Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
- Thread starter
-
- #41
πππ. Siwezi kugawa au kuuza vitabu. Nimeshindwa kabisa. Na utunzaji wa vitabu ni full time job. Ndo maana vitabu vyangu huwa navipeleka nyumbani kwa wazazi kwasababu wana library system ya kutunza vitabu.
Sasa unasoma nini katika non fiction?Sio sana. Nimesoma fiction mpaka nimechoka. No longer excites me. Bora non fiction blows my mind.
Wewe kweli ni minimalist. Congrats.Mimi nikiwa na vitabu vingi sana vitaishia kuwa cluttered all over the place.
And I hate clutter.
Plus, I donβt see any utility in keeping books that I donβt need or use anymore.
Keeping it simple [and neat] is my motto.
Quantum Physics na wenzakeSasa unasoma nini katika non fiction?
Teh ...We umezoea vitu vigumu vigumu vya Teala mpaka vitu rahisi unaviona vigumu.
Wife anapenda sana kusomaQuantum Physics na wenzake
Mambo ya cosmos
History & pre history
Self help books
How to books
Film & television books
Nutrition books etc
Safi sana, mimi natafuta cha kuanza kusoma sasa, nimemaliza kusoma "Frederick Douglass: Prophet of Freedom" cha David Blight.Quantum Physics na wenzake
Mambo ya cosmos
History & pre history
Self help books
How to books
Film & television books
Nutrition books etc
Yule hana uwezo wa kufikia akili yako.. Uwezo wako wa kureason na kuargue ni world class ability. Mshana Jr ni mbabaishaji alietaka kupata cheap popularity kupitia kwako I'm glad ulimpa za uso kwa facts in issue through logic and rhetoric.Kuna kubishana, halafu kuna kuchezea kipigo.
Mshana Jr kwangu anachezea kipigo tu.
'Watu unaokutana nao na vitabu unavyosoma'..!!
Nimepaelewa mno hapo, issa naked truth.!!
NAKAZIA hapa kwa herufi kubwa'Watu unaokutana nao na vitabu unavyosoma!
Nimepaelewa mno hapo, issa naked truth!
πππ. Siwezi kugawa au kuuza vitabu. Nimeshindwa kabisa. Na utunzaji wa vitabu ni full time job. Ndo maana vitabu vyangu huwa navipeleka nyumbani kwa wazazi kwasababu wana library system ya kutunza vitabu.
Nipige tunguli vidole vishindwe kuandika hapa JF, tujue tunguli zako zinafanya kazi na si hadithi za uongo tu.Nimnyooshe mara ngapi sasa
Kujenga hoja ni sayansi ya kimahesabu inayotaka ujuvi wa kuwa umesoma vitabu vingi na uwe na knowledge pana.Mshana hajui lugha na hawezi kujenga hoja kimantiki.
Quite possibly hajui lugha kwa sababu hawezi kufuatilia hoja kimantiki.