Maktaba yangu ya nyumbani

Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,770
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,770 2,000
Kiranga wewe ni mwepesi mno kwangu... Kumbuka sifa ni kusifiwa sio kujisifia... Unapotanguliza sifa mbele tayari hilo ni tatizo
Teh teh teh

Nyie ni watani wa jadi.

Ila Mshana....kwa nini usimnyooshe huyo Kiranga na hizo dawa zako?

Hebu mnyooshe bana hahahaaa.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Usijali kuhusu Kiingereza.

Hata ambao hiyo ni lugha yao ya kwanza wapo wengi tu ambao hawaimudu vizuri.

Hata Kiswahili wengi tu hatukimudu vizuri.

So no biggie there.
Ni jibu kwa yule ndugu
 
Nimnyooshe mara ngapi sasa
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Heshima kwako Mkuu, kwa upande wangu sikubahatika sana kupata elimu katika mfumo wetu wa kawaida, mbaya zaidi kutokea mazingira ya kijijini ndani huko yalikua na kila sababu kudidimiza ndoto na matamanio yangu.

Lakini nashukuru Mungu niliitumia vizuri fursa ya kuwa mtoto wa Mwalimu. Nilisoma vitabu vingi sana, vikaniongezea upeo wa mambo mengi lakini kubwa zaidi lugha na misamiati ya kiingereza.

Huo ukawa ni utaratibu wangu wa maisha na sijawahi kujuta kamwe. Kabla hawajavunja Novel Idea pale Samora nilikua nanunua vitabu kila mwezi ikabidi wanipe uanachama na punguzo la asilimia kumi.

Niliwahi kusoma mahali jamaa akisema kuna vitu viwili kama sio vitatu vitakubadilisha, watu unaokutana nao na vitabu unavyosoma.

Nimeipenda Maktaba yako Kapteni.
kuna vitu viwili kama sio vitatu vitakubadilisha, watu unaokutana nao na vitabu unavyosoma.

Nyongeza... Watu unaokutana nao na maandishi wanayoandika....!!!
 
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
12,853
Points
2,000
The Monk

The Monk

Platinum Member
Joined Oct 12, 2012
12,853 2,000
😂😂😂. Siwezi kugawa au kuuza vitabu. Nimeshindwa kabisa. Na utunzaji wa vitabu ni full time job. Ndo maana vitabu vyangu huwa navipeleka nyumbani kwa wazazi kwasababu wana library system ya kutunza vitabu.
Sina uchoyo wa vitu isipokua kwenye vitabu. Ukihitaji ntakwambia njoo usome nyumbani ukimaliza kiache. Na sababu ni kwamba, mwingine atapata mhemuko anakuomba kitabu hata kama hata kisoma na hakirudishi.

Pili unaweza kubahatika mtu akakirudisha lakini utunzaji tunatofautiana, kitabu kinarudi lakini unakikataa kwamba sio chenyewe kwa jinsi kilivyobadilika rangi na muonekano, hapo sijaongelea wale wanachora au kuweka highlighter kwa maandishi.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,521
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,521 2,000
Kiranga wewe ni mwepesi mno kwangu... Kumbuka sifa ni kusifiwa sio kujisifia... Unapotanguliza sifa mbele tayari hilo ni tatizo
Hakuna sifa zaidi ya kukaririwa.

Unaponikariri kwamba sifa ni kusifiwa si kujisifia, unanisifia.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,521
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,521 2,000
Usijali kuhusu Kiingereza.

Hata ambao hiyo ni lugha yao ya kwanza wapo wengi tu ambao hawaimudu vizuri.

Hata Kiswahili wengi tu hatukimudu vizuri.

So no biggie there.
Mshana hajui lugha na hawezi kujenga hoja kimantiki.

Quite possibly hajui lugha kwa sababu hawezi kufuatilia hoja kimantiki.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Hakuna sifa zaidi ya kukaririwa.

Unaponikariri kwamba sifa ni kusifiwa si kujisifia, unanisifia.
Mshana hajui lugha na hawezi kujenga hoja kimantiki.

Quite possibly hajui lugha kwa sababu hawezi kufuatilia hoja kimantiki.
Nipige tunguli vidole vishindwe kuandika hapa JF, tujue tunguli zako zinafanya kazi na si hadithi za uongo tu.
Naona ndio umetoka usingizini.... Hebu pata staftahi kwanza JF IPO tu haikimbii
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,970
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,970 2,000
Sijawahi kusoma kitabu nikakimalizaa....
Kibongobongo huku uhitaji kusoma sana vitabu mana changamoto za maisha si kubwa sana....

