saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,677
- 7,808
IDADI YA WAHADHIRI NA RANK ZAO
Senior Lecturers - 09
Lecturers - 12
Assistant Lecturers - 46
Ni jambo linalostua chuo kikuu kinachojinasibu kutoa PhD kinaendeshwa kwa 70% na wahadhiri wasaidizi ambao wana-hold elimu ya kiwango cha Masters, hawa ndio wanaofundisha programa za Masters. Mtu mwenye Masters anafundisha Masters program halafu mnatuambia TCU walipitia pale, waliangalia nini, Wizara iwafuatilie maafisa waliotumwa pale pengine wameshikishwa Rupia. Kile chuo kina Associate Professors watatu (03), tena wengine ni wastaafu, kina PhD holders 06 tu, Law wawili, Education wawili na wengine ni wa Theology. Unakuta Mhadhiri moja anafundisha course 6 na ole wako ukatae uaoneshwa mlango tena bila kulipwa chohote. Waziri wa Elimu mama Prof Joyce Ndalichako njoo utembele hiki chuo u-prove hizi claims elimu inauawa. Muda ujao nita-attach Timetable ya semester iliyomalozika hivi punde muone walimu wanavyofundisha masomo mengi tena mengine siyo fani zao.
B: KIASI CHA HELA AMBAYO HAIKUWASILISHWA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII (NSSF & LAPF)

- KODI YA SERIKALI ILIYOIBIWA TANGIA 1997-2018
- Kukwepa kodi za Serikali – maana malipo yote yanayofanywa katikati ya mwezi hayakatwi kodi
- Kudhulumu wahadhiri na wafanyakazi wengine mawasilisho yao kwenye mifuko ya hifadhi za jamii (NSSF na LAPF ndiyo mifuko unayoruhusiwa kujiunga ukiajiriwa Tumaini University Makumira )
- Jedwali lililoambatanishwa linaonesha idadi ya wahadhiri, rank zao, miaka waliyoajiriwa na kiasi cha allowance wanacholipwa kila mwezi ambazo hazijakatwa kodi za serikali na Jumla ya fedha zote ambazo hazijakatwa kodi.
B: KIASI CHA HELA AMBAYO HAIKUWASILISHWA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII (NSSF & LAPF)
- Jedwali lililoambatanishwa linaonesha kiasi cha pesa ambayo chuo kimekwepa kuwasilisha ktk mifuko ya hifadhi za jamii. Ukokotoji (calulation) hufanyika kwenye basic pay tu inayokatwa na kuwasilishwa kila mwisho wa mwezi. Ukokotoaji hauhusishi allowances zinazolipwa katikati ya kila mwezi hivyo kuwadhulumu wahadhiri na wafanyakazi wengine pesheni zao mwisho wa siku. Si hivyo tu pesa hizi zilizokwepwa zingetumiwa na mifuko hii ktk shughuli mbalimbali za uwekezaji na kuinua uchumi wa nchi. Kwa kufanya hivi chuo hiki kimehujumu uchumi wa nchi yetu.
- Jedwali lililoambatanishwa linaonesha allowance kwa mwezi, asilimia inayokatwa na mfuko, miaka(wastani), miezi ktk mwaka na idadi ya wahadhiri ktk rank zao