Kifimbocheza
JF-Expert Member
- Aug 7, 2008
- 494
- 120
Jamani Jamani
Mwenye Nchi Amesafiri Yupo USWIZI anarudi Feb 2, 2011
Mwenye Nchi Amesafiri Yupo USWIZI anarudi Feb 2, 2011
Serikali yetu iko wapi iliyounda bodi ya mikopo inayoshindwa kutekeleza majukumu yake ipaswavyo?
Tambwe hizza ata sema chadema ndio chanzo
Tutafika tu, matatizo ya mikopo nayo yanasubiri CC sisiem itoe maelekezo ....., sijui kama Bodi ya mikopo imelala au imeelekezwa kufanya hivyo ili utatuzi wa masuala hayo uanzie cc na kuufanya kuwa mtaji wa kisiasa. ...Wana jf nimepita hapa chuo kikuu Makumira wanafunziwa megoma,wamefunga barabara kuu ya Moshi Arusha kwa mawe,matofali na makorokoro mengine. Polisi wamefika wamewatawanya kwa mabomu ya machozi na risasi za moto na wanafunzi wengi wamekamatwa. Kisa cha mgomo ni mikopo hawajapata.
nchi imekwisha hii. Mi cjui mambo itakuwaje!
Wana jf nimepita hapa chuo kikuu Makumira wanafunziwa megoma,wamefunga barabara kuu ya Moshi Arusha kwa mawe,matofali na makorokoro mengine. Polisi wamefika wamewatawanya kwa mabomu ya machozi na risasi za moto na wanafunzi wengi wamekamatwa. Kisa cha mgomo ni mikopo hawajapata.