Kaelimu haka tu hapa mtaani naonekana alwatan.....

Hata nikisoma naona havitakuwa na maana kwa watu wanaonizungukaa.....

Maisha yanasonga, ugali na kachumbari napata ....

Nisome nini kipya mazee???

Maisha haya nayafurahia vzr sana tu.

Kusoma ulaya, bongo ubaya ubayaa....
 
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
121
Points
250
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined Jul 6, 2019
121 250
Mshana hajui lugha na hawezi kujenga hoja kimantiki.

Quite possibly hajui lugha kwa sababu hawezi kufuatilia hoja kimantiki.
Kujenga hoja ni sayansi ya kimahesabu inayotaka ujuvi wa kuwa umesoma vitabu vingi na uwe na knowledge pana.

Mshana Jr yeye huwa anabishana ili aonekane na yeye kabishana na mtu mkubwa JF kama Kiranga ila kiranga anatumia skills za kufanya argument kwa method tofauti tofauti na anakimudu kiingereza cha ndani saana tofauti na bwana mortuary attendant.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Kujenga hoja ni sayansi ya kimahesabu inayotaka ujuvi wa kuwa umesoma vitabu vingi na uwe na knowledge pana.

Mshana Jr yeye huwa anabishana ili aonekane na yeye kabishana na mtu mkubwa JF kama Kiranga ila kiranga anatumia skills za kufanya argument kwa method tofauti tofauti na anakimudu kiingereza cha ndani saana tofauti na bwana mortuary attendant.
anakimudu kiingereza cha ndani saana tofauti na bwana mortuary attendant.... Sio kosa lako ni matokeo ya ukoloni
Member since 6th July... Bado mna hasira na lile dafrau
 
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
121
Points
250
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined Jul 6, 2019
121 250
anakimudu kiingereza cha ndani saana tofauti na bwana mortuary attendant.... Sio kosa lako ni matokeo ya ukoloni
Member since 6th July... Bado mna hasira na lile dafrau
Sijawahi kumuona Kiranga akiongelea kitu ambacho hakifahamu kwa undani, ukimuona kiranga anakiongelea kitu basi ujue anakifahamu nje ndani ndio maana huwa anakugaragaza kirahisi sana unapokatiza anga zake za mijadala na evidence zako za ubabaishaji.

Ni ukweli huna maarifa na uelewa mpana Kama Kiranga. Hauna!
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Sijawahi kumuona Kiranga akiongelea kitu ambacho hakifahamu kwa undani, ukimuona kiranga anakiongelea kitu basi ujue anakifahamu nje ndani ndio maana huwa anakugaragaza kirahisi sana unapokatiza anga zake za mijadala na evidence zako za ubabaishaji.

Ni ukweli huna maarifa na uelewa mpana Kama Kiranga. Hauna!
Sasa wewe kinachokuuma ni kipi? Huo ni mtazamo wako lakini sio uhalisia... Usipate maumivu mengi... Rudi na ID yako asili
 
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Messages
121
Points
250
Vida1

Vida1

Senior Member
Joined Jul 6, 2019
121 250
Sasa wewe kinachokuuma ni kipi? Huo ni mtazamo wako lakini sio uhalisia... Usipate maumivu mengi... Rudi na ID yako asili
Ahahahaha!! Mimi nilitaka ukiri hadharani tu kwamba haufikii IQ ya Kiranga .
Nafurahi umekiri hilo.
 
Sio uhalisia? kwa hiyo unataka kusema uhalisia ni wewe una IQ kubwa kuliko Kiranga?
Really?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Sio uhalisia? kwa hiyo unataka kusema uhalisia ni wewe una IQ kubwa kuliko Kiranga?
Really?
Ndio... Nina IQ kubwa kuliko nyie wote wawili na wengine wote wenye mtazamo finyu kama wako
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,568
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,568 2,000
Ahahahaha!! Mimi nilitaka ukiri hadharani tu kwamba haufikii IQ ya Kiranga .
Nafurahi umekiri hilo.
Usilazimishe mambo... Anzisha mada huru kisha nialike nitakuja... Sio huku kwenye mada za watu
 
Forum statistics

Threads 1,313,889
Members 504,678
Posts 31,807,282
Top