Maktaba yangu ya nyumbani

Vida1

Vida1

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
122
Points
250
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined Jul 6, 2019
122 250
Ndio... Nina IQ kubwa kuliko nyie wote wawili na wengine wote wenye mtazamo finyu kama wako
Mimi unaweza kuwa unanizidi IQ lakini sio Kiranga jamaa anakuzidi mbali sana kwenye intellectual curiosity.
Kakuzidi mbali saana.
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
370
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
370 1,000
Safi sana, mimi natafuta cha kuanza kusoma sasa, nimemaliza kusoma "Frederick Douglass: Prophet of Freedom" cha David Blight.
Kilipata tuzo ya Pulitzer mwaka jana.
Kirefu kidogo (kurasa 764 za kitabu chenyewe) lakini historia nzuri sana.
Yes ni kizuri sana. Nimeshakisoma. Tafuta Death of a Nation by Dinesh D'Souza na The Bluest Eye by Toni Morrison.
 
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
9,581
Points
2,000
D

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
9,581 2,000
Mimi unaweza kuwa unanizidi IQ lakini sio Kiranga jamaa anakuzidi mbali sana kwenye intellectual curiosity.
Kakuzidi mbali saana.
Aisee!

Unapambanisha IQ za wanaume?
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
370
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
370 1,000
Sina uchoyo wa vitu isipokua kwenye vitabu. Ukihitaji ntakwambia njoo usome nyumbani ukimaliza kiache. Na sababu ni kwamba, mwingine atapata mhemuko anakuomba kitabu hata kama hata kisoma na hakirudishi.
Pili unaweza kubahatika mtu akakirudisha lakini utunzaji tunatofautiana, kitabu kinarudi lakini unakikataa kwamba sio chenyewe kwa jinsi kilivyobadilika rangi na muonekano, hapo sijaongelea wale wanachora au kuweka highlighter kwa maandishi.
Kabisa. Watu wengi wanachukulia poa vitabu hawatunzi. Yaani kwao siyo kitu cha maana.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,570
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,570 2,000
Mimi unaweza kuwa unanizidi IQ lakini sio Kiranga jamaa anakuzidi mbali sana kwenye intellectual curiosity.
Kakuzidi mbali saana.
umetumia mzani gani? Nikuletee tenda ya kupima watu IQ zao... Upate walau kipato
 
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Messages
5,161
Points
2,000
Bufa

Bufa

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2012
5,161 2,000
Mkuu Nyani Ngabu hongera sana kwa maktaba nzuri nyumbani.

Kwa mtiririko wa hivyo vitabu utakua into IT and/or Business field.

Binafsi sio mtunzaji mzuri sana wa vitabu huwa nagawa mara tu nikimaliza au kuviacha popote pale.

Nimekua muumini wa vitabu soft copies but for some reason bado nanunua magazines hardcopies, siwezi kabisa kusoma magazine online, hii leo nimenunua Men's Health na National Geographic.

Vitabu vya Kiswahili nilivyowahi kusoma bado ninavyo ila sasa nimekuwa-inspired kuanza kutunza vitabu vyote.
 
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Messages
3,061
Points
2,000
ni ngumu

ni ngumu

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2016
3,061 2,000
Mi kwenye simu ndo ninavyo vingi nadownload nasoma...

Ila sisomi novel na vitabu vyote vinavyofundisha formal education nadhan tutakuwa na taste tofauti.
 
LUKAMA

LUKAMA

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Messages
185
Points
250
LUKAMA

LUKAMA

Senior Member
Joined May 28, 2017
185 250
share basi kama una soft copy
Safi sana, mimi natafuta cha kuanza kusoma sasa, nimemaliza kusoma "Frederick Douglass: Prophet of Freedom" cha David Blight.

Kilipata tuzo ya Pulitzer mwaka jana.

Kirefu kidogo (kurasa 764 za kitabu chenyewe) lakini historia nzuri sana.

[/QUOTE
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,770
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,770 2,000
Mkuu Nyani Ngabu hongera sana kwa maktaba nzuri nyumbani.

Kwa mtiririko wa hivyo vitabu utakua into IT and/or Business field.

Binafsi sio mtunzaji mzuri sana wa vitabu huwa nagawa mara tu nikimaliza au kuviacha popote pale.

Nimekua muumini wa vitabu soft copies but for some reason bado nanunua magazines hardcopies, siwezi kabisa kusoma magazine online, hii leo nimenunua Men's Health na National Geographic.

Vitabu vya Kiswahili nilivyowahi kusoma bado ninavyo ila sasa nimekuwa-inspired kuanza kutunza vitabu vyote.
I just keep it simple.

Kuwa na rundo la vitabu ambavyo hata huvitumii naona ni kama kutunza uchafu tu.

Maana mwisho wa siku hivyo vitabu vinaanza kukusanya vumbi na wadudu wanaotambaa.
 
waOLDmoshi

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Messages
498
Points
1,000
waOLDmoshi

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined May 20, 2018
498 1,000
View attachment 1148819

Hii sio maktaba ya nyumbani ila baadhi ya vitabu nilivyonavyo huku kambini nnapobeba box!!!
Icho kitabu kikubwa upande wa kushoto cha Oxford nami ninacho, bado kipya kama chako nilikinunua toka 2015.

Kumbe nami naweza nunua vingine vingi nikavipanga vizuri kwenye kabati.

Navyo vinapendezesha.
 
Forum statistics

Threads 1,313,896
Members 504,678
Posts 31,807,460
Top