchumi uliacha kukua au lini Nchi iliacha kufanya investment ukimtoa Nyerere?

Kwa nini hiyo reflection haikufanyika awamu ya 5 wakati investment ilikuwepo Toka zama za Mwingi,Mkapa na JK?

Usitufanye wote wajinga kama wewe,ni awamu ya Mkapa na JK ndio uchumi ulikuwa zaidi.
 
Hatuwataki DP WORLD hapa Tanzania bara.
Mikatabayao ni ya kinyonyaji na inajipa mamlaka ya kujaribu kutufanya watumwa kwenye inchiyetu.
Haikubaliki.
Kwa hiyo Mimi nikusaidiaje kwenye mada ya Rais kufanya vyema?
 
Kwa sasa tunadili na mkataba wa kijinga wa kuwapa warabu aridhi yetu milele,

Yaani kilichokosekana kwenye huo mkataba ni kule kusema, warabu wanapewa uraia wa tanzania waishi maisha yao yote nchini

Ungana na wananchi wengi kukataa mkataba uliosainiwa huku mtia saini akiwa amefumba macho
 
Lini uchumi uliacha kukua au lini Nchi iliacha kufanya investment ukimtoa Nyerere?

Kwa nini hiyo reflection haikufanyika awamu ya 5 wakati investment ilikuwepo Toka zama za Mwingi,Mkapa na JK?

Usitufanye wote wajinga kama wewe,ni awamu ya Mkapa na JK ndio uchumi ulikuwa zaidi.
Sawa, lakini Kwa nini sasa tunaenda du bei
 
Kwa sasa tunadili na mkataba wa kijinga wa kuwapa walabu aridhi yetu milele,

Yaani kilichokosekana kwenye huo mkataba ni kule kusema, warabu wanapewa uraia wa tanzania waishi maisha yao yote nchini

Ungana na wananchi wengi kukataa mkataba uliosainiwa huku mtia saini akiwa amefumba macho
Sasa hii sio mada ya dp World,ziko nyingi nenda ka deal huko humu acha tulinganishe Ufanisi ,nani alifanya nini Ili rekodi zikae sawa.
 
Tunaendelea kuweka Rekodi Sawa..

Wakati Hayati Rais Magufuli anaingia Madarakani Oktoba mwaka 2015 alikuta wastani wa Makusanyo ya TRA Kwa mwaka kutoka awamu ya 4 ni sh.Tilioni 1 Kwa Mwezi na Hadi anaondoka madarakani Kwa kifo Machi 2012 aliacha makusanyo ya mwisho Kwa Mwezi ni sh.1.5 Tilioni.

Hivyo basi ndio Kusema Magufuli Alitumia wastani wa miaka 6 kuongeza Bilioni 500 kwenye Uchumi wakati huo huo Rais DK.Samia ametumia Miaka 2 Tu kufikisha Wastani wa Makusanyo ya TRA kuwa Tilioni 2 Kwa mwezi.View attachment 2680065

My Take
Rais Samia atasalia kuwa Rais aliyeacha Alama kubwa ya kiutendaji Kwa muda mfupi kuliko Rais mwingine yeyote wa Tanzania..
Yani CCM mnazinguana wenyewe kwa wenyewe
Basi hali ni Mbaya sana.
Sasa ni Magu vs SSH mmmh
 
Back
Top Bottom